Hapo beirut kimewaka!
Mmoja akaambiwa kwa kuwa umehusika na jambo fulan basi kaa pembeni sana tupange upya ka karatasi ka kulinda Beirut yetu wakati wa kuangaliana Tel aViv wakagundua mpalestina ambaye kaangukia mikono ya wayahudi, wakasema kwanza tutakupa nafasi ukasimamie kule ambako alitokea...
Klabu ya Dodoma Jiji imemsainisha kiungo mshambuliaji Ibrahim Ajibu kwa mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia timu hiyo msimu ujao akitokea Coastal Union ya Tanga.
Mmoja wa viongozi wa timu hiyo ameiambia Mwananchi kwamba bado wanaamini Ajibu ana uwezo mkubwa uwanjani hivyo ataongeza nguvu katika...
Ruto anapata wakati mgumu wakenya wamepanga tena maandamano siku ya Jumanne ambayo tarehe 16 mwezi huu.
Lengo ni kuondoka madarakani Ruto si vingine hata abadilishe nini?
Nimezunguka mitaani pesa imeadimika kabisa kuna nini. Maisha ni magumu ajabu, biashara zimerudi nyuma. Mwezi wa saba ya Mwaka huu tuna fail wapi.
Tuambizane.
Aisee niwe tu mkweli sijui kuna masomo yalinipita au sikuyaelewa tu vizuri yaani Mpaka sasa hv nimeshindwa kuelewa kwanini shape ya mwezi inabadilika badilika kuna kipindi unauona nusu wakati mwingine robo wakati mwingine kamili.
Ninachokijua jua ni kwamba mwezi kama Dunia tu una usiku na...
Natarajia kuhamishia shughuli zangu za kiuchumi mjini bariadi.
Hii ni fursa kwangu kupata elimu adimu ya mambo ya kiroho pia ni sehemu ya utafiti wangu binafsi
Nitaleta mrejesho.
Jana nimekutana na Bibi CRDB wa kama miaka 80 kaja kuchukua malipo ya Tsh 24,000 ya mwezi June.
TASAF wana utaratibu wa kusaidi watu au kaya masikini Utaratibu huu ni mzuri ila kiwango cha fedha ni fedhea kubwa.
TASAF tafadhali jitahidini kupandisha kiwango Tsh 24,000 ni ndogo sana.
Hivi karibuni Chombo cha Chang'e No. 6 cha China kilifanikiwa kumaliza kazi yake ya kuchunguza Mwezi na kurejea duniani, na kuleta sampuli ya kwanza duniani ya udongo na mawe kutoka kwenye upande wa mbali wa Mwezi. Baada ya China kutangaza kuwa itashirikiana na jamii ya kimataifa kutafiti...
Wakuu Mbona Mshahara wa mwezi June umeenda haraka hivi? Mpaka Sasa balance inasoma zero Wakuu na kitaa kigumu Sana na majukumu yamenizidia sijui nifanyeje sijui hapa kama Kuna mdau Wowote anaweza kunikopesha halafu zile tarehe zetu zikifika tutamalizana tu Wakuu
Nakuambia mshahara ulipoingia...
Ni mara ya 2 wanaoitwa wafanyabiashara wa Kariakoo kugoma ndani ya muda mfupi. Baada ya ule mgomo wao wa kwanza tukaanza kuona migomo Iringa, Mwanza na maeneo mengine.
Migomo yote ni wafanyabiashara kukataa maelekezo halali ya serikali ikiwa pamoja na kutotaka mfumo wa wazi unaobana wizi na...
Kuna Kila dalili serikali kuwaonea huruma watumishi wa umma
Hadi Leo tar 23.6.2024 mishahara haijatoka.
Hili ni tatizo ,na ukiona serikali imeshindwa kulipa watumishi wake jua ipo mwishoni.
UPDATES:
Habari hii imekanishwa. Zaidi soma...
Jamani ndo hivyo limeshavuja tena nimebaki napuliza majivu maana moto siuoni.. ndio ameshatoboa mtungi majii yananimwagikia tu pwaaa!pwaa!
Zile sifa zote alizoniambia kwamba kama mimi hajawahi kumuona ila nashangaa hakuniambia alivyokutana nae!
Dah....!
Leo kwa mara ya pili Waziri mkuu wa Israel katika mtandao wa X amesema yupo tayari kubeba lawala na matusi yote anayotukanwa na wananchi wake ili Marekani waweze kumsaidia silaha ili kuwawezesha Jeshi la IDF.
Ni miezi minne sasa imepita bado Marekani hajapeleka silaha Israel. Netanyahu ameamua...
Samahani jamani mimi ninalipwa mshahara wa 300k kwa mwezi nafanya kazi katika kampuni moja hivi.
Lakini pesa hii haikai kabisa, yaani hapa nilipo sijui natakiwa kutumia shingapi kama pesa ya chakula.
Msaada please
Pia Soma: Unatumiaje laki tatu kwa mwezi?
Kwako ndugu yangu, namshukuru mungu kwa aliekuchagua anajua makusudi yake
Hakika wananchi wameumia wanateseka sana na wahuni wapiga dili viwanja vya watu
Hawa wahuni wana channel ndefu sana naamini mungu amekuleta kuwasaidia wananchi. Naomba kama inawezekana uonnane na wananchi hata mara...
Mahakama ya Ushindani na Haki za Watumiaji Huduma (CCPT) ya Nigeria, imeitoza kampuni ya Matangazo ya Televisheni ya MultiChoice takriban Tsh. Milioni 282.56 pamoja na kuwapa Wateja wake Kifurushi cha Matangazo ya mwezi mmoja bila malipo.
Uamuzi huo unafuatia malalamiko ya Wateja wa MultiChoice...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.