mwenyekiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CHADEMA Mikumi ahamia CCM

    Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Mikumi, Bakari Hasani amekihama chama hicho na kujiunga na CCM na kusema ameridhika na kazi zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan na ameamua kumuunga mkono. Rais Samia anaupiga mwingi sana. #mamayukokazini #mamaanafanikisha #kaziiendelee
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania CHADEMA iheshimu protokali, ni "insubordination" kwa Lissu kuongea muda mwingi wakati Mwenyekiti wa chama yupo. Ugombea Urais ulikoma aliposhindwa

    48 LAWS OF POWER. Nashangaa CDM wanapotengeneza zimwi ambalo litawashinda, na limeshaanza kuwashida tayari. Inaonekana Mbowe ni kiongozi jina tu, mwenye chama ni Lissu. Hata Hotuba ya mwanza, inaonekana Mbowe alikuwa anamlenga Lissu. Ni wakati Sasa Mbowe ajionyeshe kwa rangi zake. Kama Silaa...
  3. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ndiye anayefaa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA

    Salaam, Dont get me wrong, Mbowe ni kiongozi mzuri na amekipigania chama kwa mda mrefu. Mbowe amekiletea mafanikio makubwa chama cha CHADEMA kwa muda wa miaka 30 aliyokitumikia lakini zifuatazo ni hoja zinazompa Lissu karata turufu ya uongozi wa chama dhidi ya Mh. Mbowe. 1. Umri. Mbowe...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

    Ni asubuhi tulivu siku ya Jumamosi tarehe 21 Januari hapa Jijini Mwanza. Macho na masikio ya Watanzania yanaelekezwa hapa Jijini Mwanza kutakakofanyika shughuli kubwa ya kisiasa ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo. Chadema Leo inazindua Rasmi mikutano ya kisiasa baada ya kuzuiwa kwa miaka...
  5. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mbowe ajiuzulu nafasi ya Uenyekiti. Wana CHADEMA wengi hawana imani naye

    Mi najua wakati wa Magufuli alipitia wakati mgumu sana. Na Mama akaamua kwanza kumuonesha action kidogo. Jamaa akatepeta. Ni binadamu. Umri umeenda na ameshachoka. So akatepeta. Wananchi wameona, wanaona. Mbowe wa jana siyo Mbowe wa leo ....ona, ona, ni kweli alipata maumivu. Wananchi, wana...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Taifa na CCM yako hongera kwa Kuachana na ‘afadhali’ Shaka na Kutua kwa ‘Potelea mbali kabisa’ Sofia

    Endeleeni tu Kudhani kila mahala Mwanamke anafaa na kwamba Watanzania wa mwaka 2025 ili wapige / wampigie Mtu Kura wanataka kuona Lundo la Wanawake katika kila Sekta. Bora kule Kwingine kwa Wapokea Mishahara kila tarehe 21 au 22 ya Mwezi na ile ya Chakula kila tarehe 30 au 31 ya Mwezi ulishtuka...
  7. Ritz

    JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti CHADEMA, comrade Tundu Lissu mbona upo kimya kwenye maridhiano?

    Wanaukumbi. SULUHU aliyoleta Rais Samia inamuacha upande gani Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bw. Tundu Lissu. Je, huu ni USHINDI kwa CCM na serikali yake au Upinzani. Thinkers” ni lazima tujiulize maswali magumu. Je, yaliyotokea hayajawahi tokea miaka ya nyuma? Kikwete hakuwaita wapinzani...
  8. Mpekuzi Tanzania

    JamiiForums Tanzania Tundu Antipas Lissu, Makamu Mwenyekiti CHADEMA kulikoni?

    Mwaka 2022 umeisha, tulitegemea utoa Salam za Mwaka Mpya kwa wapenzi na mashabiki wako. Ila umekuwa kimya kama haupo kwenye sayari yetu. Nakuombea kwa Mungu upate nauli urudi Tanzania ushikamane na Mama Yetu kujenga Nchi. Mwenyekiti wako ameshaona siasa za harakati ni kupoteza muda kawaachia ma...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi Simba SC kwa kumfyeka msaliti Godfrey Kaburu

    Kama Msaliti Godfrey Nyange Kaburu angepitishwa katika Usahili na kuwa Mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa Klabu ya Simba ningewadharau Viongozi wangu wa Simba SC na hasa Wanachama. Nawapongeza waliomfyeka Kaburu.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mwenyekiti wa UVCCM Taifa. Jikite katika kukitangaza chama na kumtangaza mwenyekiti

    Habari, Heri ya sikukuu ya Noeli kwa wakristo wote. Leo ni siku nyingine tumesheherekea kuzaliwa kwa mwokozi wa ulimwengu kwa hiyo ,pamoja na wakristo wengine tunamshukuru Mwenyezi Mungu kuwa pamoja nasi na kwa zawadi hii kubwa. Kabla sijaenda kwenye mada husika ningependa kuuliza maswali haya...
  11. JF Member

    JamiiForums Tanzania Hivi mwenyekiti wa chama cha TLP ni nani?

    Naomba kujuzwa, TLP ina Mwenyekiti ama ndo byebye?
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Jumuiya wa Wazazi CCM Dar awakataa "Machawa"

    Mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi mkoa wa Dar es salaam, Khadija Ally Said amekataa tabia ya makada wa chama hicho kumsifu hovyo (uchawa), huku akiwataka wafanye kazi kwa ushirikiano bila kujiona miungu watu. Amesema kufanya hivyo kutasaidia kufanikisha utekelezaji wa dira ya jumuiya hiyo...
  13. Mocumentary

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Nakerwa sana na wanaodai Nalamba asali, asali ni tusi kwangu, niko upinzani kwa miaka 30 sasa nikipambana kwa Jasho na Damu

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe wakati akiongea na Diaspora nchini Marekani leo amesema anakasirishwa na wanaosema amelamba asali ili kumfanya akae kimya, na kusema hilo ni kama tusi kwake lakini anavumulia kwakuwa ni sehemu ya harakati. "Nimekuwa nikifuatilia mijadala katika...
  14. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais mstaafu Uhuru Kenyatta kujiuzulu kama Mwenyekiti wa Azimio

    Aliyekuwa Rais wa awamu ya nne Uhuru Kenyatta anatarajiwa kujiuzulu kama Mwenyekiti wa Muungano wa Azimio, aliobuni pamoja Mhe' Raila Odinga katika kampeni za Uchaguzi Mkuu uliopita. Hatua hii ina maana kuwa sasa Raila Odinga na mgombea mwenza Martha Karua ndio watakaondelea kuongoza Muungano...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti UVCCM asema watawashughulikia wanaokejeli viongozi wao

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mohamed Ali Kawaida amesema watawashughulikia wanaowabeza viongozi wakuu wa nchi bila kujali nafasi zao walizo katika taifa hilo. Ametoa kauli hiyo katika ofisi za Jumuiya hiyo Gymkhana Mjini Unguja wakati wa mapokezi yake na...
  16. Kadoda nguku

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya ya wajumbe wa NEC, kipo kitu nyuma ya Pazia, Mwenyekiti shtuka

    Uchaguzi umekwisha , na wajumbe wa NEC wamechaguliwa. Itoshe kusema kanda ya ziwa ndio walio shinda kwa kurudi na wagombea wao wote. Matokeo Uchaguzi wa Wajumbe wa NEC-CCM Kwa Upande wa Tanzania Bara 👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼 Mkutano wa kumi wa CCM umefanyika na haya ndio majina ya wajumbe waliochaguliwa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Historia imeandikwa Rais Samia Mwenyekiti wa Kwanza mwanamke ndani ya Chama cha Mapinduzi

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumatano anaweka rekodi ya kipekee katika historia ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa wajumbe wa Mkutano mkuu wa 10 kumchagua kuwa Mwenyekiti wa kwanza mwanamke wa chama hicho tawala. Tangu Chama Cha Mapinduzi (CCM) kiasisiwe mwaka 1977, hakijawahi kuongozwa na...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ateuliwa kuwa mgombea wa Uenyekiti wa CCM

    Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imempitisha Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Mgombea pekee wa nafasi ya Mwenyekiti wa CCM Taifa kwa mwaka 2022 hadi 2027 na jina lake litapelekwa kwenye Mkutano Mkuu December 07 kwa ajili ya kupigiwa kura. Katika mkutano huo pia...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM, Samia Suluhu afurahishwa na maandalizi ya mkutano mkuu wa 10 utakaoanza kesho Desemba 7

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Taifa Rais Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua maandalizi mbalimbali ya Mkutano Mkuu wa 10 wa Chama unaotarajiwa kufanyika kuanzia kesho tarehe 07-08 Desemba, 2022 katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.
  20. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa UWT: Tunaziomba taasisi mbalimbali duniani zimpe Rais Samia tuzo

Back
Top Bottom