mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hii ni mbinu ambayo wanawake hutumia ili kukeketa watoto wao wa kike pale wanapotambua kuwa waume zao hawaafiki suala hili (la ukeketaji)

    Wewe mwanaume uliye kwenye ndoa unaunga mkono ukeketaji kwa watoto wa kike? Kama huungi mkono unauhakika kuwa hao watoto wako wa kike hawajakeketwa? Hivi unajua kuwa baadhi ya wanawake (kwenye ndoa) hukeketa kwa siri watoto wako wa kike? Hii hapa 👇ni mbinu maarufu ambayo mke wako anatumia...
  2. JamiiForums Tanzania Ubaya wa kuwa baba wa kambo ni kwamba kila ukimtazama mtoto wa mwenyewe ndani kwenu unaanza kukumbuka bao la mwanaume mwenzako

    Maisha ya kuwa baba wa kambo yanahitaji moyo wa chuma sana.umekaa zako sebuleni unakunywa zako chai kwa amani. Ghafla katoto kanakuja kakikimbia, kanakupanda mapajani na kukuita baba. Wewe unatabasamu kwa nje lakini ndani ya moyo kuna sauti ndogo inakuambia: "Moyo, kumbuka huyu mtoto ni...
  3. JamiiForums Tanzania Mwanaume ukichepuka, mke au mpenzi akijua unajiweka hatarini

    Hizi siku mbili tatu naona kidogo niwaletee mada za mahusiano tujadili sisi watu wazima. Suala la kuchepuka kwa kawaida ni uhalifu ndiposa wanaofanya hivyo hutakiwa kufanya kwa kificho (sichochei bali nataka nitoe tahadhari kwa tafsiri yangu ya maisha niliyoshuhudia na kuona au kuhisi) Matokeo...
  4. JamiiForums Tanzania Mwanaume Mwema: Kuvumilia au Kujiheshimu?

    Tafadhali wafundisheni watoto wenu wa kiume kwamba kuwa mwanaume mwema haimaanishi kuwa mtu wa kuvumilia dharau, misukosuko ya kihisia, udanganyifu wa kisaikolojia, au machafuko ya mara kwa mara kutoka kwa watu ambao hawajajifunza kuwaheshimu wengine kwa utu wa msingi. Wavulana wengi hukua...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Umeishi na Mwanamke ndani anakusingizia Ujauzito, wapo Wanawake amesomeshwa akishamaliza kusoma anamuona yule mwanaume hafai

    Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Revocatus (Baba Levo) akichangia hoja bajeti ya Wizara ya maendeleo ya jamii leo Juni 1, 2026 Bungeni Dodoma "Huwezi kuwa umeishi na mwanamke ndani, anakusingizia ujauzito unalea miezi tisa, anazaa mtoto unamlea mtoto anafikisha miaka kumi, baadaye mnakosana...
  6. JamiiForums Tanzania Mkasa wa Jirani: Mwanaume Asiyeonekana

    Hii Dunia Kuna watu wanapitia matatizo makubwa sana hasa wanawake. Kuna jirani yangu mmoja aliwahi kunihadithia mkasa mmoja hivi.. Yeye alikutana na mwanaume wa kiarabu akatongozwa akamkubali, Sasa Yule mwanaume akamwambia atakuwa anakwenda kumtembelea kwake Ila asimwambie mtu yeyote yule...
  7. JamiiForums Tanzania Tangia nizaliwe sijawahi kuona mdada anaependelea mwanaume mfupi zaidi yake basi hvyo hivyo wanaume wasihukumiwe kwa kupenda Makebo makubwa

    Tangia nizaliwe sijawahi kuona mdada anaependelea mwanaume mfupi zaidi yake basi hvyo hivyo wanaume wasihukumiwe kwa kupenda Makebo makubwa Kila mtu afe na tamaa zake.
  8. JamiiForums Tanzania Wengi hamuelewi hili ila masingo maza wenyewe wanakuona mwanaume mdhaifu or maybe retard kwa wewe kukubali kuwa step father😁

    Kaa mbali, acha kihere here😁 eti sijui boga na ua lake, hakuna kitu kama hicho, women are weird, bro.
  9. JamiiForums Tanzania Mwanaume kama sio lazima usimfanyie hiki kitu Mke wako

    Wanawake kwa hasili ni wavivu hasa hiki kizazi Cha kuanzia miaka ya 1990_2000 Most ya vitu wanavyovifanya ni vya kuiga tu yeye akishaona rafiki yake kapelekwa Serengeti National park naye analazmisha apelekwe ili mradi tu apate picha na video za kupost status na tick talk na vijembe juu Ili...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwako wewe mwanaume

    Ujumbe kwako wewe mwanaume wa leo, mwanaume mramba lipsi, mwanaume mrembuaji, mwanaume unae amini eti mabadiliko ya sayansi na technologia yatakubadilishia maisha yako (sayansi na technologia scam tu kama scam nyingine) 👊 Hebu sikia!!!... Mwanaume wa kweli hapaswi kujilegeza, kuzubaa zubaa...
  11. JamiiForums Tanzania Mfano wa mwanaume wa kuigwa katika maisha ya kila siku

    Kila mwanaume kamili angependa awe na ndugu, kaka, baba au rafiki kama TL. Na kila mwanamke angependa kuwa na mwanaume, kaka au baba mwenye msimamo kama TL. Picha Mpya ya Mwanaume Tundu Antiphas Mughwai Lissu💪
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kama unajijua huwezi kumridhisha mkeo kwenye tendo ni ujinga au akili kumkomesha mwanaume mwengine anaeweza kazi ?

    Kama unajijua kabisa 6 x 6 nguvu zimeisha, jogoo hawiki, dakika hufiki ushamaliza, n.k. Mkeo akikwambia huwezi kumridhisha, ukaendelea kubaki nae, siku ukagundua kaanza kutoka nje kwajili ya sex, ni hekima ipi utatumia, kumkomoa anaeweza kazi au kukubali yaishe
  13. JamiiForums Tanzania Kuna dada katumiwa kadi ya mwaliko wa harusi na mwanaume aliekuwa na malengo nae/future almanusra ajitie kitanzi

    Jamaa kamfinyia huyu dada vitendo vya kilusifa kamtumia kadi ya mwaliko wa harusi kwamba anaoa mwanamke mwingine. dada kawahiwa na marafiki zake kidogo ajitie kitanzi.
  14. JamiiForums Tanzania Mwanamke amfikisha mwanaume mahakamani akitaka mahakama imuamuru mwanaume huyo kulala naye angalau kwa mara moja tena.

    Mwanamke mmoja huko Lusaka, Zambia kamfikisha mahakamani mwanaume aliyalala naye mara moja na kuitaka mahakama imuamuru mwanaume huyo kulala naye tena kwa mara nyingine. Hii ni baada ya mwanaume kupiga Hit & run. Kwa mujibu wa huyo mwanamke ni kuwa mara baada ya kulala na mwanaume huyo hajawahi...
  15. JamiiForums Tanzania Baada ya pesa/mali, ni kivutio au kigezo kipi kinachofuatia pale mwanamke anapomuangalia mwanaume?

  16. JamiiForums Tanzania Mwanaume nipe ushuhuda ulivyoweza kuacha kujichua

    Wanaume wengi wanapo balehe , miaka 13 wakiwa kidato cha kwanza, wenye kuweza kutongoza huanza ngono na waoga huanza kujichua. Je, Wewe ulianza kujichua mpaka sasa upo na miaka zaidi ya 30 uliwezaje kuacha? ni kweli kila siku unasema unaacha alafu unajikuta unapiga ya mwisho?
  17. JamiiForums Tanzania Oscar Wilde: Mwanaume anaweza kuwa na furaha akiwa na mwanamke yeyote mradi tu hampendi

    Oscar Wilde anatoa mtazamo wa kejeli na wenye utata kuhusu mahusiano ya kimapenzi. Akimaanisha kuwa mapenzi ya kweli mara nyingi huja na maumivu, wivu, hofu ya kupoteza, matarajio makubwa, na migogoro ya kihisia; hivyo mtu anaweza kuwa “mtulivu” zaidi katika uhusiano ambao haujafika kiwango cha...
  18. JamiiForums Tanzania FT: Bayern München 0 - 1 PSG | UEFA Semi Final 2nd Leg | Allianz Arena | 6 Mei 2026

    Bayern Munich Vs PSG; Leo! leo! leo! kazi ipo Ubavu chuma upande mwanaume mashine Bayern Munich, wakiwa nyumbani katika dimba la Allianz Arena mbele ya mashabiki wao, wanawakaribisha Paris Saint-Germain kwenye mkondo wa pili wa nusu fainali ya UEFA Champions League. Mchezo huu utapigwa saa nne...
  19. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa mwanaume kuomba posa kwa mkopo?

    Wapo wanaume wanaokopa fedha ili kufanikisha harusi. Je, hiyo ni busara au ni presha?
  20. JamiiForums Tanzania Mwanaume ana jukumu la kugharamika ili apate chochote ila unapokuwa unateswa kisaikolojia na yeye aonapo pesa tu ndio anakuchekea tambua upo jela

    Ok, what is really special mfano hadi ichezewe afya ya akili kama mtoto mdogo. Je ni makebo yake makubwa?, namna anavyokwea mnazi? Rangi yake utafikiri anaoga na maziwa? what is really special hadi unajua unachezewa akili lakini bado umo? Unalilia kwa demu ambae kila jioni a anajifanya kulia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…