mwenzake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Nani aliiga wimbo wa mwenzake, kati ya Kilwa Jazz na Franco Luambo Makiadi?

    ..Nyimbo zenyewe ni hizi hapa chini. Cc Mohamed Said, Kichuguu
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mtoto mikononi mwa polisi kwa kumlawiti mwenzake

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linamshikilia mtoto wa miaka 13 mkazi wa kijiji cha Minyembe halmashauri ya Wilaya ya Mtwara kwa tuhuma za kumlawiti mtoto wa miaka miwili. Akizungumza na waandishi wa habari Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Nicodemus Katembo amesema tukio hilo lilitokea...
  3. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtanzania asakwa nchini Kenya kwa kumuua mwenzake kisa ugali

    Polisi nchini Kenya wanamsaka Mtanzania anayeshukiwa kumchoma kisu mwenzake katika eneo la uchimbaji dhahabu huko Narok katika mzozo wa kugombea bakuli la ugali. Kamanda wa Polisi wa Kaunti ya Narok Kizito Mutoro alisema wanaume hao wawili walikuwa wakipata mlo wa jioni baada ya kutwa nzima...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi ajaribu kujiua kwa kujikata tumbo baada ya kudaiwa kumuua mwenzake

    Winfrida Michael (24) mwanafunzi wa Chuo cha St John amefariki baada ya kuchomwa kisu na mpenzi wake Julias Gervas (26) ambaye pia ni mwanafunzi wa chuo hicho sababu ikitajwa kuwa wivu wa mapenzi. Winfrida Michael (24) mwanafunzi wa Chuo cha St John amefariki baada ya kuchomwa kisu na mpenzi...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mganga wa jadi jela kwa kosa la kumuua mwenzake wakigombea mwanamke

    Mganga wa kienyeji, Ismail Ramadhani (27) amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela, baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mwanaume mwenzake bila kukusudia, wakiwa wanagombania mwanamke. Ramadhani ambaye ni mkazi wa Vingunguti jijini Dar es Salaam, amehukimiwa kifungo hicho leo Jumanne...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ismail Ramadhan, aliyemuua mwenzake kisa mapenzi, ahukukumiwa mwaka mmoja jela

    Hakimu Mkazi Mkuu, Joyce Minde, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu amemuhukumu mkazi wa Vingunguti, Dar es Salaam, Ismail Ramadhan, kwenda jela mwaka mmoja, baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumuua mwenzake bila kukusudia wakiwa wanagombania mwanamke. baada ya mshitakiwa kukiri kosa...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tsh. Milioni 700 kwa atakayempata Mchina aliyemuua mwenzake Dar

    Familia ya Fu Nannan ambaye ni raia wa China aliyeuawa Juni 11, 2022, kwa kupigwa risasi nyumbani kwake Ilala Jijini Dar es Salaam na Mchina mwenzie aitwaye Zheng Lingyao, imeahidi dau la Shilingi Milioni 700 kwa atakayefanikisha kupatikana kwa mtuhiwa huyo. Fu Nannan, aliuawa kwa risasi wakati...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Acheni Kutudanganya ukweli ni kwamba Beki Inonga kasema mkimuacha Mkongo Mwenzake huyo nae anasepa zake upande wa Pili

    SIMBA SC KUMBAKIZA MUGALU Habari kutoka ndani ya Simba zinasema Majeraha aliyoyapata msimu huu Chris Mugaluni moja ya sababu inayopelekea uongozi wa klabu hiyo kutomuacha. Msimu huu hakuonyesha makali tofauti msimu uliopita Mugalu alimaliza na mabao 15 katika mechi 19 Chanzo: SportsArenaTz...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rais kutokupokelewa na Rais mwenzake: Tutofautishe kati ya State Visit (Ziara ya Kitaifa) na Working Visit (Ziara ya Kikazi)

    Tutofautishe kati ya work visit na State visit!! State visit (safari ya kitaifa) lazima ukaribishwe na mkuu wa nchi!! Unapewa heshima zaidi na mapokezi yake yanafanywa na mkuu wa nchi, inaweza kuambatana na kupigiwa mizinga 21 na mwisho wa siku hupewa zawadi kama ukumbusho wa ziara hiyo ya...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa kikosi cha Marine wa jeshi la Ukraine Colonel Volodymyr Baraniuk na mwenzake Colonel Dmytro wakamatwa na majeshi ya Urusi

    Kamanda (kiongozi anayeamuru na kutoa kamandi za kijeshi) wa kikosi cha Marine ktk jeshi la Ukraine Colonel Volodymyr Baraniuk pamoja na afisa mkuu wa kijeshi Colonel Dmytro Kormiankv wamedakwa na majeshi ya Russia walipokuwa viongozi hao wakitoroka toka kwenye kiwanda walipokuwa wamejificha...
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Mpiga debe amuua mpiga debe mwenzake wakigombea abiria stendi ya Msamvu

    Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro linamshikilia mpigadebe wa mabasi ya Abood Abdilah Yassin (32) mkazi wa Kihonda Manispaa ya Morogoro kwa tuhuma za kumuua mpiga debe mwenzake wakati wakigombea abiria kwenye stendi kuu ya mabasi Msamvu. --- Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linamshikilia Abdilah...
  12. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa wa kifo cha Katibu wa Kanisa wafikishwa Mahakamani, ni Katekista na mwenzake

    Watuhumiwa wa mauaji ya mtumishi wa kanisa katoliki Makambako Nickson Myamba (46) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Njombe. Hakimu Mkazi Mfawidhi Wilaya ya Njombe, Matilda Kayombo akitaja shauri namba 5 la mwaka 2022 linalowakabili Daniel Mwilango (42) na Nickson Nyamideko (23) kuwa...
  13. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Makambako: Katibu wa Baraza la Walei auawa ndani ya eneo la Kanisa Katoliki, kichwa chatenganishwa na kiwiliwili

    Nickson Myamba ambaye ni katibu wa baraza la walei kigango cha Makambako, jimbo la Njombe, amekutwa ameuawa kwa kutenganishwa kichwa na kiwiliwili chake ndani ya Kanisa Kuu Katoliki la Parokia ya Makambako usiku wa Februari 7, 2022. === KIONGOZI WA KANISA AKUTWA AMEUAWA KANISANI, KICHWA...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM kampa nafasi mwanachama na mjumbe mwenzake kama anatosha kuendelea na kuamua kujihukumu mwenyewe kabla hajahukumiwa

    Ukiona bosi wako kaamua kukufikishia ujumbe kwa uchungu na tena ikizingatiwa ana moyo wa nyama ni dhahiri anakupa nafasi ya kujipima na kujihukumu mwenyewe. Na mara nyingi njia hii hutumiwa na mkosaji ili kulinda heshima na urafiki wao( Rejea kuondoka kwa waziri mkuu 2008) Kwa mamlaka yake...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Balozi mpya wa China nchini Marekani aonesha tofauti ya uongozi wa busara kati yake na mwenzake wa Marekani

    Ushindani mkubwa kati ya Marekani na China umekuwa ukifukuta na kuatiliwa sana katika miaka ya hivi karibuni. Mtazamo hasi wa Marekani dhidi ya China unajidhihirisha wazi zaidi katika kipindi hiki, kwani Marekani bila aibu wala kificho imekuwa ikiishambulia hadharani kwa maneno na kuinyooshea...
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Lindi: Askari afutwa kazi na Jeshi la Polisi kwa kumpiga risasi mwenzake wakiwa lindo

    Jeshi la Polisi mkoani Lindi, limemfuta kazi askari No.H.2324 PC Joseph kwa kosa la kumpiga risasi askari mwenzake No J.1752 PC Onesmo Joseph wakiwa lindo katika Benki ya CRDB Tawi la Ruangwa kilichosababisha kifo chake akiwa njiani kupelekwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Kauli hiyo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Sam Sasali na mwenzake watutake radhi Watanzania na matabibu

    Sum Msasali na mwenzake leo wameniacha hoi wakati wanajadili sakata la uhaba wa damu salama nchini, hivyo wakatoa wazo kuwa wataalam waanze kutumia damu za wanyama kuwaongezea binadamu, jamani hii imakaaje? Mfano ukiwekewa damu ya mbwa au mbuzi inakuwaje. Dah!
  18. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kama mtuhumiwa mwenzake na Mbowe alikiri kupanga njama za ugaidi, Jamhuri inachelewesha nini kufunga ushahidi ili kesi iishe?

    Maelezo ya onyo ya Adam Kusekwa mmeyachukua kama ushahidi. Na kwa mantiki hii ni kuwa alikiri kufanya mnayodai kuwa njama za ugaidi. Mengine mnataka kuleta Mbwembwe kama golikipa Spear Mbwembe. Malizeni kesi, toeni hukumu mapema.
  19. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kati ya mwanaume na mwanamke, ni nani anyemhitaji mwenzake zaidi?

    Hii imetokana na kuwepo kwa changamoto zaidi kwenye mahusiano; mwanamke amekuwa akimtenda mwanaume, na wakati mwingine mwanaume hivyo hivyo amekuwa akimtenda mwanamke. Wakati mwingine, mwanaume anaambiwa ili apate mahusiano kwa mwanamke inabidi awe na kipato, au awe na uwezo wa kuhonga; mpaka...
  20. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Ilikuaje Power Kaaya kuhukumiwa haraka kwa kesi ya ugaidi?

    Hivi ilikuaje Power Kaaya aliyemaliza kutoa ushahidi leo mahakamani yeye na mwenzake walikamatwa haraka, wakashtakiwa haraka na kisha kuhukumiwa haraka kwa kesi ya Ugaidi bila kuunganishwa na Wenzake hawa kina Mbowe na Walinzi wake? Kwani kwa ushahidi huu aliotoa mbona hakuna utofauti wa kesi...
Back
Top Bottom