mwenendo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    JamiiForums Tanzania Mashabiki zangu wa Chelsea tupo tiari kupokea anguko letu kwa mwenendo huu?

    Naam uzi huu ni kwa mashabiki wenzangu wa chelsea. Kutokana na vikwazo iliyowekewa klabu na serikali ya uingereza, inaonekana kuna nafasi kubwa kwamba klabu yetu pendwa inaenda kupata anguko kubwa sana. Hakuna hela inayoingia kwenye klabu kwa sasa kwaio kutokana na matumizi makubwa ya klabu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania JWTZ ifanye uchunguzi dhidi ya tabia na mwenendo wa askari wake Denis Urio

    Hii kesi inayoendelea mahakamani imeufungua macho umma wa Watanzania juu ya tabia ya askari huyo. Aina ya Ushahidi ambao komando Urio ameutoa mahakamani umeacha maswali mengi sana ya umma juu ya tabia ya askari huyu lakini pia hata kuathiri taswira ya jeshi mbele ya umma. Kuna haya mambo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kutokana na mwenendo mbaya wa Simba SC ufuatao ni ushauri wa bure kwao

    1. Mtimueni upesi Kocha Mkuu Franco, Msaidizi wake Matola na Meneja Rweymamu. 2. Mpeni Kazi kwa Kipindi hiki Kocha Ndayiragije kisha asaidiwe na ama Pawasa au Mgosi kisha Meneja awe ni Nico Nyagawa. 3. Wachezaji watafutiwe haraka Mwanasaikolojia na nampendekeza awe ni mwana Simba SC Chris...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu kwenye Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu. Kesi imeahirishwa hadi 17, January 2022

    Kama kawaida kesi hii yenye kuvutia mamilioni ya watu duniani inaendelea tena leo 14/01/2022, kila siku inapotajwa yanaibuka mambo mapya yenye utata mkubwa, ya miamala umeyasikia, sasa hatujui leo kutaibuka jambo gani. Peter Kibatala na timu yake wapo tayari. ======= Kufahamu ilipoishia...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenendo huu Diamond tutamsahau baada ya miaka miwili ijayo

    Nikiwa kama shabiki kindaki ndaki wa Diamond Platnumz since kamwambie hadi leo hii, nauona mwisho wa msanii huyu kuwa hauko mbali. Diamond wa miaka miwili iliyopita siyo huyu wa sasa. Kila analogusa linaangukia pua skendo zake, kiki, na vitu vingi vya kimaendeleo hiviwi kama ilivokuwa mwanzo...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Tupeane mwenendo wa bei ya mahindi kutoka kona zote za nchi

    Ndugu wanajf, Sisi wakulima tujulishane mwenendo wa bei ya mahindi kila kona ya nchi, ili kujua wapi soko zuri lipo. Arusha na Mwanza bei ikoje kwa gunia la kg 100? tf
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuibuka kwa vikundi vikali ni kutokana na mwenendo wa serikali katika nchi

    Leo nimepata kukusanya japo kidogo na kuunganisha kwa nini kuna makundi au vikundi baadae huja kuwa tishio au kuondoa tawala kabisa. Suala la kuibuka kwa makundi au vikundi kuna mawili ambayo yanafanya kuibuka. Makundi haya yanaweza kuwa ya chanya au hasi. Sababu ya kuibuka makundi: Ukosefu...
Back
Top Bottom