Serikali itafute foreigner ndio awe bosi wa mwendokasi, ila siyo kubinafsisha

Masikio Masikio

JF-Expert Member
Apr 12, 2023
1,843
3,379
Shirika la emirates bos wake ni mzungu ila shirika ni mali ya emirates kwanini serekali isitafute muwekezaji kutoka foreign country kupitia interview na wampe kazi

Sio tu mwendokasi hata TANESCO wapewe foreigner watanzaia wengi uwezo wa management hawana kubinafshisha moja kwa moja sio suluhusho

Tujifunze gulf countries walivyofanya kwenye mashirika yao ambayo yana ukwasi wa kufa mtu
 
Kenya tu University of Nairobi wamempa Mholanzi.
Hata Voda, Airtel maboss wageni ndiyo maana kuna nidham. Hapa ukimpa mtu ukurugenzi watu wanawaza jinsi ya kumloga tu wapendelewe na jinsi ya kufanya upigaji
 
Shirika la emirates bos wake ni mzungu ila shirika ni mali ya emirates kwanini serekali isitafute muwekezaji kutoka foreign country kupitia interview na wampe kazi

Sio tu mwendokasi hata TANESCO wapewe foreigner watanzaia wengi uwezo wa management hawana kubinafshisha moja kwa moja sio suluhusho

Tujifunze gulf countries walivyofanya kwenye mashirika yao ambayo yana ukwasi wa kufa mtu
mgeni hawezi pokea maelekezo na na ku bow down pressure za kisiasa
 
Back
Top Bottom