Millard Ayo huyu mfanyakazi wake yupo Gerezani Kisongo Arusha kwa kesi ya uhaini ila yeye kapiga kimya yupo busy na Post za Girishon.
Ndio maana leo Mauaji makubwa ya kutisha yanatokea Tanzania ila muandishi bora wa taarifa za Mauaji hayo anatoka Kenya.
Igweeeee!
Adui unayemmudu usimuachie Mungu
Watanzania tumejeruhiwa na kudharauliwa sana na hawa wasaliti
Huyu yeriko nyerere jasusi feki anashindana katika zikomo award,, the best author in africa na kura ndizo zitakazotoa mshindi
Niwaombe wanajf wote tuingie katika link ya zikomo award...
Kushoto: NIffer akiwa katika make-up yake katika sura ya kikazi.
Kulia: NIffer akiwa anashuka kutoka kwenye karandinga la magereza mahakamani kwa kuchechemea, kuashiria kuwa amepigwa hadi kuteguliwa mguu.
Jennifer Bilikwija Jovin, maarufu kama "Niffer" ni Mwandishi wa Habari, Mwanamitindo na...
Picha: Alphonce Kusaga (Mei 2025)
Mwandishi wa kituo cha habari cha Sunrise Radio cha jijini Arusha, ambaye ni miliki wa Kusaga Tv, ndugu Alphonce Kusaga amekamatwa na Jeshi la polisi Arusha jana 04 Novemba 2025.
Baada ya kukamatwa, alipelekwa nyumbani kwake kufanya upekuzi, kisha wakamrudisha...
Alikuwa hajasikia tangazo la Polisi la mwisho kutoka nje saa 12 jioni, akaenda kununua mkate...
Majirani wanasema mtoto alilia juice akaenda kumnunulia, akapigwa risasi kifuani.
Marehemu alikuwa nyumbani kwake, Mbezi Luis.
Hadi jana jioni, bado mwili ulikuwa uko chumba cha kuhifadhia maiti...
Mwandishi wa Habari wa Kituo Cha Watetezi TV, kinachorusha matukio ya ukiukwaji wa Haki za Binadamu na kinachomilikiwa na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) Ndugu JAHA Harith, Aliyechukuliwa tarehe 31/10/2025 na askari waliovalia kijeshi wakatiwa maandamano amepatikana ametupwa...
Hivi kuna mwandishi wa habari wa kujitegemea ambaye naweza kushirkiana nae kwenye platform za kidigital
Anaweza kushirikiana na mimi kwenye platform za kidigital kwa kuanza kujitolea, naomba kujua kama yupo tuwasiliane.
Nimekutana na hili andiko, naona mtoa hoja ana hoja:
Na Ndimara Tegambwage
Je, katika mazingira ya uandishi wa habari; yale ya ukusanyaji taarifa kwa ajili ya kuandaa habari au andiko la kuwasilisha katika chombo cha mawasiliano; bado kuna sababu au haja kwa Serikali kuendelea kutoa...
Mwandishi wa habari wa Kituo cha Televisheni cha EATV, Marco Kilo amedaiwa kushambuliwa wakati akiendelea na majukumu yake ya kihabari katika Kituo cha Mabasi yaendayo kasi (Mwendokasi) cha Mbezi Luis juzi.
Kwa mujibu wa taarifa ya Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika...
Usiku wa kuamkia leo Septemba 9, 2025 katika maeneo ya Washington karibu na Stand Ndogo Jijini Arusha, kulitokea tukio la kusikitisha ambapo Mwandishi aliyekuwa akitekeleza majukumu yake alivamiwa na askari anayefahamika kwa jina la Inspekta.... (jina linahifadhiwa kwa sasa) kutoka Kitengo cha...
Anonymous
Thread
arusha
askari
askari polisi
hatua
jeshi
jeshi la polisi
kamera
kazini
mwandishi
polisi
polisi arusha
wanahabari
Mjadala kuhusu bei ya gesi ya majumbani nchini Cuba umeendelea kuchukua sura mpya baada ya kurushiana maneno kati ya mwanahabari na mchambuzi wa siasa Ezekiel Kamwaga na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole.
Agosti 29, 2025, Polepole kupitia mitandao ya kijamii...
Naibu Mkurugenzi Habari Uenezi na Mawasiliano kwa Umma wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) na Mwandishi wa Habari wa Mawio Online TV, Ipyana Samson Umetuliwa na Chama hicho kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Uyole Jijini Mbeya Katika Uchaguzi Mkuu wa Rais Ubunge wa Diwani Utakaofanyika Oktoba...
Mwanasimba mwenzetu na mwandishi wa BBC Eric David Nampesya amefariki Dunia. Muda mfupi uliopita nimeongea na mke wake amenithibitishia kuwa Eric hatunaye.
Eric alikuwa shabiki na mpenzi mkubwa wa Simba na Liverpool ya England.
BWANA ametoa na BWANa ametwaa jina lake lihimidiwe Amen
Tutampopoa Makamba mpaka akome
Huyu kijana alishiriki sana kuandaa na kuandika Hotuba za Rais Kikwete miaka kumi wa utawalal wake Leo hii ni useless hata kwa ubunge
Mimi nasema Baba levo ni useless kipeuo Cha pili ila kapenya.
Je wana wa Kikwete ni useble?😝🤣😂
Wanajamvi, nimeona niweke hapa sifa zinazotakiwa ili mtu aweze kusajiriwa kama mwandishi wa habari kwa mujibu wa Section 19 ya Sheria ya Huduma za Vyombo vya Habari, 2016 na Kanuni zake za mwaka 2017 (Regulations 17, 18, & 19).
Wachangiaji wengi tumeingia kwenye mjadala bila kujua kwanza sheria...
Unaweza kumtaja Seymour Hersh kuwa ndo mwandishi bora wa habari za uchunguzi duniani, jina la Hersh ndo lilibeba habari ya kufichua yaliyojili huko Vietnam kwenye My Lai Massacre, lakini wapo wengine watasema majina ya Bob Woodward pamoja na Carl Bernstein ambao ndo waliibua habari kuhusu kashfa...
I salute kinsmen
Hakika kwa sasa tulishajua maji na mafuta ni kipi kimejitenga .
Tumejua sasa kuwa simba alitakiwa kumaliza nafasi ya 8 ligi kuu msimu huu.
Zaidi tumejua kuwa mbeleko ule walioupata msimu huu ulitoka wapi?
Na kibaya zaidi tumegundua kuwa utofauti wa akili ni mkubwa sana kati...
Kama umebahatika kusoma kile kitabu ni wazi kuwa yule mwandishi alikuwa anaishi future. Kama yuko hai akamatwe haraka sana na afunguliwe kesi ya uhaini, haiwezekani amseme vile.
Pia waandishi wazuiliwe kuoandika mambo ya ukweli yanayoweza kupelekea wananchi kuchukia viongozi wao.
Waandishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.