mwendokasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hivi ni kweli serikali haifahamu kero ya usafiri wa mabasi ya Mwendokasi?

    Ukimya wa serikali wa kutatua changamoto ya huu usafiri binafsi unanipa wasiwasi huenda serikali haifahamu izi shida ambazo wananchi wanao tumia usafir huu tunakutana nao. Jana Jumatatu pale Gerezani nilitumia masaa 3 na dakika nyingi kusubiri usafiri, imagine nimefika pale saa 10 jioni...
  2. Senegal yazindua mabasi ya Mwendokasi

    Nchi ya Senegal imezindua mradi wa usafiri wa kwanza wa mabasi yaendayo kasi ya umeme (BRT) katika mji mkuu wa Dakar. Katika hafla ya uzinduzi, Waziri Mkuu wa Senegal Amadou Ba alisema kuwa mradi huu ni miundombinu ya kisasa sana, na pia ni uvumbuzi mkubwa. Mradi wa Dakar BRT, unaojivunia...
  3. DOKEZO Responded Mwamba ajenga fremu kituo cha Mwendokasi Mbagala licha ya kupigwa stop na serikali

    Bila shaka huyu ni kigogo mzito sana, anajenga frem kwenye hifadhi ya barabara, ndani ya kituo cha mwendokasi Mbagala, kibali amepata wapi? Ilikuja Tanroad ikasimamisha ujenzi na kupiga X jamaa akafuta kwenye x za kijivu ujenzi unaendelea, wakaja tena wakarudia kupiga X bado mafundi wanapaua...
  4. Basi la Mwendokasi lateketea kwa moto Kibamba

    Basi la Mwendokasi limeteketea kwa moto usiku huu eneo la Kibamba mkoani Dar es Salaam.
  5. Hamis Chaurembo: Dereva mjinga aliyeuwa abiria kwa mwendokasi Kigoma

    Aliyekuwa Dereva na mmiliki wa gari ndogo, Hamis Chaurembo (27) maarufu kama SIMBA ambaye amefariki baada ya kupata ajali mbaya huko Kibondo Kigoma amezikwa jana. Ila kuna cha kujifunza hapa kutokana na maneno ya baadhi ya marafiki zake. "Baadhi ya A.K.A alizopambwa nazo ni pamoja na 'Mwendo...
  6. Serikali tafuteni suluhu kwenye mabasi ya mwendokasi mtasababishi magonjwa au vifo vinavyoweza kuepukika

    Jamani kwani serikali inakazi gani??inakuwaje inaleta mfumo mpya kwa lengo la kurahisisha na kuleta ufanisi katika anga la usafiri lakini inashindwa kabisa kufata sheria walizoweka wenyewe?? Juzi nimetoka zangu mkoani kuja zangu Daaslamu huku usafiri mkubwa na watabu ukiwa ni...
  7. Prof. Tibaijuka: Mimi nilikataa Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi kujengwa Jangwani, Sikuwa na Madaraka ya Kuzuia

    Prof. Anna Tibaijuka amesema wakati akiwa Waziri wa zamani wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, hakutoa Kibali cha Ujenzi wa Kituo cha Mabasi Yaendayo Kasi katika eneo hilo lakini ulifanyika kwa maamuzi yasiyo sahihi Tibaijuka amesema "Jangwani haina kibali changu kuwa pale. Mimi nilikataa...
  8. Harmonize Aleta Msisimko Kariakoo: Biashara Zasimama, Mwendokasi Zasimama!

    https://youtu.be/rK1Y8GhcZFI = https://youtu.be/B_cAMoJBT5Q
  9. Hali ya mabasi ya Mwendokasi Mbezi Mwisho ni kero tupu kama kawaida leo Novemba 15, 2023

    Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi Mbezi Mwisho hali ni mbaya, abiria tupo wengi lakini mabasi hakuna, kuna watu wako hapa tangu Saa 12:10 Asubuhi (leo Novemba 15, 2023) lakini hakuna msaada wowote. Hivi viongozi wetu wanaishi wapi mpaka hawaoni hii kero? Kila siku ni kilio cha Mwendokasi tu. Hapa...
  10. Ulivyotoka mkoani ulifanikiwa kupanda mwendokasi?

    Hapa nazungumzia watu waliofika Dar mara moja na kuondoka siyo kukaa. Exprience yako ya mwendokasi iko namna gani? Mwendokasi ni mradi unaoiweka sana Dar kwenye ramani. Si ndani ya Tanzania tu, hata huko duniani watu wanausifia sana sana. Mimi kama mwaka 2020 nilifika Dar na kusema ngoja...
  11. Hali ya Usafiri wa Mwendokasi Mbezi Luis asubuhi ya leo ni shida kama zote

    Ndugu zangu wana JF hii video ni ya leo asubuhi katika Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi Mbezi Luis, yaani kimekuwa na changamoto ya uhaba wa magari asubuhi ya leo Oktoba 16, 2023. Foleni imekuwa kubwa ya abiria kusubiri mabasi, wapo ambao wamelazimika kusubiri mabasi hayo kwa saa tatu. Upande wa...
  12. Serikali iongeze mwekezaji kwenye barabara ya mwendokasi ili kukuza ushindani

    Kutokana na uendeshaji wa shirika la DART kusuasua, na kwamba zaidi ya magari 70 kufikia kuwekwa pembeni kutokana na ubovu na madereva kushindwa kufanya kazi kwa ufanisi ikiwa ni pamoja na kutokutoa huduma zinazo ridhisha, ni wakati sasa kwa serikali kuongeza mwekezaji mwengine kwenye njia hiyo...
  13. R

    Wasimamizi wa Mwendokasi wameng'oa mifumo ya elektroniki, wameua magari Rundo, madereva wanagongana barabaran, foleni: RC na DC mpo wapi?

    Ni aibu kwa mkuu wa mkoa, mkuu wa wilaya na viongozi wote wa DSM kwa namna mabasi ya mwendo kasi yanavyofanya kazi. Mradi mkubwa kama huu hakuna kiongozi yeyote anayeuangalia wala kusimamia unajiendesha wenyewe. Magari yawepo au yasiwepo wala hakuna anayeangaika. Mifumo ya ukataji tiketi...
  14. Inawezekanaje Mwendokasi iondoke Kimara ikiwa tupu hadi depo Jangwani huku ikiacha abiria?

    Ninawaamkua wote. Hali hii inajiri Kimara, Kivukoni hata Gerezani. Inapofikia peak hour magari ya mwendokasi yanakuwa bize kurudi depo Jangwani huku ikiwaacha abiria na sintofahamu ya kupata uhakika wa usafiri. Pale Kimara unakuta gari nyingi zimepaki kama.mbovu na hakuna linaloendelea na...
  15. Mamlaka ziweke matuta barabarani Tegeta Kibaoni, kuna matukio mengi ya ajali kutokana na mwendokasi wa magari

    Barabara ya Tegeta Kibaoni mpaka Mbezi kupitia Madale Jijini Dar es Salaam ina changamoto ya kutokea mtukio ya ajali, kuna baadhi ya watu wamepoteza maisha kutokana na ajali hizo. Tatizo zaidi lipo hasa kipande cha kuanzia Wazo Kontena hadi Flamingo, magari yanakimbia kwa kasi sana, tunaomba...
  16. R

    Kwanini CCM ilishinikiza kuondolewa kadi za malipo kwenye miradi ya mwendokasi DSM? Wananufaikaje na wizi wa tiketi za kuchana kwa mkono?

    Viongozi wa Dart wanadai kuondolewa kwa mfumo wa kadi za malipo vituo vya mwendokasi yalikuwa maazimio ya chama na serikali na kwamba mifumo hiyo iliondolewa kwa lengo la kuwanufaisha watu fulani. Baada ya mifumo hiyo kuondolewa iliamuliwa makampuni ya ulinzi wakiwemo vijana wa jkt waanze...
  17. Tamko litolewe kukemea mwendokasi wa hizi treni.

    Ajali mbaya ya gari moshi kulambana uso kwa uso na basi linasosadikiwa kumilikwa na Magereza ya Ukonga jijini Dar es salaam. Ajali hiyo imetokea muda wa jioni siku ya Mawlid maeneo ya Ukonga ambapo chanzo cha ajali hiyo hakijajulikana lakini mashuhuda wanasema Dereva[Captain] wa gari-moshi...
  18. Wauza tiketi wa usafiri wa Mwendokasi wanakera sana

    Siamini kabisa kuwa Udart wanaweza kuendesha biashara kwa kukosa chenji ya kurudisha kwa abiria wao. Mara nyingi sana utakutana na kero la kukosekana chenji kwenye vile vibanda vya wauza tiketi vilivyoko kando ya barabara ya Morogoro hasa kwa maeneo ya Kimara Temboni, Mbezi kwa msuguri...
  19. KERO Responded Dar: Abiria wateseka kwenye foleni kusubiri mabasi ya mwendokasi Kituo cha Mbezi Mwisho

    Hali ya usafiri wa katika Kituo cha Daladala cha Mbezi Mwisho ilivyo asubuhi ya leo Septemba 25, 2023, Mdau anasema hakuna gari za Mwendokasi, foleni ya abiria imefika zaidi ya watu 9,600 Pia soma: DART: Sababu ya uhaba wa mabasi ya Mwendokasi Vituoni, ni hakuna mfumo rasmi wa kuongozea...
  20. Leo jioni nimepanda mwendokasi baada ya kupata breakdown lakini kilichonitokea aisee wanawake hizo nywele muwe mnaosha

    Hapa leo hadi nimeshindwa kwenda bar najiuliza hii choking naitoaje maana nahisi bado ile harufu ipo puani mwangu. Ilikua hivi, nimepata breakdown mahala nikalazimisha limp mode hadi garage ila gari imebidi kuiacha hapo. Ili kufika ninakokwenda ikabidi nichukue mwendokasi jioni hii, mule ndani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…