mwenzake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Uingereza yawawekea vikwazo Mawaziri wawili wa Israel Bezalel Smotrich na Mwenzake Ben-Gvir

    Uingereza imeripotiwa kuwawekea vikwazo mawaziri wa Israel Itamar Ben-Gvir na Bezalel Smotrich kutokana na misimamo yao mikali dhidi ya Gaza inayotawaliwa na Hamas na kuunga mkono makaazi ya Wayahudi huko Yudea na Samaria. Ben-Gvir na mwenzake akawajibu wa Ingę reza: "Tulimshinda Farao na tuka...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Mwigulu mchemba nani boss wa mwenzake?

    Nashindwa kuelewa Rais samia anamuogopa Mwigulu mchemba,au wako pamoja katika mision zao au ni nyingi sana, maana ukimsikiliza Mpina jinsi anavyolalamika kuhusu huyu waziri wa fedha halafu Rais kakaa kimya hachukui hatu yoyote ile tofauti na reaction iliyoichukua baada ya Gwajima kuliongelea...
  3. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Kwahio nani kamuiga mwenzake kwenye hizi nyimbo 3

    https://youtu.be/jhULP7HlvF0 https://www.youtube.com/watch?v=lb3l6msZWkA&pp=ygUZbW9rb2xvIG5ha29rdWZhIGZheWEgdGVzcw%3D%3D https://www.youtube.com/watch?v=UAcPHTlljGU&pp=ygURd2FsYXUgbmFmYXNpIHNvbmc%3D
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kibwana Shomary na Israeli Mwenda haya mmeshamaliza kumpiga Mwiba wa maana Yao Kwasi sasa nasubiria kuona kati yenu nani atampiga Mwiba mwenzake

    Watoto wa Morogoro mnaocheza Mpira mnaogopeka sana kwa Miba kutoka kwa yule Mtaalam wenu Mkuu wa Matombo.
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mzazi na mtoto Nani anatakiwa kumfafuta Mwenzake?

    KATI YA MZAZI NA MTOTO NANI ANATAKIWA KUMFAFUTA MWENZAKE? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Baadhi ya wadau walinipigia simu katika nyakati tofautitofauti wakiwa na visa binafsi tofautitofauti. Waliniuliza, swali hili; Kati ya mzazi na Mtoto Nani anatakiwa kumtafuta Mwenzake? Swali Hilo...
  6. seedfarm

    JamiiForums Tanzania Mbunge Masaburi: Kuna wabunge na viongozi mashoga

    Mbunge Mama Masubiri akichangia hoja bungeni amesema kuna viongozi wanawafahamu ni mashoga ndio maana kuna ukakasi kwenye kukemea jambo hilo Mbunge Mama Masaburi amesema zamani wao ukizaa mtoto wa kiume unasema nimezaa mjeshi lakini siku hizi watoto wa kiume ni nyoronyoro sana Mbunge Mama...
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania CCM na Dola, Ndoa yao ilifungwa Mwaka 1961, Maisha waloyaishi na kuyaishi Sasa, Kila Mmoja ni lazima ambebe mwenzake Kwa Jasho na Damu hata Kufa

    Ukisikia Kuna Ufisadi wa Mabilioni Kadhaaa , sio CCM tu wanaogawana, ingekua hivo Wangeshakua wameondolewa madarakani Kitambo sanaaa !! DOLA isingeweza vumilia hayo !!. Kuna wanaCCM kupitia serikalini Kwa waloyafanya Nchi hii, hata wao wakikaa wanaiona Hatia. Kuna Watu wa DOLANI Kwa...
  8. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Hivi kama hapa kuna mmeru na mwenzake mchaga pale kuna mnyaki huku yupo mkurya, wote vinanda, utachagua wapi?

    Halafu unaambiwa lazma wali uliwe (ufunge harusi). Utaenda wapi? Zingatia: Hakuna mambo ya NONE of the above (wala kataa ndoa haipo🚮🚮). NB: Muda mwingine inabidi jichomoe akili kidogo, usiwe siriaz kupitiliza🤣
  9. F

    JamiiForums Tanzania Mrembo Loveness pande flani akiwa na mtunisha misuri mwenzake

    Katika pozi mjarabu kabisa🙂 Wa upande wa kushoto viatu vyekundu mtunisha misuri loveness
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake.chunguzeni wale wanaotaka waishi wote sawa

    Wanawake wanatabia moja ya ajabu sana. Wakiona mwanaume umeoa basi kila mwanamke atakusumbua na yeye kuwepo kwenye nafasi yako ili mradi kuleta matatizo ndani ya familia kisa mwanamke mwenzake kaona kaolewa. Kuwafanyia wanawake wengine fake life kupitia mitandao ya kijamii yani wanawadanganya...
  11. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Ayatollah kachomoa kwenda kumzika gaidi mwenzake Hassan Nasrallah atuma tu mwakilishi

    Watu wengi sana leo waliamini Ayatollah Sayyed Ali Khamanei atahudhuria mazishi ya rafiki yake kipenzi Gaidi Hassan Nasrallah lakini kachomoa dakika za mwishoni na kutumia wawakili ambao ni 1. Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Araqchi. 2. Spika wa Bunge la Iran Qalibaf. 3. Naibu Kamanda wa Walinzi...
  12. DeepPond

    JamiiForums Tanzania Elon Musk: Nampenda TRUMP Kama MWANAUME anavyoweza kumpenda MWANAUME mwenzake

    Siku ya Jana kupitia mtandao wake WA kijamii, maarufu Kama X , Bilionea Elon Musk ameandika kua Anampenda Raisi Donald Trump Kama vile mwanaume anavyoweza kumpenda MWANAUME mwenzake. Aisee, imekaaje hii wakuu au mi ndo sijaelewa🤔
  13. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Husda: Dada( Graduate) huko Nigeria, alishwa sumu na rafikiye ( mfanyakazi mwenzake) Kwa sababu kapandishwa CHEO kazini.

    Huyu Dada( Marehemu) alikuwa na Masters. Na rafikiye ana Masters pia. Walikuwa wanafanya Kazi idara moja. Huyu Dada Marehemu akapandishwa cheo. Rafiliye Kwa sababu ya wivu akamuweka sumu kwenye chakula ili afe. Na huyu alie fanya hivyo ni msomi mwenye Masters.. This means what? Elimu ya...
  14. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Josephine Mushumbusi na mwenzake Lissu hawaonekani mahakamani katika kesi ya Dk Slaa?

    Najiuliza tu, huyu mzee hana familia? Maana mahakamani yuko peke yake tu, hana ndugu, wala mtoto au mke anayeonekana kuja kuntembelea au kufuatilia kesi yake. Dk Slaa alikuwa anatuna mitandaoni kumpigia debe Lissu, lakini Lissu hajajihusisha naye hata kidogo.. May be kiapo cha useja ndio...
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huyu mgombea Uenyekiti wa CHADEMA Taifa kila kiongozi mwenzake mwandamizi, pamoja na Wajumbe wa Mkutano Mkuu Taifa anawona kama madui au wabaya wake

    Ni wazi ana hamaki na mawenge ya kiwango cha juu mno. Anaweweseka sana na amekosa utulivu, hana uhakika wa amani na kwakweli kujiamini kwake, mdomo na makelele kuna pungua kadiri siku zinavyokwenda. Nadhani sasa amefikia ukomo wa kufunguka yaliyokua yakimzonga moyoni mwake baada ya kuyahifadhi...
  16. Strong25

    JamiiForums Tanzania Bongo kutoboa imekuwa jambo lenye mambo mengi sana ndani yake

    AMANI IWE JUU YENU __tuendeleeni tu kupambana
  17. Feld Marshal Tantawi

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Watawala hawajifunzi? Alichokifanya Magufuli ndo Samia nae anapita mule mule

    Samia nae anayoyafanya anayoyafanya kwenye uchaguzi anafikiri ndo atapendwa sana na wanaccm na watanzania Rais amegoma kushaurika na anaona yeye ana mamlaka ya kuyafanya haya bila kuulizwa na mtu lkn nasikitika mana wanaompa kiburi ndo watakaorud kama ilivokuwa kwa mwendazake na hatakuwa na...
  18. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Shangwe zatanda baada ya Trump kumteua, rafiki wa Netanyahu Mike Huckabee kuwa Balozi wa Marekani nchini Israel

    Mchungaji wa Kanisa la Baptist aliyekuwa Gavana wa Jimbo la Arkansas kwa miaka 11. Rafiki wa Netanyahu na mtu aliyewahi kusema hakuna kitu cha Mpalestina. Mike Huckabee ameteuliwa na Trump kuwa Balozi wa Marekani nchini Israel.Trump amesema Mike anaipenda Israel na watu wa Israel Huyu Mzee ni...
  19. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Swali: Nani alimsaliti Mwenzake; Mwanaume au mwanamke?

    Mke na mume walifikia maamuzi ya pamoja kujiua (committing suicide) baada ya kupitia katika nyakati ngumu za maisha yao pamoja. Hivyo wakaamua kujirusha kutoka juu ya jengo lenye ghorofa 20. Wakati wamefika juu ya jengo hilo refu, pamoja wakakubaliana kuhesabu 1 hadi 3 na waruke. Walipofika...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kariakoo: Dereva amtolea panga mwenzake wakigombea njia

    Watu wanahasira sana, yani jamaa kaamua kumtolea panga mwezie kisa kaingilia njia isiyokuwa yake! ================ Katika hali isiyokuwa ya kawaida madereva wawili eneo la Kariakoo mtaa wa Sikukuu, jijini Dar es Salaam, wamejikuta katika mzozo mkali wakigombea njia, huku mmoja kati yao akichukua...
Back
Top Bottom