mwezi

  1. Ester505

    JamiiForums Tanzania Malipo ya kufundisha tuition ni kiasi gani kwa mwezi mtoto akifatwa nyumbani kwao?

    Nawasalimu. Naomba kwa wazoefu wanifahamishe Bei ya kumfundisha mtoto tuition akifatwa nyumbani kwao.wa darasa la tano na darasa la kwanza. Msàada jamani.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Taifa Gas yafanya kampeni maalum ya kuelimisha matumizi ya gesi wakati huu wa mwezi wa Ramadhani

    Katika kuhakikisha Jamii inakuwa na uelewa mkubwa kuhusu matumizi ya nishati ya gesi Pamoja na kuunga mkono juhudi za Serikali ya Tanzania katika kuwafikishia ujumbe Wananchi wake kutumia nishati hiyo, timu ya Taifa Gas imefanya kampeni maalum wakati huu wa mwezi wa Ramadhani tarehe 19 mwezi wa...
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tabora: Hospitali ya Malolo Wafanyakazi wengi hawajalipwa mishahara tangu December 2023

    Hospitali ya Malolo (Reginal level) Wafanyakazi hawajalipwa mishahara tokea December 2023(Majority) huku wachache hawajakamilishiwa mishahara ya mwezi November. Uongozi wanasema NHIF hawajalipa claims since December maana zaidi ya 95% ya wagonjwa ni wanachama wa NHIF, hivyo hamna hela. Kadi...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niliposema kuwa Mwezi huu Mtukufu kuna Timu haitafanya vyema kwakuwa Majini yanauheshimu mkabisha mpo wapi leo?

    Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King! Zawadi ya Tunu/Shani nilizopewa na Mwenyezi Mungu hakuna wa Kufananishwa nami na ndiyo maana 85% ya yale ambayo huwa nayawasilisha hapa JamiiForums (Michezoni na kwingineko) huwa ni sahihi na kwa 15% tu ndiyo huwa ni bahati mbaya/havitokei. Msione aibu...
  5. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung galaxy S10e mpya imetumika mwezi mmoja tu inauzwa laki 3 na Nusu

    Wakuu. OFFER: Samsung galaxy S10e mpya imetumika mwezi mmoja tu inauzwa laki 3 na Nusu Specification: Kwanza kabisa ina wireless charging system Yaani unaweza kuchaji kwa kuilaza juu ya simu nyingine. RAM 6 GB Storage 128 GB BATTERY Type Li-Ion 3100 mAh, non-removable Charging15W wired...
  6. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Msaada wa muda wa kufuturu na kula daku kanda ya Shinyaga

    Kichwa cha habari chahusika naomba mwenye ratiba ya mwezi mzima ya muda wa kufuturu na kula daku alfajir kwa kanda hii ya Shinyanga. Nafanya kazi ya uchimbaji porini huku hakuna kanisa wala msikiti hakuna hata adhana.
  7. Melubo Letema

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanariadha Jackline Sakilu Ashinda Tuzo za TASWA kwa Mwezi Februari, 2024

    Mwanariadha wa Kimataifa, Staff Sergeant (SSgt) Jackline Juma Sakilu wa JWTZ, amechaguliwa kuwa Mwanamichezo Bora wa Tanzania kwa mwezi Februari , 2024 katika tuzo zinazotolewa na chama Cha Waandishi wa habari za Michezo Tanzania (TASWA). Kushoto : Jackline Sakilu na Alphonce Simbu TUKUMBUKE...
  8. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Ilitakiwa Uchaguzi Mkuu ufanyike kipindi cha Mwezi Mtukufu au Kwaresma?

    WanaJf, Salaam! Kila baada ya Uchaguzi Mkuu huwa nasikia vyama vya upinzani (CDM, ACT, CUF, NCCR, UDP, DP) nk vikilalamika kuwa hawakushinda kwa sababu ya hujuma za kuibiwa kura. Kwa uongozi wa Serikali wenye imani juu ya uislamu kipindi cha mfungo wa Ramadhan huwa ni mwezi wa toba na kumrudia...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Huu ni mwaka wangu wa 16 kufunga mwezi wa Ramadhani China

    Katika kipindi cha muongo mmoja uliopita, serikali nyingi zisizo za Magharibi zilianza kuamka na kujua kwamba demokrasia na haki za binadamu za dhana zilizotetewa na nchi za Magharibi zinalenga kuzipendelea nchi hizo tu na kupuuza maslahi ya mataifa mengine mengi ya Kusini, na kwamba dhana hizi...
  10. Tman900

    JamiiForums Tanzania Jamaa yangu amedhurumiwa kwenye upatu, kwanini watu hawajifunzi?

    Kuna Rafiki Yangu aliniambia Kuna kucheza Mchezo, aliponiambia tu huo mchezo wa Pesa nilichemka mi sina Pesa ya Mchezo. Sasa leo Simu ya kwanza kupokea ya kweke Tayari Wamezurumiana. Jaama apokei Simu na Yeye ndo anasema Ni mtu wa 7, ametumiwa 1,000,000/= Bado 6,000,000/= Mchezeshaji apokei...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Shule ya Kata (Bujinga) iliyopo Tukuyu tunatozwa sh.60,000/=kila mwezi

    Shule ya sekondari BUJINGA iko Tukuyu mkoa wa Mbeya wazazi tumeambiwa tuanze kuchangia sh. 60000/= kwaajili ya kambi kidato cha nne.. Hii ililetwa kama agenda ktk kikao kilichoitishwa na walimu wito wa kuwaita wazazi Ili jambo hilo liridhiwe.. Ktk uhalisia imefanywa kama hiyari lkn ni kama...
  12. Pdidy

    JamiiForums Tanzania KERO DAWASA maji ya makazi mapya Mbezi Beach yana udongo mwezi sasa, nini shida?

    Nimejaribu kuwasiliana kiofisi nikahisi kuna marekebisho yanafanywa, sasa naona imekuwa kero. Wananchi wa makazi mapya Mbezi Beach wanateseka na maji ya udongo mwezi sasa. Kila bomba ukichota ndoo imejaa udongo, kutumia maji ni mpaka usubiri yatulie uchuje. Mnatupeleka wapi maana hatujui...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mwezi mtukufu wa Ramadhan ndio maisha ya kuishi kila siku

    Kila inapofika mwezi wa Tisa kwenye karenda ya Kiislam (hijria), Waislam ulimwengu mzima uingia kwenye mfungo wa Ramadhani. Huu ni mwezi ambao, tumefaradhishiwa Swaum na MwenyeziMungu kama tunavyosoma kwenye aya hii: "Enyi mlioamini mmelazimishwa kufunga (swaumu) kama walivyolazimishwa...
  14. U

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia atenga siku moja kila mwezi kusikiliza kero za watanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kutenga siku moja kwa kila mwezi ili kusikiliza na kuzitafutia ufumbuzi kero za mwananchi mmoja mmoja "Amefanya hivyo kwa sababu kuu tatu moja ni kuwafanya viongozi wengine wawe na tabia ya kusikiliza kero za Wananchi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Rais wa nchi analipwa shilingi ngapi kwa mwezi?

    Habari zenu wakubwa, Hivi mama samia anakunja shilingi ngapi mwisho wa mwezi? Maana usikute tunamlaum bure kumbe mshahara tunaomlipa ni kiduchu.
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kama kipato chako ni chini ya milioni Tano kwa mwezi wewe ni Maskini

    Kwema Wakuu! Kuna aina tatu za Maskini. 1. Maskini wa kutupwa (Fukara) 2. Maskini wa kawaida 3. Maskini aliyechangamka. 1. Maskini Fukara Maskini Fukara hili kundi ni wale Watu ambào kula yao ni mshikeshike, hawana pakuishi, yaani hawa ndio huitwa hohehahe. Hawa kwa asilimia kubwa wamekata...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa Atoa Mwezi Mmoja kwa Wahandisi Wote Nchini Kuwa na Leseni

    BASHUNGWA ATOA MWEZI MMOJA KWA WAHANDISI WOTE NCHINI KUWA NA LESENI. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewataka Wahandisi na Washauri elekezi wote nchini kuhakikisha wanakuwa na leseni zinazowapa uhalali wa kufanya kazi za kihandisi nchini ifikapo tarehe 31 Machi 2024. Amesema hayo...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa: Mitambo Yote na Wataalamu Wawe Site Ndani ya Mwezi Mmoja - Mlimba

    BASHUNGWA: MITAMBO YOTE NA WATAALAM WAWE ‘SITE’ NDANI YA MWEZI MMOJA - MLIMBA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa mwezi mmoja kwa Mkandarasi wa Kampuni ya M/s Henan Highway Engineering Group Co. Ltd, inayojenga barabara ya Ifakara-Kihansi (km 124) Sehemu ya kwanza Ifakara-Mbingu (km...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya kati Tanzania ajira zake hutolewa mwezi gani kila mwaka?

    Naomba kuuliza ajira za vyuo vya kati huwa wizara wanatoa mwezi gani kila mwaka.
  20. kichongeochuma

    JamiiForums Tanzania Serikali iache kunyanyasa watumishi, Mfumo wa PEPMIS hauna uhusiano na mshahara wa Mtumishi alioufanyia kazi mwezi mzima

    Nashindwa kuelewa hawa viongozi huwa wana tumia akili gani katika maamuzi yao. Msidhani kila mtu anaishi mtumba hapo dodoma muwe mnafanya tafiti za kina kabla ya kuleta hiyo mifumo yenu kwanza. Mfumo wenu unahitaji angalau 3G au H+ Internet speed ili angalau ufanye vizuri wakati huo kuna...
Back
Top Bottom