Ni kweli kabisa Majeshi ya Israel yalijaribu mara moja kutaka kumuua Mwandishi huyo wa Kipalestina Hassan Aslih na kumjeruhi vibaya sana akalazwa Hospitali ambako jana waliamua kumfuata huko huko na kumuangamiza bila huruma yoyote.
Swali linarudi kwa nini Israel ilitaka sana hasa kuwaua...
Kulingana na ripoti kutoka Gaza, mwandishi wa habari wa Palestina Hassan Aslih, anayejulikana kwa kuandika shambulio la Hamas la Oktoba 7 na kuwa na uhusiano wa karibu na Hamas, aliuawa katika shambulio la anga la Israel katika Hospitali ya Nasser huko Khan Younis.
Alikuwa amelazwa hospitalini...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza imemhukumu Mwandishi wa habari kituo cha runinga cha Star Tv, Alocye Nyanda kulipa faini ya Sh 2 bilioni baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kufanya udhalilishaji wa kimtandao.
Hukumu hiyo iliyosomwa leo Aprili 11, 2025 na Hakimu Mkazi Mwandamizi Mkoa wa...
Habari wanajamvi.
Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mwandishi wa habari, Adrian Stepp ambaye alikuwa mtangazaji wa EATV then Azam Tv.
Aidha, Adrian Stepp alikuwa mwanachama humu.
Jamiiforums pamoja na EATV & Azam Tv wamepoteza mtu muhimu sana.
Binafsi niliwahi mfahamu...
Habari za Jioni wapendwa.
Ninaomba nakala Ya kitabu cha MATTHEW MULUMBI Part 2 YA mwandishi Patrick C.K.
Nimetafuta kila kona sijapata hivyo basi aliyebahatika kuwa nacho anisaidie na mimi hapa
Natanguliza shukrani zangu za dhati 🙏
Raia wa Marekani wamepigwa na butwaa baada ya mwandishi wa gazeti la Atlantic ambaye ni mhariri kudai aliungwa kimakosa na waziri wa Ulinzi wa US katika group la WhatsApp lilikouwa likijadili mipango ya mashambulizi kwa Houthi huko Yemen.
Group hilo la WhatsApp lilijumuisha viongozi wakubwa wa...
"Yanga SC wanawalalamikia Bodi ya Ligi kuhairisha Mechi ya Yanga na Simba mbona na Wao hawalalamikii Makoma wenye Ndoo wao kuzuia Simba SC kuingia Uwanjani kufanya Mazoezi ya mwisho ni jambo la Kikanuni na wale Wahusika wote wanajulikana na walipewa Baraka zote na Uongozi wa Yanga SC? Naomba tu...
Katika umri wa miaka 17, alikataliwa kujiunga chuo kikuu.
Katika umri wa miaka 25, mama yake alikufa kutokana na ugonjwa.
Akiwa na umri wa miaka 26, alihamia Ureno ili kufundisha Kiingereza.
Katika umri wa miaka 27, aliolewa.
Mumewe alimnyanyasa.
Akiwa na umri wa miaka 28, alitalikiana na...
Inawezekanaje mtu mwenye akili ndogo na uelewa finyu kama huyu kuwa mwandishi wa habari katika kituo kikubwa cha habari?! Hii nchi bado ina safari ndefu sana.
HONGERA MBUNGE MSOMI PRISCUS TARIMO BINGWAA
Baada ya mkwamo wa miaka mingi, hatimaye sasa serikali imefikia makubaliano na kampuni ya ujenzi ya CRJE @crje_zanzibar kurejea site na kukamilisha stand yetu ya kimataifa ya Ngangamfumuni..
Hii ni furaha sana kuona stand hii ikimapiziwa na Serikali...
Huyu mwandishi wa habari alikuwa anajikakamua na Kingereza chake cha kuunga unga na lafudhi ya Kihindi kwenye press conference ya Trump na Modi Trump akamwambia haelewi hata neno moja analolitamka akaachana naye akaenda kwa mwandishi mwingine.
Mwandishi wa habari mkongwe nchini Tanzania, Abdallah Majura amehoji kuhusu radio kuwa na vipindi vya michezo asubuhi na kujadili mambo ya Simba na Yanga.
“Tangu asubuhi watu wanatangaza michezo tu, lakini siamini kwamba Watanzania wote wanapenda michezo tu”
Nafikiri Majura atakuwa...
Yaani Kuna makosa ya kibinadamu ambayo binadamu huwa ni kawaida kukosea lakini kwa hapa nimeona huyu mwandishi hajaona kama amekosea kuandika ila ndivyo alivyoona ni sahihi hii sentensi ipangiliwe hivyo. Eti "sijui kama Kuna joto dar". Vijana tuache uvivu , hili ni kosa dogo lakini linaharibu...
Hellow Tanganyika!!
Miaka Ile palifana sana kuangalia kipindi Cha Mchakato Majimboni,
Jambo hili lilifanya wagombea wa chama tawala kuhudhuria kipindi sababu usingetokea ungepoteza point Kwa wananchi.
Sasa tunataka tena kipindi hiki kurudi, swali ni nani jasiri wa kukirudisha?
Cc:Pascal...
Husasan wa Media za hapa Tanzania !!.
Maana ni aibu aibu aibu aibu aibuu narudia ni AIBUUUUU .
Hivi kuna vyuo binafundisha hii taaluma? Au ni ujanjaujanja tu wa MTU, anafika Clouds , ana sauti ya kutangaza, basi anaitwa mwandishi wa habari?.
Yaan tuseme, Zembwela akae kumuhoji LISSU?? Hapa...
Hii habari imenisikitisha sana
Kuna mwanafamilia mmoja wa Mwandishi huyo alisoma nae Tambaza anasema Mwandishi huyo maarufu humu JF aliteswa sana baada ya yale maswali.
Ilifika mahali alitamani kurudi kijijini na kama sio uhusiano wake na Rais Mkapa mambo yangekuwa mengine
Hii ni kwenye...
Kuna hiki kitabu Honest to My Country by Candid Scope Jina ambalo ni pen-name, je kiuhalisia ni Nani? Alikuwa mwanasheria kwa mujibu wa maelezo kwenye kitabu
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili ambao ni Ramadhan Tembo Mwakilasa [28] maarufu kama Rama Love ambaye pia ni Mwandishi na Mtangazaji pamoja na Mariamu Charles Mwashambwa [28] wote wakazi wa TEKU Viwandani Jijini Mbeya kwa tuhuma za mauaji ya mtoto Chloy Ramadhan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.