mwenyekiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 5

    JamiiForums Tanzania Pemba: Mwenyekiti mpya ACT Wazalendo apokewa rasmi leo

    Ndio habari ya mjini kwa sasa mrithi wa gwiji la siasa za Tanzania Maalim Seif Sharif Hamad sasa ni Juma Duni Haji ambaye anavaa rasmi viatu vyake Wanampokea kule kisiwani Pemba na uongozi wa juu kabisa Ndugu Zitto Kabwe
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Mtaa auawa Mbeya

    Mwenyekiti wa Mtaa wa Hasanga kata ya Uyole jijini Mbeya, Justine Namwinga (47) ameuawa na watu wasijulikana usiku wa kuamkia leo Januari 31 na kisha mwili wake kutelekezwa nje ya nyumba yake. Akizungumza akiwa nyumbani kwa marehemu baba wa Justine, Hance Mwashembele amesema kuwa usiku wa...
  3. Cathelin

    JamiiForums Tanzania Mwaka kesho (2023) Mbowe atake asitake lazima aendelee kuwa Mwenyekiti CHADEMA

    Mwaka kesho 2023 ndo muda ambao mwenyekiti Mbowe, aliazimia utakuwa mwisho wake kuwa Mwenyeketi wa Chama Chetu. Kwa hali ilivyo now, bado tunamuitaji Sana Mbowe Kama mwenyekiti, akilazimisha kuachia ngazi, wanachama tumlazimishe we still need him. ATA uko upande wa pili kina Mangula na Kanali...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CCM Taifa na Sekretarieti ya CCM Taifa kufanya ziara mkoa wa Simiyu

  5. M

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema ndiye mwenyekiti ajaye wa CHADEMA

    Nimekuwa nafuatailia siasa za hiki Chama takriban miaka ishirini iliyopita. Kama sikosei hiki chama nafasi ya Mwenyekiti imewahi kuwa na wenyeviti watatu ambao wawili kati yao ni mtu na Mkwe wake yaani Freeman Mbowe na Mzee Edwin Mtei. Kutokana na kelele nyingi saana toka ndani ya chama kutaka...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Unapomsikia Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama mstaafu Ole Sabaya akidai kesi yake ni "ya Kutengenezwa" unajifunza nini?

    Jana nilishtuka baada ya kumsikia aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai na Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na usalama wa eneo hilo akidai kuwa kesi yake ya Uhujumu uchumi ni ya "Kutengeneza" Nabaki najiuliza kumbe kuna kesi halisi na kesi za Kutengeneza? Kwa wadhifa aliokuwa nao Ole Sabaya serikalini...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko yajayo ya Ma-RC namuona Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam kama RC mpya

    Suala la soko la Karume kuungua moto ikiwa ni muda mfupi tu baada ya soko la kariakoo kuungua moto linaweza kuja na taswira mpya ya baadhi ya watendaji kuwajibishwa. Moja ya watendaji ambao naona wakiwajibishwa ni RC wa DSM ikiwa ni njia ya kuponya majeraha ya maumivu kwa machinga. Naona pia...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Wanachama 11 wametia nia kugombea nafasi tatu zilizotangazwa kuwa wazi, ikiwemo ya Mwenyekiti

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Mnamo tarehe 17/2/2020 Chama chetu kiliondokewa na aliyekuwa Mwenyekiti wake wa Taifa hayati Maalim Seif Sharif Hamad. Kwa mujibu wa ibara za 84(4) na116(4) za Katiba ya ACT Wazalendo (Toleo la 2020) nafasi hiyo inapaswa kujazwa ndani ya miezi kumi na mbili (12)...
  9. figganigga

    JamiiForums Tanzania Lukuvi na Kabudi waitwa Ikulu kumsaidia kazi Rais Samia nje ya Muundo wa Serikali

    Salaam Wakuu, Aliyekuwa Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi na Aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi, wametakiwa kwenda Ikulu kumsaidia kazi Rais Samia ya kuwasimamia Mawaziri. Rais Samia kasema watu Wasimpake matope...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Chadema hakijui mambo ya kufanya kama short run na haya ya kufanya kama long run vyote wanachanganya

    Nimemsikiliza Lema na wana Ufipa wengine bado naona Chadema hakijifunzi kwani ni wepesi sana kuhamishwa, hakina senta of interigensi, usemaji, mipango, mbinu, inafikia hatua wanasahau kama mwenyekiti anatupia ndoo. Huu ulikuwa wakati mzuri sana wao kutulia na kukiangalia kimbunga cha CCM na...
  11. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Audio: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu, amezungumza na waandishi wa habari leo, Januari 7, 2022

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Tundu Lissu leo, January 7, 2022 saa 4:00 asubuhi, saa za Afrika ya mashariki, amezungumza na waandishi wa habari. Chanzo: Chadema Media https://www.youtube.com/watch?v=WgIY7Q7w2uM =====
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM anakwenda kuamua tena nani agombee ubunge kama alivyofanya Hayati Magufuli kipindi kilichopita. Ukimkosoa Mwenyekiti umeumia

    Ndani ya CCM ulizaliwa mfumo wa wabunge kupita kwa hisani ya Mwenyekiti, mfumo huu unakenda kuzima mabishano ya hoja. In long-run hakutakua na kiongozi nchini atakayetoboa bila kumnyenyekea mwenyeti, na kwa mantiki hiyo tunaelekea kipindi ambacho malengo yako kisiasa utafikia pale tu...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Kinachoiponza CCM ni katiba yao kuwa Rais wa nchi ndiyo mwenyekiti wao wa Taifa

    Kama CCM ingekuwa na Mwenyekiti wa Taifa tofauti na Rais wa nchi hali isingekuwa kama ilivyo sasa ya msuguano ndani ya chama. Ndugai kama Mkuu wa muhimili wa Bunge angekuwa na uhuru wa kumkosoa Rais na Rais angeweza kujibu hoja bila jazba. Aidha Rais angeweza kukosoa udhaifu wa Bunge na Spika...
  14. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamesahau madhila yao wanamshambulia Ndugai huku wakisahau Mwenyekiti wao yupo nguvuni

    Kudandia masuala ya mpito kunaigharimu Chadema kila siku. Mtifuano wa Spika Ndugai na mkuu wake wa nchi kunawafanya Chadema kushupalia hii mtifuano. Wanasahau kuwa kama chama wao wanamatatizo makubwa mno maana mwenyekiti wao na mentor wao wa kila kitu yupo nguvuni. Na kwa yeye kuwa nguvuni...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM kampa nafasi mwanachama na mjumbe mwenzake kama anatosha kuendelea na kuamua kujihukumu mwenyewe kabla hajahukumiwa

    Ukiona bosi wako kaamua kukufikishia ujumbe kwa uchungu na tena ikizingatiwa ana moyo wa nyama ni dhahiri anakupa nafasi ya kujipima na kujihukumu mwenyewe. Na mara nyingi njia hii hutumiwa na mkosaji ili kulinda heshima na urafiki wao( Rejea kuondoka kwa waziri mkuu 2008) Kwa mamlaka yake...
  16. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania CCM kwa sasa siyo tena chama cha siasa bali kikundi kilichoshika mateka uhuru wa kutoa maoni na hakitaki mwenyekiti akosolewe.

    Ni mambo ya hovyo sana, na yalianza awamu ya tano na awamu ya sita wanayatenda. Kwao mwenyekiti kwanza, then chama halafu masilahi ya nchi na wananchi baadae. Kimekuwa chama cha hovyo kinachokumbatia na kuabudu ukuu wa mwenyekiti wa chama kuliko utaifa wetu. Chama hiki hakina tena tofauti na CCP...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Ndugai hafai kuwa Spika, CCM mkalieni kikao na kumvua uanachama

    Huyo Speaker Ndugai ni shida sana kwenye hiki chama, hafai na hana quality ya kuwa mbunge licha ya kuwa speaker. Hivi anavyosema tusikope, anaelewa anachofanya? U.S, UK na nchi zingine zinakopa ili zipeleke uchumi mbele, huyo Ndugai anadai eti tusikope. Kenya wamekopa na ku-invest kiasi...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Rais na Mwenyekiti wangu, usisubiri mpaka uharibifu wa Spika Ndugai ukuchafue

    Imefikia hatua Spika anamkosoa kila lililo jema na kukubali yasiyofaa. Ukosoaji wa namna hii si afya kwa ustawi wa nchi yetu. Tabia hii ameanza kuonesha katika hiki cha awamu ya sita. Mbona Rais Magufuli alikuwa anafanya yanayofanywa na awamu hii lakini hakuwahi kukosoa? Ukosoaji wa aina ya...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Wanaofikiri watafanya mzaha na CCM kwa kuwa mwenyekiti ni mwanamke wajiandae kisaikolojia, kadhamiria kuchoma vichaka majoka yasijifiche

    Nyoka kikawaida ni muoga sana, anatumia mbinu rahisi sana kujilinda yaani kukimbilia kichakani, akiamini kwamba yupo sehemu salama na akifuatwa na adui atatumia werevu wake kumshambulia adui. Katika mchakato wa kuua nyoka kichakani muuaji pia anatakiwa mbinu ya kuchoka kichaka ili hata wadudu...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CCM na Mwenyekiti Chadema ni nani anajengwa zaidi.

    Mivutano na kauli tata pande zote mbili kwa wenyeviti wa vyama hivi imekuwa mikubwa ndani ya vikao vyao na nje ya vikao vyao. Je ni yupi chama chake kinajengwa kupitia mivutano hiyo. Ni yupi anakiharibu chama nakikipa wakati mgumu. Kuna faida yoyote kwa watanzania
Back
Top Bottom