Mwanaume huna muda na wanao, mkeo na watu wako. Umepata neema miaka 10 watoto 4.
Mkeo anawaangalia kwa mapenzi na kukueshimu hana out, dinner wala lunch na wanao hata akikuomba mtoke unasema una kazi nyingi.
Unakutana na wasichana kwenye kazi, semina na vikao nk unavuta unawekeza, out, safari...