mwanza

  1. R

    JamiiForums Tanzania Anthony Dialo amuomdoa Mwenyekiti wa CCM Mwanza; ajiandaa kuchukua nafasi

    Figisu zinaendelea kwenye mikoa na wilaya ambapo wale viongozi wasio na uwezo wanarejeshwa kwenye nafasi za uteuzi ili wazee waweze kushika nafasi za juu kwenye chama Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza baada ya kuonekana uwezo wake ni mdogo amepelekwa kwenda kusimamia uchaguzi huko Mtwara. Hivi...
  2. JamiiForums Tanzania Hongera Mbunge wa kisesa mkoani Simiyu Luhanga Mpina kuona toka mwanza wizara ya nishati walipewa matapeli

    Hi Chapu shughuli ni mingi Huyu mwamba apewe maua yake ,toka mwanzo huko Samiaa akiunda Serikali yakee alisema na kututadharisha mapema tuu hawa jamaaa ni matapelii kabisaaa na wapiga madini. Ikaja ngonjeraa ooo hamtaki makamba kuwa waziri wa nishati sijui nini. Machawa wakanza, Makamba...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi yenye maziwa makuu mengi barani Afrika, kwanini bado kuna shida ya maji hususani kwenye mikoa inayozungukwa na maziwa hayo?

    Tanzania [emoji1241] ni moja kati ya Nchi zilizobarikiwa kwa rasilimali nyingi na ardhi nzuri Duniani. Miongoni mwa rasilimali tulizonazo ni Maziwa Makuu ambayo ni Ziwa Victoria, Ziwa Tanganyika, Ziwa Nyasa (Likifahamika kidunia kama Ziwa Malawi) na mengine kama Ziwa Rukwa, Ziwa Eyasi, Ziwa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nauli ya ya Dar - Mwanza kwasasa ni Tshs ngapi?

    Habari ya jioni waungwana Naomba kujuzwa nauli ya Dar to Mwanza kwasasa ni Tshs ngapi kwa semi luxury bus. Mana nina miaka miwili sijaenda Mwanza sasa mwezi huu nina safari ya kuelekea kanda ya ziwa. Nikipata msaada wa kutajiwa pia basi linalowahi kufika nitashukuru pia.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Msaada vijiji gani nipeleke dagaa wa Mwanza?

    Habari wakuu. Nataraji kufanya biashara ya kuuza dagaa wa wakavu wa mwanza,Vijiji gani naweza kupeleka dagaa na nikawauza kwa bei ya jumla? Ama hata isipokuwa kuuza kwa jumla ama reja reja? Vijiji ama miji iwe Ni kuzunguuka ukanda huu wa ziwa na maeneo ya Tabora na Igunga ama ikishindikana...
  6. JamiiForums Tanzania Anaejua bus la bei nafuu from Dar to Mwanza

    Kuna mtu namchukulia tiketi leo ili aondoke na bus la alfajiri. With much thanks in advance
  7. JamiiForums Tanzania Tofauti ya ngumi za mtaani kati ya Dar, Mwanza na Arusha

    Wakati tukiwa tunasubiri kuwaona Max na Pacome wakifanya vitu vyao pale mjini Chigali, tujifunze kitu kuhusu tofauti ya ngumi za mtaani kati ya Arusha, Dar na Mwanza. Nitajikita zaidi kwenye behaviour ya mashuhuda wa ngumi. Hii itakusaidia wewe kijana mpambanaji unae safiri katika mikoa...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada: Bei za Mbegu za mahindi Mwanza

    Wakubwa salam. Nipo Mwanza mjini hapa. Naomba kuelekezwa maeneo yanakopatikana maduka ya jumla ya pembejeo za kilimo. Na pia naomba kujua bei mbegu za mahindi Kwa mfuko wa kilo mbili. Aina ya Mbegu ni DK 31 na 33 Ahsanteni.
  9. JamiiForums Tanzania Hiring Swim Teacher Mwanza

    A swim coach is needed at Capripoint Mwanza. Should be available on weekdays from 12pm to 4pm. MUST be a very competent, confident swimmer and good with children. I don't care about formal education but the applicant should have good English skills. Will work from 1 to 2 hours a day and...
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta mwalimu wa computer mkoani Mwanza

    Natafuta mwalimu wa kufundisha kozi ya basic computer applications katika chuo kimoja jijini Mwanza. Kama una hii skillset karibu pm
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kama upatikanaji wa maji usiporidhisha jijini Mwanza na sisi tutarudisha kadi za CCM kama maeneo mengine

    Upatikanaji wa maji hapa Jijini Mwanza hauridhishi hata kidogo na tunapenda kuitaarifu Serikali ya CCM kuwa kama hali hii itazidi kuendelea na sisi tutarudisha kadi za CCM kama maeneo mengine.
  12. JamiiForums Tanzania Wenyeviti wa TANU Mwanza na Kijijini Nyamazugo Geita

    WENYEVITI CHAMA CHA TANU MWANZA NA KIJIJINI NYAMAZUGO GEITA NA HISTORIA YA KADI YA TANU Chairman wa TANU wa kwanza Mwanza nakumbuka jina lake Hussein Jumbe. Kijijini Nyamazugo Geita kadi za TANU zilikuwa zikipatikana kwa Mzee wa Kimanyema jina lake Saadallah. Hii ilikuwa katika miaka ya...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Msaada sehemu ya kupata Vitamin D3 yenye K2 kwa Mwanza au Dar

    Ndgu zangu naomba msaada sehemu gan nitapata Vitamin D3 yenye K2 Kwa Mwanza au Dar
  14. D

    JamiiForums Tanzania Ruti ya DODOMA TO MWANZA - Msaada wa anayejua Kampuni nzuri ya Bus

    Wana familia ya Jf, Naomba kujuzwa kampuni yenye mabasi mazuri yanayosafiri kuanzia Dodoma mjini kuelekea Mwanza mjini anifahamishe. Sijawahi kufika Mwanza, ndio mara yangu ya kwanza na safari naanzia hapa Dom mjini. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu mtakao nipa taarifa njema, na pia...
  15. JamiiForums Tanzania KERO Responded Ni aibu Jiji la Mwanza siku 7 bila maji na Ziwa Victoria bado halijakauka

    Hivi hii serikali yetu ipo kwa ajili ya nini? Kweli inakubalije jiji kubwa kama Mwanza ambalo liko pembezoni na ziwa kubwa kuliko yote Afrika la Victoria kukaa zaidi ya wiki na maeneo yake kukosa maji? Nimetembelea hapa na kukuta baadhi ya maeneo mengi wakilalamikia hali hiyo na MWAUWASA wao...
  16. JamiiForums Tanzania Rukwa yaongoza uwekezaji mwezi Julai, yazitimulia vumbi Dar na Mwanza. Uwekezaji wa wazawa waporomoka nchini

    Mwezi Julai, kituo cha uwekezaji nchini(TIC) kilitoa takwimu mbalimbali kuhusu hali ya uwekezaji nchini huku Rukwa ikishangaza kwa kuongoza kuwa na uwekezaji mkubwa zaidi. China imeendelea kuwa nchi ya kigeni inayowekeza zaidi nchini huku sekta ya kilimo ikitia fora kwa ukubwa wa mtaji...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri wa Maji amtumbua Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji Mwanza, Mhandisi Leonard Msenyele

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso (Mb) leo tarehe 20 Agosti, 2023 amemuondoa katika nafasi yake Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jijini Mwanza (MWAUWASA), Mhandisi Leonard Msenyele. Mhe. Aweso amechukua hatua hiyo kwa mamlaka aliyo nayo kupitia Sheria Namba 5 ya...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanza ni jiji la miamba lililokwamishwa kuwa mwamba wa majiji?

    Ni mji mzuri uliozungukwa na miamba. Wanapaita "Rock City". Hilo ndilo jiji la Mwanza. Nakubali, ni jiji zuri, lakini pangeweza kuwa pazuri zaidi. Kuna maeneo yaliyopangiliwa vizuri, kwa namna bora na ya kuvutia. Lakini kuna maeneo ambayo yanaashiria Mipango Miji walikuwa likizo pindi...
  19. JamiiForums Tanzania Anayesafiri kwa usafiri binafsi kutoka Dar kwenda Mwanza na anatarajiwa kufika Mwanza walau saa 12 jioni

    Naomba kumpata huyo mtu kama yupo. Nina kiparcel kutoka Dar ambacho natamani kukipokea mida hiyo hapo Mwanza.
  20. JamiiForums Tanzania Mwanza: Baa ya The Cask yafungwa kwa tuhuma za ukwepaji kodi

    Serikali wilayani llemela mkoani Mwanza imeifunga bar maarufu ya The Cask Bar & Grill jijini Mwanza kwa tuhuma za ukwepaji kodi kwa kipindi cha miaka miwili. Kwa mjibu wa Mkurugenzi wa manispaa ya llemela Kiomono Kibamba, amesema uongozi wa bar hiyo umekwapa kodi ya Serikali na kuendesha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…