Mwenge is a county of the Kyenjojo district in Uganda. It makes up the western half of the district. It contains twelve sub-counties and four town councils, namely:
Maswali yangu ni kama ifuatavyo:
1)Tukiachana na blah blah faida inayopatikana kwa kuukimbiza mwenge ni nini hasa baada ya mabilioni kuteketea kwenye ukimbizaji wa mwenge ni kitu gani kinapatikana.
2)Mwenge huwa unahifadhiwa wapi(Mkoa) na mahali gani(jengo)?
3)Kiongozi wa mbio za mwenge huwa...
MBUNGE KAINJA - KARIBU WANANCHI WOTE WA MKOA WA TABORA TUUPOKEE MWENGE WA UHURU
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja Andrew anawakaribisha Wananchi wote wa Mkoa wa Tabora kushiriki Mapokezi ya Mwenge wa Uhuru ambao umeanza kuzindua miradi mbalimbali ndani ya Mkoa wa...
Polisi Wilayani Chunya wamezuia magari yote toka Chunya Makongolosi na yote toka vijijini KUSUBIRI MWENGE upite toka saa10 mpaka saa 5 hii.
Mwenge haujulikani uko wapi na utapita saa ngapi. Shughuli zote zimesimama KUSUBIRI upite. Sasa tutalaumuje kwamba maendeleo hayaji Wakati watu...
Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2023 Ndugu Abdallah Shaibu tarehe 02 Septemba, 2023 amepongeza utekelezaji wa miradi ndani ya Wilaya ya Momba na kusisistiza kuendeleza utunzaji wa mazingira.
Mbunge wa Jimbo la Momba, Mhe. Condester Sichalwe amewasisitiza watu wa bonde (Game...
Polisi wanapiga mabomu ya machozi muda huu hapa Mwenge. Wanapambana na Wamachinga ambao wanajihami kwa mawe.
Chanzo cha vurugu ni kwamba wamachinga wanagoma kuondoka maeneo waliyoamuriwa kutoka na kwenda kwenye eneo walilopangiwa katika barabara ya kwenda Cocacola.
Nguvu kubwa inatumika...
Jana ktk taarifa ya habari ya jioni Channel Ten kiongozi wa mwenge wa uhuru kitaifa alilalamika kuwa mkurugenzi mtendaji wa wilaya ya Rorya alionesha dharau kwa mwenge wa uhuru, hakutaka kutoa ushirikiano wowote ikiwa ni pamoja na kukata kutoa documents kuhusu miradi mbalimbali iliyoko ktkt...
Kiburi cha shibe ya madaraka ni kibaya mno.
DED wa Halmashauri fulani mkoani Mara amemjibu hovyohovyo kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa Abdalah Shaibu.
Hakutaka kutoa taarifa sahihi za miradi na alimjibu hovyo hadi watu waliona aibu.
Bwana Shaibu amesema Mwenge ni wa Rais wa JMT na amefikisha...
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa Abdallah Shaibu, amemuomba Rais Samia kumchukulia hatua za kinidhamu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya kwa kushindwa kutoa ushirikiano wakati wa ukaguzi wa nyaraka za miradi waliyoihitaji huku akidaiwa kutoa lugha zisizo rafiki kwa...
Mh. Rais Samia wiki mbili hivi zimepita ulitamka kuwa umetuma kikosi kazi kutathmini hali ya mashirika ya Umma ili kupata jibu lipi lifutwe, lipi libinafsishwe na lipi liboreshwe. Good.
Ni kweli tumekuwa na mashirika ya Umma ambayo ni kichaka cha uhujumu uchumi, hayana tija. Na kuna mashirika...
Baadhi ya Wafanyabiashara waliopisha mradi wa ujenzi wa Kituo cha Mabasi Mwenge (Mwenge Bus Terminal) na kudai kuwa waliahidiwa kupewa kipaumbele baada ya mradi kukamilika, mambo hayajaenda kama walivyotarajia.
Wamedai kuwa ahadi hiyo ilitolewa Mwaka 2019 baada ya Mkandarasi Mshauri kukabidhi...
Kampuni ya matangazo ya Imaging Africa usiku wa jumamosi tarehe 24.06.2023 walifanya uharibifu mkubwa wa kimazingira kwa kukata miti iliyooteshwa pembezoni mwa barabara.
Imaging Africa imefyeka miti hiyo ambayo hawakushiriki kuiotesha wala kuitunza.
Wamefyeka miti ili ubao wao wa matangazo ya...
MAANA YA MBIO ZA MWENGE
za Mwenge nchini Tanzania ni tamasha na sherehe za kila mwaka zinazofanyika kuanzia mwezi Aprili hadi Oktoba. Mbio hizo zina lengo la kuadhimisha na kuenzi uhuru wa Tanzania, kukuza umoja na mshikamano wa kitaifa, na kuelimisha umma kuhusu maendeleo na rasilimali za...
Waziri wa Nishati, January Makamba amelaani tabia za baadhi ya wanasiasa wanaodai kwamba Mwenge wa Uhuru umepitwa na wakati na ni mzigo kwa Taifa.
Makamba akipinga hoja hiyo amesema Mwenge ni tunu na nembo ya Taifa ambayo inapaswa kuheshimiwa hivyo, kusema kuwa unasumbua wananchi ni kuitusi...
Wakuu, sina haja ya kuwasalimia kutokana na mvurugo bila kusahau matusi ya Mkuu Mpwayungu naomba kuuliza wajuvi hivi mwalimu akishindwa kuchangia mchango wa MWENGE ambao ni shilingi elfu tano katika halmashauri hii anakuwa amemkosea nani kwa sababu naona ni wazi tunatafutana lawama. Kuna...
Msimamo wa Serikali ni kuwa Haina dini, ila watu wake ndiyo wenye dini. Labda, inaweza ikawa ni kweli.
Serikali imetuambia pia kuwa haiamini katika uchawi, lakini ni wachache watakaoweza kulipokea hilo!
Kwani Mwenge ni nini kama siyo uchawi?
Inasemekana, Mbio za mwenge ziliasisiwa na mchawi...
Hili suala la kuchangisha walimu mchango wa mwenge limekuwa endelevu Kwa sababu Kila mwaka walimu wanakuwa wakichangia Kwa kulazimisha.
Mbaya zaidi Kila mwaka fedha inakuwa ikiongezeka mfanonkutoka sh. 2000 kwenda sh. 5000. Hapa walimu wanatakiwa kujua nini Kilichosababisha ongezeko hilo.
Hii...
Ndugu zangu kwema?
Kama kuna jambo zuri limefanyika sio mbaya tukipongeza. Barabara ya Mwenge kama mwezi hivi umepita kulikuwa na tabia ya magari yanayotoka Tegeta kupendelewa zaidi kwa kuruhusiwa kupita barabara zote.
Soma: Adha ya foleni katika makutano ya barabara ya Mwenge
Pamoja na...
Maeneo yanayopitiwa na mbio za mwenge wananchi wanateseka bila sababu.
Chukulia mfano leo mwenge ulikuwa unaenda kuzindua barabara iliyojengwa kiwango cha zege kuanzia eneo linaloitwa sauzi mpaka matosa kuelekea njiapanda ya Goba.
Cha kushangaza barabara ilifungwa tangu jana kuanzia msikiti...
Wiki hii Mwenge wa Uhuru ulifika Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze mkoani Pwani kumulika na kukagua miradi ya maendeleo ambapo ilizindia Kituo cha Redio cha Chalinze FM 97.5 chini ya kauli mbiu yake ya 'Sauti ya Jamii'.
Chalinze FM iko katika Jengo la Makao Makuu ya Halmashauri ya Chalinze na...