mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwanamke amfikisha mwanaume mahakamani akitaka mahakama imuamuru mwanaume huyo kulala naye angalau kwa mara moja tena.

    Mwanamke mmoja huko Lusaka, Zambia kamfikisha mahakamani mwanaume aliyalala naye mara moja na kuitaka mahakama imuamuru mwanaume huyo kulala naye tena kwa mara nyingine. Hii ni baada ya mwanaume kupiga Hit & run. Kwa mujibu wa huyo mwanamke ni kuwa mara baada ya kulala na mwanaume huyo hajawahi...
  2. JamiiForums Tanzania Baada ya pesa/mali, ni kivutio au kigezo kipi kinachofuatia pale mwanamke anapomuangalia mwanaume?

  3. JamiiForums Tanzania Mwanaume nipe ushuhuda ulivyoweza kuacha kujichua

    Wanaume wengi wanapo balehe , miaka 13 wakiwa kidato cha kwanza, wenye kuweza kutongoza huanza ngono na waoga huanza kujichua. Je, Wewe ulianza kujichua mpaka sasa upo na miaka zaidi ya 30 uliwezaje kuacha? ni kweli kila siku unasema unaacha alafu unajikuta unapiga ya mwisho?
  4. JamiiForums Tanzania Oscar Wilde: Mwanaume anaweza kuwa na furaha akiwa na mwanamke yeyote mradi tu hampendi

    Oscar Wilde anatoa mtazamo wa kejeli na wenye utata kuhusu mahusiano ya kimapenzi. Akimaanisha kuwa mapenzi ya kweli mara nyingi huja na maumivu, wivu, hofu ya kupoteza, matarajio makubwa, na migogoro ya kihisia; hivyo mtu anaweza kuwa “mtulivu” zaidi katika uhusiano ambao haujafika kiwango cha...
  5. M

    JamiiForums Tanzania FT: Bayern München 0 - 1 PSG | UEFA Semi Final 2nd Leg | Allianz Arena | 6 Mei 2026

    Bayern Munich Vs PSG; Leo! leo! leo! kazi ipo Ubavu chuma upande mwanaume mashine Bayern Munich, wakiwa nyumbani katika dimba la Allianz Arena mbele ya mashabiki wao, wanawakaribisha Paris Saint-Germain kwenye mkondo wa pili wa nusu fainali ya UEFA Champions League. Mchezo huu utapigwa saa nne...
  6. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa mwanaume kuomba posa kwa mkopo?

    Wapo wanaume wanaokopa fedha ili kufanikisha harusi. Je, hiyo ni busara au ni presha?
  7. JamiiForums Tanzania Mwanaume ana jukumu la kugharamika ili apate chochote ila unapokuwa unateswa kisaikolojia na yeye aonapo pesa tu ndio anakuchekea tambua upo jela

    Ok, what is really special mfano hadi ichezewe afya ya akili kama mtoto mdogo. Je ni makebo yake makubwa?, namna anavyokwea mnazi? Rangi yake utafikiri anaoga na maziwa? what is really special hadi unajua unachezewa akili lakini bado umo? Unalilia kwa demu ambae kila jioni a anajifanya kulia...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna kazi au Majukumu mwanamke au Mwanaume akiziweza kuoa inakuwa kipengele

    KUNA KAZI AU MAJUKUMU MWANAMKE AU MWANAUME AKIZIWEZA KUOA INAKUWA KIPENGELE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Chunguzi zangu zinaonyesha hivyo. 2. Wanaume kadiri anavyoshindwa majukumu Fulani anayoyaweza Mwanamke na kuyamudu majukumu ya kiume ndivyo anavyokuwa husband material. Vivyohivyo...
  9. JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mwanaume na unajipikilisha, juwa bado hujakua

    Kama wewe ni mwanaume na bado unaingia jikoni kupika au kujipikilisha, juwa bado wewe ni mtoto, bado hujakuwa; ukikuwa utaachana na hayo mambo. Unatakiwa uambiwe, kaka/baba/babu/mume/shemeji chakula tayari karibu mezani.
  10. JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mwanaume mwenye nguvu unaamka saa 11:00Am na unapanga uje uishi na mke, ndugu yangu utalea watoto wa sisi tunaofanya kazi

    Unakuta kijana anaamka saa Tano aisee yani mwanaume kabisa unaamka saa Tano na unandoto siku Moja uje uoe nakwambia utalea mimba za wanaume wenzako badilika kijana In reality kwa miaka ya sasa wanawake wamekuwa majasiri wa kutafuta vipato kuliko wanaume sjajua wanaume tunakosea wapi au ndo...
  11. JamiiForums Tanzania Video: Hizi ndio show za kuhudhuria mwanaume hata ukitoa 100k nafsi haitakudai

    Siyo hizo za kupelekwa pelekwa kama watoto wa shule mara washa Taa,Tuimbe wote,Ruka ruka juu. Kushoto kulia unapelekwa tu kana kwamba wewe ndo dancer wake. Show hizi hapa unapenda minono sawa vimbaumbau sawa size ya kati sawa vile utakavyo.ukitoka hapo hudaiwi jehanamu na duniani.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Iran imemnyonga Mwanaume aliyechoma msikiti

    Iran imemnyonga mwanamume aliyekuwa akituhumiwa kuwa kiongozi wa mtandao unaohusishwa na idara ya ujasusi ya Israel na pia kushiriki katika kuchoma moto msikiti jijini Tehran wakati wa maandamano ya mwezi Januari, kwa mujibu wa chombo cha habari cha mahakama kiitwacho Mizan News Agency. Mizan...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini sisikii mashindano ya Mr. World kama ilivyo Miss World? au dunia haitambui uzuri wa mwanaume

    Tangu utotoni nasikia tu Miss World, why sisikii Mr World? Kunahitajika kuwepo kwa Mr World ili dunia ijue kua wanaume wazuri/handsome wapo na mchango wao katika maisha. Kama ikiwezekana tuanze na Mr Tanganyika, na niko tayari kuiwakilisha Dar-es-salaam na hata Tanganyika katika Mr World...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Siamini Mwanaume wa 30+ and succesful kama yupo single

    Wakuu habari, Nimekuwa nikijadili hili jambo na rafiki yangu mmoja hadi akaniita 'Toxic' kwamba sifai Wakati nipo kwenye umri wa 20+ ilikuwa nikitongozwa na mwanaume wa umri wa 30+ na ameshafanikiwa yaani ka-settle tayari ana kila kitu kinachoitajika kwenye maisha ikiwa ni nyumba, gari...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje mwanaume umelala na mwanamke X lkn unaota unamla mate mwanamke Y?

    Hamjambo watu wa Mungu? Hapa nimeshtuka toka usingizini,nimelala na mwanamke X lkn nimeota niko namla mate mwanamke Y. Hii imekaaje wakuu?
  16. JamiiForums Tanzania Kuna faida nyingi kiuchumi kwa mwanaume kuchepuka

    Naungana na ndugu yangu Equation x .Mwanaume kuchepuka kuna faida nyingi sana kiuchumi. Embu fikiria leo hii wanaume kwa umoja tukakubaliana hakuna kuchepuka kila mmoja atulie na mpenzi/mke wake, nini kitatokea. - Wanawake wengi sana watashindwa kuendelea na masomo ya chuo kikuu - Wanawake...
  17. JamiiForums Tanzania Mwanaume mmoja aibiwa nyeti zake mchana kweupe, huko kahama.

    Mwanaume mmoja mkazi wa kahama ame ibiwa sehemu zake za siri huko kahama. Wazee hiki sio kitisho au utani mambo yamesha kuwa mabaya, aisee tutaisha aisee.
  18. JamiiForums Tanzania Mwanamke anamtafsiri Mwanaume kawaida kisia ndiyo sababu anaweza kuishi zaidi ya miaka 40 bila kushiriki mapenzi

    Mwanamke ni kiumbe mwenye uwezo wa kuishi zaidi ya miaka 20-40 pasipokushiriki mapenzi kwasababu anamtafsiri Mwanaume kama mtu wa kawaida kihisia na wala hashawishiki na uchi wa Mwanaume ikiwa anakubali basi ni kwa mapenzi ya kumhurumia Mwanaume anayemshawishi Mwanamke anaweza kumpa Mwanaume...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Snoop Doggy: Kama ni Mwanaume na una Uwezo wa kumwacha Mke wako Nyumbani na wewe utafute hela, basi Fanya hivyo

    Mfalme wa HipHop Mziki wa kizazi kipya Nchini Marekani Mzee Snoop Doggy ametoa ushauri kwa Sisi kizazi kipya yaani Vijana wa leo. Mheshimiwa huyo amesema kama wewe ni Mwanaume na una Uwezo au uko ktk position ya kumwacha Mke wako Fanya shughuli za Nyumbani( Family matters) basi hakikisha...
  20. JamiiForums Tanzania Simu nzuri ya kifahari kwa Mwanaume ni Samsung

    Kampuni ya Samsung inajua kumpa Mwanaume bidhaa anayotaka sio kama wale jamaa flani wanaotengeneza simu zilizopambwa kama za kike Simu ina shine nje na ndani utafkiri imepakwa siagi Mwanaume na viatu vinavyowaka taa wanaelewana vipi Samsung watazidi kula kihalali hela za Wanaume Hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…