mwanza

  1. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inakubalika zaidi Nyanda za Juu Kusini lakini Viongozi wao wanapenda zaidi Mwanza!

    Nilitegemea Mkutano wa kwanza wa hadhara wa Chadema ungefanyika katika Moja ya mikoa ya Nyanda za Juu Kusini yaani Iringa, Mbeya, Njombe, Songwe au Rukwa. Lakini kwa mshangao Viongozi wakuu wameamua kwenda Mwanza kwenye ngome ya Shujaa. Naona magari yanapigwa rangi na kufanyiwa service za...
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA tulishapoteza mvuto na nguvu Mwanza na Kanda ya Ziwa. Kuzindua mikutano Kanda ya Mwanza haisaidii

    Nguvu tuliyokuwa tumewekeza kanda ya ziwa hasa maeneo ya Mwanza, Tarime, Geita na Chato ilishamalizika. Tulioshaonekana ni wasaliti na waganga njaa. Hatuwezi kurudisha ushawishi tena. Kunzisha mikutano ya hadhara tar 21 tukianzia Mwanza sio suruhu.
  3. JamiiForums Tanzania CCM, Angelina Mabula na Stanslaus Mabula, hizo nyumba zilizouzwa na Jiji la Mwanza zinaenda kuwa ajenda ya kwanza ya wapinzani. Mtatikiswa!

    Rais Samia amefungulia mikutano ya hadhara, na katika majiji ambayo Chadema wanajiwinda kuyadhibiti ni Mwanza, Arusha, Mbeya na Dar es salaam. Wanatafuta ajenda nzito za kutikisa na kuwashika wananchi. Arusha walifanya tukio, Sasa hivi wote wananyea debe, angalau wanaarusha wanaelewa hatua...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali ipeleke BRT Dodoma & Mwanza etc

    Nimetoa mikoa hiyo miwili kama mfano tu wa mikoa mingine. Mwanza na Dodoma walau ni tambarare na urahisi kidogo wa kujenga barabara unaweza kuwepo. maeneo hayo yanatakiwa yaanze kujengwa miundombinu ya kisasa mapema. vilevile, kwasababu umeme utakuwepo, sio mbaya tukajenga na trams kwenye mikoa...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Sakata la RC Malima na Mkurugenzi Mwanza halina tofauti na wale wauguzi kubishania vifaa tiba feki

    Kuna tuhuma nzito zimetangazwa na mkuu wa mkoa wa Mwanza RC Adam Malima ameonekana akimtuhumu Mkurugenzi wa jiji kuhusika na utapeli wa kuuza viwanja viwili vyenye thamani ya Bilioni moja! Hii ni taharuki na tuhuma nzito sana! Ukitafakali kwa kina jambo hili linaibua maswali mengi sana yasiyo...
  6. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Jiji la Mwanza ashtakiwa TAMISEMI madai ya kuuza viwanja

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima 'amemshtaki' mkurugenzi wa jiji hilo, Sekiete Yahya kwa Wizara ya Tamisemi ambayo ndio mamlaka yake ya nidhamu, akimtuhumu kuhusika na uuzaji wa viwanja viwili vyenye thamani ya Sh1 bilioni. Wakati barua ya mashtaka ikitua Tamisemi, Malima ameagiza watumishi...
  7. JamiiForums Tanzania RPC Mwanza: Uhalifu ukifanyika mlinzi anakimbia

    Jeshi la Polisi mkoani Mwanza, limedhamiria kuwapa mafunzo ya utayari walinzi wa makampuni binafsi ili kuhakikisha wanatekeleza kwa weledi shughuli zao za ulinzi na kuhakikisha wanajua namna ya kutumia silaha wanazopewa kwa ajili ya shughuli zao. Hayo yamebainishwa katika kikao maalum cha...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali yaonesha picha matengenezo ya MV Mwanza yalipofikia leo Januari 11, 2023

    Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imeweka picha hizi za MV Mwanza na kusema kuwa ndivyo hali ilivyo kufikia asubuhi ya Jumatano Januari 11, 2023:
  9. JamiiForums Tanzania Wanawake wa Mwanza mjini na maisha yao

    Kila mkoa una katabia kake na mambo yake. Mji wa Mwanza naupata vizuri ndio maana kutafuta hakuna mipaka. Hapa naeleza machache labda kwa nilliyo yadaka mimi maana sio mgeni. Wadada wa Mwanza wale pisi kali wanapenda maisha kuanzia J3 mpaka J3 pesa hipo. Kanda ya ziwa kwa jiji la Mwanza kila...
  10. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Mwanza: Oppo A93, ram 8Gb rom 128 Gb inauzwa

    Habari waungwana. Simu tajwa hapo juu inauzwa Ipo mabatinj Mwanza unapewa na risiti * box used for 36 weeks only 290,000 Tu 0744 033 555
  11. JamiiForums Tanzania Toba: Naombeni wana Mwanza mnisamehe

    Kwa kweli msema kweli ni mpenzi wa Mungu . Nikiri wazi kwamba nimekuwa nikishiriki kulifananisha jiji la Mwanza na Jiji la Arusha nikisema kuwa Mwanza na Arusha ni Sawa tu na mara nyingine huwa naenda mbali hadi kusema Arusha ni jiji zuri kuliko Mwanza. Ilifikia kipindi hadi nikawa nasema...
  12. JamiiForums Tanzania Watu wa Mwanza hizi rangi mnapaka kwenye nyumba huwa mnawaza nini?

    Huwa napenda kupita mtandao wa Jiji.co.tz kuangalia nyumba na vitu mbalimbali. Nimeshangazwa na rangi ya baadhi ya nyumba za Mwanza. Ukipita humo utaziona. Huwa mnawaza nini watu wa Mwanza?
  13. H

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Clinic ya Marie Stopes Mwanza inatoa huduma za utoaji mimba (abortion)

    Clinic ya Marie Stopes iliyoko jijini Mwanza wanajihusisha na vitendo vya utoaji mimba. Mimba zinatolewa sana hapa, hasa za wanafunzi wa vyuo vikuu maarufu vya hapa Mwanza (sitaki kuvitaja) na wake za watu waliopata mimba za michepuko. Mchezo unaofanyika ni kwamba wanawake wanaohitaji hiyo...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Baba atupa maiti ya kichanga jalalani

    Baba mmoja asiyefahamika ameripotiwa kutupa mwili wa mtoto mchanga jalalani kando ya Uwanja wa CCM kalangalala mjini Geita, muda mfupi baada ya kukabidhiwa kwa ajili ya mazishi. Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Geita, Inspekta Edward Lukuba amethibitisha kupokea taarifa...
  15. JamiiForums Tanzania Jiji la mwanza limejaa washamba na malimbukeni

    Mji wa Mwanza umejaa washamba na malimbukeni.
  16. JamiiForums Tanzania Mwanza one time for new year

    Wakuu poleni na hongereni kwa heka heka za xmass. Pia heri ya mwaka mpya 2023. Niko njiani naelekea mwanza kwa mapumziko ya week moja then ntarudi dar es salaam kupambana na maisha. Kwakweli Mwanza imekuwa nyumba yangu ya pili....mwanza is my bae ♥. This time around nitatamani kuona vivutio...
  17. JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka mitatu aliwa na fisi Mwanza wakati akienda kuoga kwenye dimbwi

    Mtoto Emanuel Marco Nyagela mwenye umri wa miaka mitatu mkazi wa Kijiji cha Mwangika kata ya Mwabomba wilayani Kwimba mkoani Mwanza amefariki dunia baada ya kuliwa na fisi wakati akienda kuoga kwenye dimbwi akiwa na wenzake. Tukio hilo jana Desemba 27 saa 12 jioni kijijini hapo baada ya mtoto...
  18. JamiiForums Tanzania Tetesi: TARURA MWANZA: Huu ni wizi, mkaliangalie hili haraka sana

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri, Kwanza kabisa mimi na raia mwema na sina nia ya kukwepa ushuru wa tarura tena ukizangitia fees zao ni ndogo sana kwa sasa (reasonable). Niendelee, leo nimeangalia ushuru wa maegesho kwenye website ya TARURA nakukuta nadaiwa nilipoangalia maelezo ya Tiketi...
  19. JamiiForums Tanzania Awamu ya Tano na ujenzi wa Airport Terminal Mwanza, Mkuu wa Mkoa afadhaishwa

    Kwa mtindo wa Force Account uliofanyika mahali pengi nchini, sasa upigaji mkubwa unadhihirika kwa hata viongozi wa Mikoakuchoshwa. Siyo rahisi kuyaficha hayo madudu yanayoanza kufichuka kutokana na eti "Kamati za Miradi". Airport ya Mwanza imejengwa kiholela chini ya ofisi ya Mkuu wa Mkoa, na...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanza: kiwanja kwa laki 4 tu

    Kiwanja hicho kiko kishili fumagila, Mwanza (kiwanja cha pili kutoka usawa wa barabara kuu ya Kishili-fumagila-bujingwa-mpaka lami ya Usagara) Fumagila ipo kishili, unafika kwa Tsh elfu 2 tu kwa pikipiki Miguu kumi kwa kumi tu Bei laki 4. Dalali nipe 50k umeme upo tayari barabara kuu ipo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…