Ni sawa na hawapo tu mwenyekiti yupo mahabusu hatujui atatoboa au ndio Guantanamo, makamo mwenyekiti kaamua kujichimbia ughaibuni kula bata kwa namna ya kipekee,
Je, katiba inasemaje na ni kipindi gani chama kitakaa bila viongozi wakuu?
Makamanda ni matumaini ya wanachama wenu na mashabiki...
Nashangaa kwa @ccm_tanzania kumkana kada wao Hamza aliyefanya mauwaji dhidi ya Polisi, sisi kama Chama tunawapa Pole Chama Cha Mapinduzi kuondokewa na kada wao mtiifu Hamza, wasione aibu" James Mbatia, Mwenyekiti wa NCCR MAGEUZI.
Mgombea wa upinzani nchini Zambia Hakainde Hichilema anaongoza katika matokeo ya kura za awali katika uchaguzi mkuu.
Hakainde alionyesha kuongoza siku ya jana huku chama chake cha UPND kikikusanya kura katika majimbo mengi nchini humo.
Raisi alieko madarakani Edgar Lungu mwenye umri wa miaka...
Mkuu wa Wilaya Ni mwenyekiti wa ulinzi na Usalama, unapokuwa na DC anayeweza kumchafua au kutoa Siri za Rais na viongozi wa juu kwa public kisa tu amebanwa kwa makosa aliyoyatenda ipo siku au yawezekana hata Sasa baadhi ya Taarifa za nchi hazipo salama.
Most of DC na RC wamepewa hiyo kazi kwa...
DEATH ANNOUNCEMENT
إِنَّا للهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعون
"Surely we belong to Allah and to Him shall we return".
It is with sadness that we share the news of the demise of ALHAJ FARAJ AHMED ABRI MZEE ASAS ) CEO of ASAS GROUP OF COMPANIES Who Passed away In Dar es salaam today Friday 13th...
Tukio la kuchapishwa kwa habari ya Uzushi kwenye ukurasa wa mbele kabla wa gazeti la Uhuru iliyosema"Sina wazo kuwania Urais 2025-Samia" limenifanya nitafakari sana Uwezo na Umakini wa Katibu mkuu wa CCM Ndg Chongolo na Katibu wa Itikadi na Uenezi ndg. Shaka. Naamini CCM ni chama kikubwa sana...
Kuna matatu watu wameyafikiria kutokana na issue ya gazeti la uhuru jana plus reaction yake:
* Kuzima mjadala wa mahojiano ya SSH na Salim Kikeke amabayo kiukweli yalikuwa ni disaster sana sana yaliongeza sympathy kwa mbowe na kufanya Rais aonekane katili na aliyeongea vitu visivyokuwepo kwa...
Leo nimemsikiliza mzee mmoja mstaafu kutoka Kitengo cha Kupambana na Ugaidi Tanzania.
Nimeshtuka sana pale aliponiambia kuwa ili mtu akamatwe kwa kosa la ugaidi lazima Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi atoe amri baada ya kujiridhisha na ushahidi wa mshukiwa.
Amenihakikishia kuwa trials za...
Huyu mjumbe ni mbadhirifu na mwizi wa fedha za ulinzi shirikishi. Amekuwa na tabia ya kudai hela ya ulinzi na hatoi ristii ya EFD.
Ni jukumu la Mwenyekiti wa Kata ya Saranga kumfuatilia huyu mjumbe ambaye rekodi yake inaonyesha alishawahi kufukuzwa kwenye taasisi moja ya Serikali.
Mwenyekiti wa Kitongoji cha Kanami, Kijiji cha Isangijo wilayani Magu Mkoani Mwanza Robert Mfungo anatuhumiwa kumbaka shemeji yake ambae ni mwanafunzi wa darasa la sita mwenye umri wa miaka kumi na mbili.
Inaelezwa Mke ambaye ni Dada wa Mtoto huyo pamoja na majirani waligundua Unyama huo na...
Jeshi la Polisi linamshikilia Mwenyekiti wa BAWACHA Wilaya ya Temeke, Bi. Neema Mwakipesile kwa zaidi ya siku 4 bila kumueleza kosa lake.
Taarifa ya BAWACHA inaeleza kuwa tangu kushikiliwa kwake, Mwenyekiti huyo amezuiwa kuonana na ndugu zake, viongozi wa chama, n ahata kupelekewa chakula.
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa mshtuko, majonzi na masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Ramadhan Ali Abdallah Maarufu (Mzee Kichupa) kilichotokea Jumanne 27 Julai, 2021 katika Hospital Kuu ya Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar.
Baada ya upekuzi wa Polisi kukamilika nyumbani Kwa M.Kiti Mbowe, tumepokea taarifa za kushtua na kushangaza kuwa Polisi wamemwambia kuwa ataunganishwa kwenye kesi ya Ugaidi na watuhumiwa walioko gereza mojawapo DSM. Tutaendelea kutoa taarifa za kina hapo baadaye.
====
UPDATES;
=====...
Chama Cha Mapinduzi kinafutilia kwa makini mienendo ya baadhi viongozi wake ambao wamekuwa wakipotosha Umma na kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu na maadili ya Chama.
CCM inawakikishia wanachama na watanzania kuwa hatua...
Ndugu zangu,
Siku zinaenda kasi sana
===
VIONGOZI WA CHADEMA WAPINGANA VIKALI NA MBOWE KUHUSU DAI LA KATIBA MPYA.
Viongozi na Wanachama wa CHADEMA wakiongozwa Mkuu wa Kanzidata ya CHADEMA-Kanda ya Kati Ndugu Mackdeo Shilinde wamepingana vikali na Mwenyekiti wao Freeman Mbowe kuhusu madai yake...
Habari za wakati huu!
Ninawaomba sana wanachama, wapenzi na washabiki wa Simba tuwe watulivu na makini kuelekea fainali ya FA CUP
Uongozi wa Simba upo makini na ulishatoa maelekezo ya kutatua mgogoro uliojitokeza. Simba ni timu inayojipambanua kuendeshwa kiweledi hivyo tusimame katika misingi...
Ndugu Freeman!
Mara nyingi umesikika ukitaka sana siasa za uungwana, siasa za akupigaye shavu la kushoto basi mgeuzie la kulia. Hilo ni jambo zuri lakini hiyo falsafa yako inafanya kazi katika nchi za watawala ambao ni sober minded, siyo katika nchi ambayo watawala wameamua liwalo na liwe kwenye...
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Tarime Vijijini, Simon K pamoja na wenzake wanaokabiliwa na kesi ya mauaji namba PI RM (MURDER) CASE NO. 4/2021 wameachiwa kwa dhamana hapo jana mjini Musoma. Jambo ambalo limewashangaza watu wengi kwani inajulikana wazi kuwa kesi hiyo haina dhamana.
Hata hivyo mke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.