mwanza

  1. Arusha hakuna kitu mbele ya Mwanza, Imethibitika

    .
  2. Wizara ya ujenzi na uchukuzi, RC Mwanza na mamlaka ya bandari TPA wadai kutiwa mfukoni

    Kwa hiki kinachoendelea katika kupisha mradi wa Reli ya kisasa SGR kufika Bandarini ya Mwanza kinasikitisha sana Mmiliki wa Kivuko cha Kamanga Ferry kujinasibu kuwa serikali imewekwa mfukoni mwake na hatapisha mradi bali Mradi wa Reli Umpishe yeye Swali sisi wananchi tuliondolewa ,Shule...
  3. Serikali tupieni macho usafiri wa Kamanga Ferry Mwanza

    Wizara inayoshughulikia vivuko ndani ya ziwa victoria na Serikali mkoani Mwanza tunaomba mtupie macho wananchi tutakufa. Hali ya bandari siyo rafiki kwa usafirishaji. Kwa wasafiri wa kivuko cha KAMANAGA FERRY kutoka Mwanza Kamanga na Sengerema tunatabika sana hiloeneo ni barabarani watoto...
  4. Serikali: Mikoa ya Tanga, Arusha, Mwanza, Pwani na Geita ina viashiria vya Ugaidi

    Waziri wa Mambo ya Ndani Eng. Masauni Yusuph Masauni ameitaja mikoa hiyo kuwa imekuwa na matukio ya kukamatwa kwa watuhumiwa waliokimbia baada ya kufanya vitendo vya ugaidi katika nchi jirani. Pia, kuna dalili ya kuenea kwa itikadi za msimamo mkali zinazopelekea watu kuhamasika na kujiunga na...
  5. Nauli ya treni kutoka Dar kwenda mwanza

    Wakuu habari za usiku ,naombeni mnisaidie bei ya nauli kutoka dsm mpaka mwanza n bei gani na nitatumia siku ngapi njiani
  6. Kwako Waziri mwenye sura nzuri Hussein Bashe;Benk ya Kilimanjaro cooperative Bank ibadili jina itapokelewa vyema mikoa ya kagera Mbeya Mwanza la sivyo

    Nikili wazi Mimi ni mdau mkubwa wa masuala ya kiushirika, kwani ni miongoni mwa vijana tulio zaliwa na kuona kabisa jinsi ambavyo bibi zangu walivyopanga foleni kwenye maduka ya ushirika kununua unga wa njano! Pamoja na hayo, lazima nikili yakuwa Kwa miaka takribani sita Sasa nimekuwa...
  7. D

    Nahitaji usafiri wa kusafirisha mizigo(vitu vya nyumbani) kutoka Magu Mwanza kwenda Morogoro

    Wakuu naomba koneksheni ya kuweza kusafirisha mizigo ya nyumbani kutoka Magu Mwanza kwenda Morogoro. So nahitaji gari ya mizigo inayopita hapa Magu kuelekea Morogoro au Dar..
  8. Mtoto wa miaka 15 auawa na Jeshi la Police Mkoani Mwanza

    Kijana Yahaya Aboubakar mwenye umri wa miaka 15 anadaiwa kukamatwa na askari polisi nyumbani kwa bibi yake mtaa wa Juhudi, Kata ya Mabatini wilaya ya Nyamagana Septemba 2, 2022, akiwa mzima, kisha polisi hao waliondoka nae na kumfungia ndani bibi yake Yahaya ambapo baada ya kufanikiwa kutoka...
  9. Mwanza kuna nyumba huwa inaungua kila baada ya muda fulani

    Ndio hivyo bwana. Kuna nyumba huwa inaungua, gari ya zimamoto inakuja inazima Moto, kisha jamaa anafanya ukarabati baada ya muda fulani tukio linajirudia tena. Mpaka Sasa majirani tumeshazoea kabisa. Udhurumati sio kitu poa wadau. Tafuteni vitu vya halali.
  10. Naomba kuelekezwa vyuo vinavyohusika na kozi za utunzaji kumbukumbu (Records management) Mwanza

    Kichwa Cha habari kinajieleza vema, Mwenye kufahamu vyuo hivyo Jijini Mwanza naomba anipe Maelekezo na wilaya kilipo!!! Nawasilisha!!
  11. DOKEZO Mwanza: Mtoto wa mwaka mmoja aoza mkono kisa uzembe wa hospitalini, uchunguzi waanza

    Mwanza. Mtoto Nassoro Rashid Nassoro (1) anapigania maisha yake katika wodi za Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando jijini Mwanza kutokana na madhara ya kiafya ambayo wazazi wake wanadai ni uzembe wa madaktari na wauguzi wa Hospitali ya Tanzanite Jijini Mwanza. Matatizo ya mtoto Nassoro...
  12. INAUZWA Mwanza: Jipatie PS4 kwa bei Poa

    Jipatie PS4 used kwa miezi mitatu tu Ina Game 5. Bei 650,000 Ipo Mwanza Igoma stendi tu hapo 0767 733 555
  13. Dodoma, Mbeya, Mwanza na Tanga sio majiji; zirudishwe kuwa halmashauri au manispaa

    Nimesafiri kwenye maeneo tajwa hapo juu katika siku za hivi karibuni na ninathibitisha kwamba hayo sio majiji. Hizo ni halmashauri tu na labda juu sana ni manispaa lakini sio zaidi ya hapo. Vigezo viboreshwe ili nchi itoe hadhi ya mahali kulingana na uhalisia. Nyumba zimesambaa kama takataka...
  14. Nauza "Usafiri" wa fasta, Mwanza to Dar ni dakika 15 tu!

    kumekucha kazi zimeanza jamani Bei elekezi ni milioni 5. hamna nafasi ya punguzo. 91km per minute. karibuni sana kina Mshana Jr
  15. Ukatili dhidi ya wanawake, Mwanamke auwawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali huko Mkoani mwanza

    Mtu huyo anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 25 hadi 35 aliokotwa hapo, huku pembeni yake kukiwa na chupa yenye pombe. Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia leo na kuthibitishwa na wenyeviti wa mitaa hiyo miwili huku chanzo cha mauaji hayo kikiwa bado hakijajulikana na upelelezi wa kubaini...
  16. Mwanza: Hoteli inawaka moto, Zimamoto wameshindwa kuzima kwa masaa 2

    Salaam Wakuu, Hotel ya new Mwanza inawaka moto, Zimamoto wameshindwa kuzima kwa masaa 2. Moto umeshika kasi ==== Breaking news Klabu maarufu kama Club Dallas iliyoko katika hotel ya Mwanza Hotel inateketea kwa moto muda huu huku chanzo cha moto hup kikiwa hakijajulikana. Mkuu wa mkoa wa...
  17. Wapi sehemu za starehe na totozi Mwanza?

    Kesho kutwa nina safari ya kwenda Shirati mkoa wa Mara, wakati wa kurudi nitapita Mwanza kwa mapumziko ya siku mbili. Kipindi cha nyuma Villa Park na Dv8 zilikuwa 🔥🔥🔥. Kwa wana Mwanza ni kiwanja gani kinachobamba kwa sasa?
  18. Basi la Bright Line Mwanza - Dodoma kwa hili nawapa kongole

    Ni gari namba T683DZE aisee kama mmepewa mafunzo huko kazini basi mmeyaelewa vyema maana TV mmeweka sauti ya chini kiasi kwamba abiria hata kusinzia unaweza kusinzia na kuifanya safari yako kuwa murua kabisa. Screen za tv zipo saba lakini utulivu ndani ya bus upo wa kutosha. Mabasi mengine sasa...
  19. J

    Elimu ya vyuo vikuu Mwanza

    Jiji la Mwanza, la pili kwa ukubwa Tanzania (The second largest City in Tanzania), sifa nyingine ni jiji lililo katikati Kati ya majiji ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, hapa namaanisha Nairobi, Kampala, Kigali, Bujumbura. Kinshasa pote ni karibu kufika jijini Mwanza. ELIMU YA JUU Katika elimu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…