mwenendo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. funaku

    Wizara ya Habari iangalie sana mwenendo wa wanaojiita CitizenTv mitandaoni

    Hii ni project ya kimya kimya sana inayouma na kupuliza lakini ukifuatilia posts au habari zao unanusa nia ovu nyuma yake. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
  2. Q

    PostGE2025 Viongozi 10 wa Afrika waliowahi kufikishwa ICC

    BBC. 1. Uhuru Kenyatta (Kenya) Uhuru Kenyatta Rais mstaafu wa Kenya. Alifunguliwa mashitaka Machi 2011 kwa makosa matano ya uhalifu dhidi ya ubinadamu. Kenyatta alidaiwa "kulidhibiti kundi la Mungiki" na kulielekeza kufanya mauaji, uhamisho, ubakaji na aina nyingine za unyanyasaji wa...
  3. Msanii

    Mwenendo na ukatili wa askari wetu unatafakatisha na kuhuzunisha

    Hakuna asiyejua kwamba mtawala aliyepo sasa ni mkandamizaji na muuaji dhidi ya raia wake wanaokosoa utendaji wake. Analitumia jeshi letu kwa ujumla wake kama jeshi lake binafsi. Tumeona baadhi ya wananjeshi wakivikwa sare za polisi wakati wananchi walipotaka kuandamana kupinga utekaji, utesaji...
  4. W

    GE2025 Polepole: Nimejiuzulu ili kuonesha kutofurahishwa na mwenendo wa serikali pamoja na chama

    Humphrey Polepole akifanyiwa mahojiano na Aloyce Nyanda ameeleza kuwa kujiuzulu kwake ni kama njia ya kupinga ama kuonesha kwake kutoridhishwa na mwenendo wa serikali na chama.
  5. mshale21

    Kwa mwenendo huu, siku moja serikali ya Tanzania itakuwa ya kijeshi

    Wakuu, kwa hali ya kisiasa ya style hii katika nchi, kuna harufu pengine jeshi lililo upande wa wananchi likaingilia kati, ipo siku tutalala tukiongozwa na Rais tunayemjua tukaamka na mamlaka ya kijeshi kama ilivyo huko 🇧🇫, 🇲🇱 na 🇳🇪.
  6. G Sam

    Rais Samia anasemwa kwa haki kabisa kutokana na mwenendo wa uongozi wake. Sijui kwanini anaona anaonewa? Mimi simuelewi kwanini aone hivyo

    Rais Samia aambiwe tu ukweli kuwa anaweza kubadilika na akaongoza vizuri tu kwa kufuata uelekeo mzuri. Tumwambie kuwa uelekeo alipo ni kama sisi watu wa Tanganyika tunaona hatupendi. Tumwambie tu hata kama ataendelea kuchukia sisi tuendelee kumwambia tu. 1. Kwanini amefungia mtandao wa Twitter...
  7. B

    PPP na UDSM kujadili mwenendo wa uchumi na nafasi ya sekta binafsi kuelekea Tanzania 2050

    Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) kwa kushirikiana na Taasisi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) imekuja na Kongamano la Wanazuoni kujadili mwenendo wa uchumi na nafasi ya Sekta Binafsi kuelekea Tanzania 2050. Kongamano hili litafanyika Jumanne tarehe 27/05/2025...
  8. meningitis

    Kamati ya Bunge Ulinzi na Usalama haina budi kujadili mwenendo wa Kenya katika siasa za Tanzania!

    Yapo matukio kadhaa ya kisiasa yaliyotokea na yanayoendelea kutokea nchini mwetu nyuma yake kukiwa na factor moja muhimu yaani #Kenya# hii trend sio ya bahati mbaya kama unachambua mambo kwa kina. mfano: 1-Lissu baada ya kupigwa risasi alienda kitibiwa Kenya. 2-lema alitorokea kupitia Kenyana...
  9. Red black

    Truth : kwa mwenendo wa siasa za Tz naiona ccm ikitawala kwa muda mrefu

    Ni dhahiri Tanzania hakuna upinzani wote wametiwa mfukoni. naiona ccm ikitawala kwa muda mrefu sana great than 150yrs. It's very painful. NB: mimi sio mwa CCM.
  10. Waufukweni

    RC Chalamila: Msemaji Mkuu wa Serikali kutoa taarifa kuhusu mwenendo wa Uokoaji maafa ya Kariakoo na siku ya kufungua maduka

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaamm, Albert Chalamila, amesema kuwa Msemaji Mkuu wa Serikali atatoa taarifa rasmi kuhusu mwenendo wa zoezi la uokoaji katika eneo la Kariakoo, ambapo maafa yalitokea hivi karibuni. Chalamila ameeleza kuwa zoezi la uokoaji linaendelea na taarifa kamili kuhusu hali ya...
  11. Mindyou

    LGE2024 Askofu Fredrick Shoo alia na rafu zinazoendelea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Ataja mbinu zinazotumika kuengua Wagombea!

    Dkt. Fredrick Shoo, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), hivi leo amezungumza na waandishi wa habari kuhusiana na zoezi la Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa linaloendelea nchini. Dkt Shoo amesema kumekuwa na makosa mengi katika Ucahguzi huu ikiwemo kuenguliwa kwa wagombea wa upinzani...
  12. ndege JOHN

    Tupeane updates za mwenendo wa mvua za VULI hapo ulipo

    Ni kwa yale maeneo ambayo huwa mmezoea kupata mvua mara mbili kwa mwaka mikoa ya pwani ya mashariki, pwani ya kusini, kaskazini na kanda ya ziwa hali ipoje TMA majuzi walitabiri mwaka huu zitanyesha chini ya wastani zitaanza kwq kususua.vipi zimeshaanza week la mwisho la august?kwa ujumla kupoje...
  13. A

    KERO Mwenendo wa uendeshaji wa treni ya Tabora-Mpanda

    Wakuu Naomba mnisaidie kupaza sauti kwa Serikali ifanye marekebisho kwenye reli ya Tabora-Mpanda hali ni mbaya mno, Yaani treni imekuwa na huduma za Hovyo Mno, unaandikiwa kwenye ticket treni litafika saa tisa mchana ila cha ajabu treni linafika saa Tatu usiku. Kwa ufupi wananchi wa huku...
  14. mwanamichakato

    TRA kuvunja rekodi dhidi vifo vya biashara na viwanda,tujitafakari na kujirekebisha

    Wafanyabiashara na wenye viwanda wanapaswa kulipa kodi stahili kwa uhai wa Taifa letu. Kodi zinazolipwa zinapaswa kutumika vema,Kulindwa na kusimamiwa vema na si kufujwa. Mchakato wa kukusanya kodi stahili unapaswa kufanyika kwa kuzingatia uhalisia wa kibiashara na kulinda mazingira bora ya...
  15. D

    Mwenendo wa Dunia & the Prophecy

    Habari: Kuna mataifa kadhaa duniani ambayo haya ndiyo ya kutizama sana Israel, Marekani, Vatcani ukiangalia vizuri Israel utagundua kuwa Kuna maandalizi makubwa ya kumkaribisha masihi kumbuka baada ya kifo cha Allen Sharon pm rabi yitzak kaduri alisema masihi atakua karibu kuijilia Israel...
  16. B

    Historia ya mwenendo wa hukumu za kesi katika Mahakama Tanzania chazinduliwa

    Majumuisho ya kesi mkakati zilizotolewa tangu miaka ya nyuma kuanzia 1983 hadi 2022 na maamuzi ya hukumu yakiangaziwa kwa kina kuona maamuzi ktk hukumu hizo NGURI WA SHERIA WAKUTANA JUKWAA MOJA, UZINDUZI KITABU CHA MWAKA CHA SHERIA ZA UMMA 2022.. https://m.youtube.com/watch?v=aA9LchsP9uo...
  17. Imruu

    Wadau, hivi mwenendo wa soko la ajira la Tanzania mnauonaje?

    Hebu nipeni mawazo yenu wakuu; hii trend ya upatikanaji wa ajira kwa upande wenu mnaionaje? Ukiangalia miaka kumi iliyopita, idadi ya fursa za ajira zilizokuwepo na idadi ya wataalamu huru waliokuwepo (wahitimu). Ukiangalia idadi ya fursa za ajira zilizokuwepo hivi sasa na idadi ya wataalamu...
  18. Nifah

    Diamond Platnumz badili mwenendo before it’s too late!

    Naandika hii thread kwa machungu sana, hili limeniwia vigumu sana kulisema hapa, lakini imenibidi! Siandiki nionekane nilisema, wala sipendi siku thread hii ije kufukuliwa kwamba yametimia, wala siandiki kama umbea. Hili ni suala serious juu ya kijana mwenzetu huyu maarufu pengine kuliko kijana...
  19. Zacht

    Ufaransa imekasirishwa na mwenendo wa Marekani kuhusu Niger

    Gazeti la kila siku la Ufaransa 'Le Figaro' liliripoti ya kwamba Marekani "imefanya kinyume kabisa na kile tulichofikiri wangefanya. Paris inahofia kwamba Washington inaweza kufikia makubaliano na serikali ya kijeshi ya Niger nyuma ya Ufaransa,wasiwasi umetanda ya kwamba Kuna uwezekano wa...
  20. JanguKamaJangu

    CAF yaombwa na Wadau wa soka wa Cameroon kuchunguza madai ya mwenendo usiofaa wa Samuel Eto’o

    Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) imesema linafanya uchunguzi baada ya kupata malalamiko kutoka kwa Wadau wa Cameroon wakitaka kuchunguzwa kwa mwenendo usiofaa wa Samuel Eto’o ambaye ni Rais wa Shirikisho la Soka la Cameroon (FECAFOOT). CAF inachunguza maombi haya kwa kuzingatia na kwa mujibu...
Back
Top Bottom