mwekezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ukiangalia ukwasi waliokuwa nao wafanyakazi wa bandari na ufanisi ni mdogo ni bora bandari ipewe mwekezaji

    Mod nakuomba huu uzi usiunganishe Ukiangalia hapa duniani management ni tatizo kubwa tuliokua nao waafrika sehemu yeyote katika nchi za kiafrika watu wanapigania matumbo yao na sio uhai na ufanisi wa taasisi au kampuni husika. Ukiangalia ukwasi waliokua nao wafanyakazi wa bandari binafsi...
  2. JamiiForums Tanzania Mwekezaji kwenye uchimbaji wa dhahabu anahitajika

    Habari ya muda huu GreatThinkers Hili ni shamba la dhahabu lenye zaidi ya heka 35. Mwenye eneo ameshapata nyaraka zote zinazotakiwa toka wizara husika na upande wa geologist report - anayo ambayo aliipata toka kwa local company. Heka 5 tayari zimeshatengwa kwaajili ya uchimbaji (binafsi) na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC na Mwekezaji Mo Dewji mambo madogo madogo yanayotuaibisha kama haya yawe Historia Klabuni Kwetu

    Nimekwazika sana tu kusikia ( tena kutoka kwa Msemaji Ahmed Ally akikiri hivi punde EFM Sports Headquarters na kusema zimechelewa tu kidogo kutokana na Masuala ya Fedha ) kuwa Wachezaji wa Simba SC wana manung'unuko ya Moyoni baada ya kutopewa / kutolipwa Posho zao kwa wakati ambazo Sisi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji atakayewekeza kwenye gharama za uendeshaji wa kampuni

    Habari wakuu, Natafuta mwekezaji ambaye atawekeza kwenye gharama za uendeshaji wa Kampuni. Kampuni inadeals na Engineering works na supply of materials. Kwa sasa, Kampuni ina investor ambaye anawekeza hela kazi ikipatikana. Upatikanaji wa kazi unapungua kwa kupungua kwa fedha za uendeshaji wa...
  5. JamiiForums Tanzania Namna Mwekezaji Bill Ackman alivyogeuza $27m kuwa $2.6b ndani ya mwezi mmoja (almost 10,000% ROI)

    Hello bosses and rosses... Leo nmekaa mahala fln nikakumbuka pilikapilika za COVID-19. Kipindi hicho yalitokea mengi sana kwenye historia ya uchumi wa dunia, likiwemo lile ya bei ya mafuta ghafi(crude oil) kufikia zero hadi negative. Hapa nchini kwetu nakumbuka the rate Magufuli (RIP) alipeleka...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwekezaji katika biashara au mtu atayekubali kuweka hela kwenye kila kazi na tutagawana faida

    Habari wakuu, Nimerudi kwenu kwa mara nyingine tena. Mwaka juzi (2021), nilikuja hapa kwenye jukwaa na kutafuta business partner ambaye atakuwa tayari kuwekeza kwenye Machine shop. Hii kwa maana ya kwamba mimi nitawekeza kwenye Ujuzi & Marketing na yeye atawekeza kwenye ununuzi wa machines...
  7. JamiiForums Tanzania Wizara ya Nishati yalaumiwa kumkwamisha mwekezaji umeme wa upepo Singida

    Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida, Elia Digha ameilaumu Wizara ya nishati kwa kumkwamisha mwekezaji anayetaka kuzalisha umeme kwa njia ya upepo mkoani Singida. "Nimezungumza nao wawekezaji wanasema wanakwamishwa na wizara husika, watu wasikwamishe miradi ambayo iko wazi Rais...
  8. JamiiForums Tanzania Je, ni nani huyu mwekezaji wa kutujengea reli kipande Cha Uvinza-Gitega?

    Kwanza kabisa siungi mkono utaratibu wa kukatana kwa kusafirisha mzigo ni utaratibu mgumu sana. Huu ni mkopo pia lakini usioeleweka kabisa, maana marejesho ni kukatana kwenye mizigo utafikiria biashara ya michele kule Mbeya. Bora serikali ichukue mkopo kutoka kwake wawe na time frame ya kulipa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, hata siku moja mwekezaji habembelezwi kuja kuwekeza nchini, tafadhali zingatia yafuatayo watakuja wenyewe

    Huwa naziona jitihada nyingi za raisi Samia kubembeleza wawekezaji kuja kuwekeza nchini, hadi namuonea huruma kwa sababu naelewa anapigia debe kitu ambacho sio rahisi kufanikiwa. Napenda kumwambia Raisi Samia kwamba wawekezaji hawavutwi au kushawishiwa kwenda kuwekeza kwenye nchi fulani, huwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Chawa mkuu wa mwekezaji kasepa sasa anayefata ni mwekezaji mwenyewe

    Nafikiri hali si shwali ndani ya klabu ya mikia kwa sasa, kuondoka kwa babra kunaitimisha safari ya mwanamama uyu juu ya maneno mengi yaliyokuwa yanasemwa juu yake, akilalamikiwa na viongozi mbali mbali ndani ya klabu kuwa ana dharau na ni mbinafsi, kauli za manara dhidi yake zimetimia leo na...
  11. JamiiForums Tanzania Tetesi: Mwekezaji aliyeikamata ndege yetu alijitoa kwenye mradi mwaka 2015 Mwigulu Nchemba ukataka kumrudisha ikashindikana. Sasa hayo madai ni ya nini?

    Agro Eco Energy alijiondoa kwenye mradi wa sukari wa Bagamoyo 2015, huyu aliyeikamata ndege yetu ni nani? Mwigulu Nchemba tunahitaji majibu hapa. Kwa mujibu wa gazeti la The Guardian la tarehe 21 October 2015 kampuni ya The Swedish international Agency ilijitoa kwenye uwekezaji wa mradi wa...
  12. JamiiForums Tanzania TRA yadai ilishamalizana na Mwekezaji wa shamba la Maua Kilimanjaro

  13. JamiiForums Tanzania Simba kuna shida kubwa zaidi ya hiki kinachoonekana nje, mambo yanaenda kishkaji-shkaji

    Miezi kadhaa iliyopita mwekezaji wa Simba, Mo Dewji alitangaza kujiweka pembeni kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya klabu hiyo, kisha ‘kishkaji’ akamkabidhi nafasi hiyo Try Again, baada ya hapo Mo akapotea, akawa anaonekana kwenye matukio machache ya klabu, ni kama aliamua 'kukata waya' na kuendelea na...
  14. JamiiForums Tanzania DOKEZO Wananchi wa Mbagala walalamikia DAWASA kusitisha huduma ya mwekezaji binafsi

    Wakazi wa Mitaa ya Bughudadi, Kizinga na Moringe, Kata ya Mbagala wameilalamikia Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) wa kutowatimizia mahitaji yao ya maji maeneo yote na kudai kuwa hali hiyo inawalazimu kutumia muwekezaji binafsi kupata huduma hiyo. Malalamiko hayo...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya mfanyabiashara na mwekezaji Hilal Hamad maarufu 'Phantom' yafanyika Mjini Shinyanga

    Mazishi ya aliyekuwa Mfanyabiashara na mwekezaji mzawa wa mkoa wa Shinyanga Hillal Hamad maarufu kwa jina la Phantom, yamefanyika leo Jumanne tarehe 04,10,2022, kwenye makaburi ya Waislamu yaliyopo Nguzonane katika Manispaa ya Shinyanga. Mazishi ya Mwekezaji huyo ambaye pia alikuwa ni kada wa...
  16. JamiiForums Tanzania Mwekezaji Mo Dewji please Say something hali si Shwari ndani ya Simba SC kama tunavyolazimishwa Kuamini

    Nimedokezwa na Mtu wa Ndani ambaye pia ni 'Credible Source' wangu kuwa hili la Dejan Mzungu ni cha Mtoto, ila kuna Fukuto Kubwa ndani kwa ndani ila linazimwa kwa Nguvu ya Soda tu. Nawaona taratibu sana Yanga SC wanaanza Kutoka katika Upuuzi uliopo na unaoendelea Kukomaa ndani ya Klabu yangu...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Bila Katiba Mpya hakuna mwekezaji atakuja kuwekeza Tanzania, Kenya waula

    Rais mpya wa Kenya amesema nchi yake inakimbiliwa na wawekezji kwasababu kuna demokrasia na hivyo mustakabali wake unatabirika. Uchaguzi uliyopita umeithubitishia dunia kwamba Kenya Ina misingi imara ya kidemokrasia na hivyo haitayumbishwa na yeyote. Hapa Tanzania kwa katiba ya sasa ambayo...
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta mwekezaji (Investor) wa App yangu ya Online Casino

    Habari wakuu! Mimi ni kijana ambaye ninatamani na ninapambana sana kuwa mjasiriamali upande wa mtandaoni (online au e-entrepreneur). Miaka kadhaa iliyopita nilipata idea ya App ya Online casino (ambayo ni tofauti na online casino zilizoeleka kwa kila kitu),ila kwasababu idea kama idea haitoshi...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali ya Zanzibar yasitisha ujenzi wa 'Blue Amber', kibali cha mwekezaji chazuiwa

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesitisha ukodishaji wa ardhi iliyotolewa kwa kampuni ya Pennyroyal Limited ya Uingereza ya Pennyroyal Limited ya Matemwe, mwendelezaji huyo ametangaza. Ardhi inayozungumziwa ilikuwa hekta 411 ambapo mradi wa mapumziko wa Blue Amber ulikuwa unaendelea...
  20. JamiiForums Tanzania Mwekezaji afunga kiwanda kwa kukosa umeme

    Mwekezaji Mzawa wa Kiwanda cha kuzalisha nguzo za umeme cha TAWOODS, Peter Mwera amelazimika kufunga kiwanda chake baada ya kupata hasara ya zaidi ya shilingi bilioni moja kutokana na kukosa huduma ya umeme. Chanzo: Gazeti la Sauti ya Mara
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…