mwendokasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Serikali kukopa Fedha NMB kwaajili ya kununua Mabasi 100 ya Mwendokasi

    Msajili wa Hazina Nehemia Mchechu, amesema katika jitihada za kuboresha uendeshaji wa mabasi ya mwendokasi benki ya NMB imekubali kutoa mkopo kwa Serikali ambayo inamiliki kampuni ya UDART kwa 85% ili kuongeza mabasi zaidi ya 100 ya mwendokasi. Akiongea Jijini Dar es salaam leo July 15,2024...
  2. Kamavinga

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani Barabara ya mwendokasi ya mbagala?

    Kwa ninavyofaham, barabara ya mwendokasi ya kuelekea mbagala ilishakamilika kwa 100% kwa zaidi ya mwaka sasa, lakini mpaka sasa haijaanza kutoa huduma. Badala yake, sasa imekua ndo barabara kuu ya bodaboda. Inasikitisha na kutia hasira, kuona kitu ambacho kingetoa msaada kwa maelfu ya wananchi...
  3. Wazolee

    JamiiForums Tanzania Kubali au ukatae Magufuli angekuwepo mwendokasi mbagala ungekuwa imeshaanza

    Amini usiamini Magufuli angekuwepo sahizi mabasi ya mwendokasi yangekuwa yanapishana Barbara ya mbagala mengine yanaena na mengine yanarudi R.I.P Jembe langu
  4. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Hivi unaendaje kuweka karakana ya Mwendokasi katikati ya mji? Bado hamjajifunza kwa kilichotokea Jangwani?

    Bado hamjajifunza tu, mwanzo mlifosi mkaweka karakana pale Jangwani, kilichowapata kila mtu anajua. Mwaka huu tena mmeamka na akili zenu finyu mnataka kwenda kuweka karakana pale Simu 2000 a.k.a Mawasiliano. Hivi ni mnatumia akili kufikiri au mnatumia mgongo? Kwa sasa mradi wa mwendokasi...
  5. Heparin

    JamiiForums Tanzania Machinga wa Soko la Simu2000, Dar es Salaam wagoma na kufunga barabara asubuhi ya leo, Julai 8, 2024

    Wafanyabiashara wadogo maarufu kama wamachinga katika Soko la Simu2000, jijini Dar es Salaam wameanza mgomo asubuhi ya leo Jumatatu Julai 8, 2024 kwa kufunga barabara, huku wakiimba nyimbo za kudai haki yao. Wamachinga hao wanadaiwa kulalamikia mpango wa sehemu ya eneo wanalofanyia kazi zao...
  6. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Wakati sisi tunalalamika kuhusu parking wewe unalalamika kuhusu mwendokasi

    maisha ni kuchagua.
  7. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Bodaboda ni kero kubwa na chanzo cha ajali kwenye Zebra ya Msimbazi Kariakoo ambazo zimefutika

    Mamlaka za Jiji kwa kushirikiana na Kitengo cha Usalama Barabarani (Polisi) waangalie kwa jicho la tatu namna Bodaboda wanavyotumia vibaya kipande cha Mwendokasi eneo la Msimbazi la Kariakoo, Dar es Salaam. Bodaboda wamekuwa kero kubwa na kusababisha ajali za mara kwa mara kwenye njia hiyo...
  8. Selemani Sele

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Muonekano wa Mabasi mapya ya Mwendokasi yaliyoletwa na DART

    Inadaiwa Mwendokasi mpya zimefika leo kwenye roro. Je, zitadumu?
  9. R

    JamiiForums Tanzania BUS LA MWENDOKASI LAPATA AJALI

    Basi la mwendokasi limepata ajali baada ya kuacha njia na kuvamia jengo la jmall Bahati mbaya nimeshindwa kupata picha.
  10. gstar

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Mwendokasi na Range Rover Mtaa wa Kisutu na Samora

    Ajali mbaya iliyohusisha gari ya Mwendokasi na Gari binafsi ya kifahari aina ya Range Rover imetokea kwenye njiapanda ya mtaa wa Kisutu na Samora, majeruhi wamesha ondolewa kwenye eneo la tukio. Taarifa zaidi zitakujia.
  11. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Serikali Haiwezi Kuendesha SGR Kwa Watanzania Tuliopo. Tujifunze Kutoka Kwenye Mwendokasi

    Mbona barabarani kuna makampuni kibao, Makampuni kwenye SGR yawe mengi, yalipe tu kiwango fulani serikalini kisha yapige kazi. Tumeona kinachoendelea kwenye Mwendokasi ni aibu tu na mateso kwa abiria. Tusikubali SGR ifike huko. BINAFSISHA mara MOJA kama anavyosema Waziri Mbarawa
  12. Common Folk

    JamiiForums Tanzania KERO Usafiri wa Mwendokasi umekuwa kituko na aibu kwa nchi dhidi ya wageni!

    Kwa jinsi hii DART ilivyokuwa inapigiwa promo enzi mradi unaanza, na hali halisi ya sasa ya uendeshaji wake, ni dunia mbili tofauti. Kuna kipindi mradi ulivyokuwa unafunguliwa na Hayati Magufuli huu mradi ulitumika kama benchmark kwa nchi kadhaa za Afrika ambazo walidai watakuja lujifunza...
  13. Msanii

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Mwendokasi yaua eneo la Urafiki

    Muda huu saa mbili ahsubuhi tarehe 11 June 2024, nimepita eneo la Urafiki jirani na Shekilango nikiwa ktk Mwendokasi kwenda Kimara, basi nililopanda lilipofika mataa ya Urafiki limechepuka kutoka njia yake na kupita barabara ya kawaida. Tumeenda mbele tunaona kuna umati ktk brbr ya mwendokasi...
  14. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kujenga Utajiri wa Mwendokasi

    Rafiki yangu mpendwa, Utajiri ni kitu kizuri sana kwenye maisha. Hiyo ni kwa sababu utajiri unatuweka huru, kwa kutuwezesha kuyaishi maisha yetu vile tunavyotaka. Kitu kimoja ambacho watu wengi huwa hawakijui ni kwamba kila mtu anaweza kuwa tajiri. Ndiyo, namaanisha kila mtu kabisa, ikiwepo...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Uganda kuiuzia Tanzania Mabasi ya Umeme kwaajili ya Mradi wa DART (Mwendokasi)

    Kampuni ya Magari ya Umeme ya uganda, Kiira Motors, inatazamiwa kusambaza mabasi ya EV kwenda Tanzania kwa Mabasi Yaendayo Haraka ya Dar es Salaam (DART). Video ya tangazo la jaribio la kuendesha ni ya kuvutia🙌! Uzuri wa Tanzania unang'ara😍. Shuhudia Kayoola EVS Model 2024 ikifanya kazi jijini Dar
  16. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Huduma za TRC Mpya zisiwe za ubabaishaji!

    Hivi karibuni jijini Dar es salaam, tukiwa tunapambana kuingia ndani ya basi la Mwendokasi lililokuwa ‘limeshona’ abiria, nilimsikia mwenzangu mmoja akisema kwa uchungu, “Kama Mwendokasi inatutesa namna hii, hiyo treni ya SGR si itatuua kabisa?” Nilibahatika kuingia, lakini yeye hakufanikiwa...
  17. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chalamila: Waliojenga Stendi ya Mwendokasi Jangwani walitakiwa kuchapwa viboko

    Akiwa katika muendelezo wa kusikiliza kero za ananchi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, ndg. Abert Chalamila akiwa Wilaya ya Ilala aliwaambia wananchi waliojenga stendi ya mwedokasi jangwani wanastahili kuchapwa viboko. Ikumbukwe pia Chalamila aliwahi kutoa kauli inayofanana na hii mapema mwaka...
  18. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi latoa ufafanuzi juu ya tuhuma za baadhi ya Trafiki kuhusika na uchepushaji wa fedha

    Jeshi la Polisi lingependa kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa zilizoandikwa na kusambazwa kupitia vyombo vya habari zikisema "Wachepusha mfumo wa malipo". Taarifa hiyo imeenda mbali zaidi ikidai na kutaka kuaminisha umma kuwa askari wa Usalama barabarani wameingilia mfumo wa malipo ya fedha za...
  19. Mshobaa

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa serikali kupanda Mwendokasi

    Wakuu kwa hali inavyoendelea hivi sasa katika usafiri wa Mwendokasi ni janga kubwa sana kwa watu wa hali ya chini. Jioni ukiwa kwenye vituo utashuhudia wafanyakazi mbali mbali wa umma wakiwa wamebebwa kwenye magari yao eidha coaster au magari madogo wakipita kwenye njia hizo hizo za BRT wakiwa...
  20. KatetiMQ

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Mwendokasi Kimara umekuwa mwiba mchungu

    Nina maumivu Sana moyoni juu ya ninayoyaona hapa kimara hebu tazama
Back
Top Bottom