mwenyekiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Hashimu Rungwe: Tunamkaribisha sana Mbatia chauma tutamtafutia nafasi ila sio kuja kuwa mwenyekiti

    Akihojiwa na kituo cha tv mheshimiwa Rungwe amesema wanamkaribisha sana Mbatia kwenye chama chao cha chauma na watamtafutia kazi ila asiwe na wazo la kuwa mwenyekiti maana mwenyekiti tayari yupo. Ameenda mbali na kusema kama ni suala la kukaa muda mrefu kwenye uenyekiti wa chama basi yeye...
  2. Mke wa Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kuwa Katibu Mkuu?

    Mary Chebukati, mke wa Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati, ni mmoja wa watu 477 ambao wameorodheshwa kwa nyadhifa 49 za Makatibu Wakuu (PS) na Tume ya Utumishi wa Umma (PSC). Baadhi ya Makatibu Wakuu waliohudumu chini ya utawala wa Rais wa zamani Uhuru...
  3. Iringa: Wanakijiji wamtuhumu mwenyekiti wao kuwapora ardhi

    Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Hassan Moyo ameingilia kati mgogoro wa ardhi kati ya wakazi wa Kijiji cha Mgera Kata ya Kiwele, Wilayani Iringa na Mwenyekiti wa kijiji hicho, Lucas Mgata kwa kuzuia shughuli yoyote isifanyike katika eneo hilo hadi watakapopata ufumbuzi. Wanakijiji hao wakiwemo wazee...
  4. M

    Pongezi kwa Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB plc tawi la Tanzania

    Nikiwa mdau wa benki hii natoa pongezi za dhati kwa Uongozi wa benki Dr. Edwin Mhede - Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi na Prof. Ruth Zaipuna (Mrs)- Mkurugenzi Mtendaji kwa kitendo cha kuyapokea maoni na ushauri na hatimaye kufanikisha kumwadabisha Lilian Komwihangiro (Advocate) aliyekuwa...
  5. Mwenyekiti BAZECHA: Mwigulu Nchemba ni mwizi, tapeli na fisadi namba one

    Ni kumchana live tu. Mwenyekiti wa Baraza la Wazee CHADEMA amesema uzalendo sio kuvaa tai ya bendera. Amemwambia Dr. Mwigulu Nchemba asiwadanganye raia kwa kuvaa bendera na kumtuhumu kuwa yeye ndiye mwizi na fisadi namba moja nchi hii.
  6. Mwenyekiti wa CCM Rais Samia Suluhu Hassan aongoza kikao cha Kamati Kuu, Ikulu

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichokutana Ikulu ya Chamwino, Jijini Dodoma leo Jumatatu tarehe 26 Septemba, 2022. Rais wa Zanzibar na Mjumbe wa...
  7. Msele mwenyekiti mpya Jumuiya ya Wazazi CCM Hai kwa kumshinda mteule wa saashisha Mafue

    Mbunge wa Jimbo la Hai leo tar 25.9.2022 amepata pigo baada ya mjumbe aliyekuwa anampigania kushindwa na mr Msele kwenye jumuia ya wazazi ccm Hai.
  8. Joseph Selasini achaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti NCCR Mageuzi

    Mkutano Mkuu wa dharura wa chama cha NCCR-Mageuzi umemchagua Joseph Selasini kuwa makamu mwenyekiti wa chama hicho. Selasini amechaguliwa katika uchaguzi uliofanyika leo Jumamosi Septemba 24,2022 katika ukumbi wa St Gasper jijini Dodoma. Katika uchaguzi huo, Selasini amepata kura 173 kati ya...
  9. Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu acha 'Kujishtukia' na 'Kujihami' tunakujua Wewe ndiyo 'Kirusi' Kikuu ndani ya Klabu yetu

    Kama kuna sehemu ambayo GENTAMYCINE nilikuwa nakutamani ujilete Mwenyewe na nikuparure Kihasira kama Simba Mnyama afanyavyo Msituni ni hii uliyoingia ( uliyojiingiza ) Mwenyewe. Mwenyekiti wa Wanachama Simba SC Murtaza Mangungu hivi karibuni umekuja na Shutuma kuwa kuna Watu ndani ya Simba SC...
  10. R

    Kwa Hulka za Wanaccm, bila mamlaka ya Uteuzi wangemchukulia kama Mwenyekiti wa TADEA tu

    Ukweli bora usemwe tu. Kwa hulka za wanaccm za kukosa uzalendo na nia njema za kulitumikia taifa kwa maendeleo ya Taifa sidhani kama wangekuwa wanamheshimu Mwenyekiti wao. Yaani ni hivi bila ya kuwa na mamlaka ya kuwateua na kuwapa ulaji wangekuwa anamchukulia kama Mwenyekiti w TLP au TADEA...
  11. SoC02 Madalali wa vyumba kusimamiwa na Mwenyekiti wa Mtaa na shughuli zao kufanya kwa teknolojia kuondoa changamoto zinazowakumba wao na wateja wao

    MADALALI WA VYUMBA MAJUKUMU YAO KUSIMAMIWA NA MWENYEKITI WA MTAA ILI KUPATA SULUHISHO LA KUTATUA CHANGAMOTO ZINAZOWAKUMBA MADALALI PAMOJA NA WATEJA WAO KATIKA SHUGHULI ZAO ZA KILA SIKU. Madalali ni watu ambao wanarahisisha shughuli za mahitaji ya watu kwa urahisi kwa kuwa daraja baina ya mwenye...
  12. RPC Kilimanjaro na Arusha wapuuza agizo la Mzee Kinana

    Sasa nimejifunza na kutambua kauli inayosema ‘ ni kauli za kisiasa’. MaRPC wa mikoa ya Arusha na kilimanjaro wameamua kupuuza kauli ya Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mh Kinana kwa kufungulia trafic wa kutosha ndani na nje ya miji. Idadi ya matrafiki bara barani imezidi tena na mijini wanazunguka...
  13. Chebukati: Mahakama ya Juu imethibitisha Haki Yetu

    Baada ya Rais Mteule William Ruto kuzungumza na wanahabari muda mchache uliopita, Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) anazungumza na wanahabari muda huu Fuatilia hapa sasa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imesema hukumu ya Mahakama ya Juu ni ushahidi kwamba mchakato wa...
  14. M

    Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Shinyanga Mjini Bwana Abui, unachochea udini ndani CCM

    Mwenyekiti CCM wilaya Shinyanga Mjini, Bwana Abui, unamchafua na unatumia jina la Mh. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano vibaya kwa maslahi ya nani? unaeneza siasa za udini kwamba Mwk wa CCM taifa anataka waisilam wachaguliwe kwa asilimia kubwa ili wampitishe 2025 kwa kura nginyi...
  15. Wanaume mmemsikia mwenyekiti wa wanawake? Haya kazi kwenu

    Wanawake mmesikia makubaliano ya kikao chetu cha mwisho? Hakuna kumuachia Mungu.... Mungu muachie hesabu malipo tulipane hapa hapa. 🤣🤣🤣🤣💃💃💃💃💃
  16. Prof. Mwandosya ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya EWURA

  17. Ni lini CCM itafanya uchaguzi wa Mwenyekiti wao Taifa?

    Kwa mujibu wa Katiba yao ni mtu ndiye anayeombwa na Halmashauri kuu kuwa Mwenyekiti wa chama chao Taifa na siyo wanachama wanaomba kugombea nafasi hiyo. Kwa nini Wenyeviti woote kuanzia ngazi ya shina mpaka Mkoa waombe kugombea na kushindanishwa na wengine lakini inapofika ngazi ya taifa hakuna...
  18. SI KWELI Gazeti la "The Star": Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Kenya alihongwa ili kuipa zabuni kampuni ya Ugiriki

    Gazeti la The Star limechapisha taarifa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Kenya, Wafula Chebukati na wenzake walihongwa Dola Milioni 3 ( Takriban Tsh bilioni 7) ili kuwaba zabuni kampuni ya kigiriki kutengeneza karatasi za kupigia kura. Ukweli wake upoje?
  19. Kenya2022 Chebukati: Makamishna wanne walishinikiza Uchaguzi urudiwe kinyume cha Sheria, Nilikataa

    Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi (IEBC) Wafula Chebukati, amesema aliwazuia kuingia eneo la Bomas Makamishna wanne waliokana kutambua matokeo ya Urais kwa kulazimisha uchaguzi urudiwe. Chebukati ameshikilia msimamo wake kuwa Makamishna hao walipata matokeo yote na walihusika katika shughuli zote...
  20. Interpol: Mwenyekiti IEBC alihongwa $3M

    Shirika la Polisi wa Kimataifa Interpol limetoa taarifa inayomuanika Mwenyekiti wa Tume Huru na Mipaka ya Uchaguzi Kenya (IEBC) Bwana Wafula Chebukati na makamishna wawili wa tume hiyo kuwa walipokea rushwa ya Dola Milioni Tatu za Kimarrekani ili kuidhinisha kampuni iyakayochapisha karatasi za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…