Mwanaume gani hujawai hata kutoka nje ya nchi?

my name is my name

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
2,017
2,384
Unakuta mwanaume hana hata passport. Hajawai jata kutoka nje ya nchi hata Kenya tu awajawai kufika. Mwanaume hana exposure. Hivi mwanaume unakosaje passport?

Mwanaume unakosaje kutoka nje ya nchi jamai?. Wanaume wa hivi wanakuaga wapo wapo tu hawajui hata dunia inavyokwenda.

Wanakuaga na mawazo mgandoo hawajielewi 🤦🏻‍♀️
 
Unakuta mwanaume hana ata passport. Hajawai ata kutoka nje ya nchi ata Kenya tu awajawai kufika. Mwanaume hana exposure. Ivi mwanaume unakosaje passport? Mwanaume unakosaje kutoka nje ya nchi jaman. Wanaume wa ivi wanakuaga wapo wapo tu awajui ata dunia inavokwenda. Wanakuaga na mawazo mgandoo hawajielewi 🤦🏻‍♀️
Utoto unakusumbua. Kuna uhusiano gani katika ya kua mwanaume na kutoka nje ya nchi? Au kumiliki passport.?
 
Ila wewe mwanadada/mwanamama una hekaheka aseee,jana umeweka uzi wa kutujulisha umefanikisha kutoa ile mimba ya mchumba wako...nafikiri uzi ulifutwa

Leo umeamka na hii kitu ambayo kimsingi sio ya msingi kwa kila binadamu wa kiume

Hope unachoandikaga humu JF ni changamsha genge,tofauti na hapo kama upo hivi in real life utakuwa na matatizo mengi kinyama
 
Tafadhali Tuonane, Nipo Kyerwa Yaani Ukweli Passport Sina Ila Kila Siku Nakwenda Rwanda Maana Navuka Kwa Miguu
Hapa Mulongo Kwenda Uganda Oops Yaani Karibu
Mutukula, Kyaka
 
Unakuta mwanaume hana hata passport. Hajawai jata kutoka nje ya nchi hata Kenya tu awajawai kufika. Mwanaume hana exposure. Ivi mwanaume unakosaje passport? Mwanaume unakosaje kutoka nje ya nchi jaman. Wanaume wa ivi wanakuaga wapo wapo tu awajui ata dunia inavokwenda. Wanakuaga na mawazo mgandoo hawajielewi 🤦🏻‍♀️
Nimeandika nikafuta, nikaandika tenaa nikafuta, sasa nimeamua kuripoti jinsi nilivyohangaika mchango wa kuipa hii post. Kwa niaba ya wanaume hao tajwa tunasema Asante!☹️☹️
 
Unakuta mwanaume hana hata passport. Hajawai jata kutoka nje ya nchi hata Kenya tu awajawai kufika. Mwanaume hana exposure. Hivi mwanaume unakosaje passport?

Mwanaume unakosaje kutoka nje ya nchi jamai?. Wanaume wa hivi wanakuaga wapo wapo tu hawajui hata dunia inavyokwenda.

Wanakuaga na mawazo mgandoo hawajielewi 🤦🏻‍♀️
Dada hebu njoo karibu yangu nina boonge la passport lina mihuri kama yote
 
Unakuta mwanaume hana hata passport. Hajawai jata kutoka nje ya nchi hata Kenya tu awajawai kufika. Mwanaume hana exposure. Hivi mwanaume unakosaje passport?

Mwanaume unakosaje kutoka nje ya nchi jamai?. Wanaume wa hivi wanakuaga wapo wapo tu hawajui hata dunia inavyokwenda.

Wanakuaga na mawazo mgandoo hawajielewi 🤦🏻‍♀️
CC turiotoka Mara kuja kuendesha baiskeri za mayai kutoka kitunda tunasema Asante Sana kwa matusi yako.
 
Unataka kusema wanaume wote tuwe kama bro Lemutuz ama?
 
Doh ngoja kesho niende namanga border niweke mguu wangu kenya afu nirudi

SUBIRI KIDOGO
 
Ila wewe mwanadada/mwanamama una hekaheka aseee,jana umeweka uzi wa kutujulisha umefanikisha kutoa ile mimba ya mchumba wako...nafikiri uzi ulifutwa

Leo umeamka na hii kitu ambayo kimsingi sio ya msingi kwa kila binadamu wa kiume

Hope unachoandikaga humu JF ni changamsha genge,tofauti na hapo kama upo hivi in real life utakuwa na matatizo mengi kinyama
Atakuja kuomba mume "siliazi" humu siku si nyingi
 
Unakuta mwanaume hana hata passport. Hajawai jata kutoka nje ya nchi hata Kenya tu awajawai kufika. Mwanaume hana exposure. Hivi mwanaume unakosaje passport?

Mwanaume unakosaje kutoka nje ya nchi jamai?. Wanaume wa hivi wanakuaga wapo wapo tu hawajui hata dunia inavyokwenda.

Wanakuaga na mawazo mgandoo hawajielewi 🤦🏻‍♀️
Kaolewe na Daz Baba , Dudubaya wrote wanapaspoti hao
 
Ila wewe mwanadada/mwanamama una hekaheka aseee,jana umeweka uzi wa kutujulisha umefanikisha kutoa ile mimba ya mchumba wako...nafikiri uzi ulifutwa

Leo umeamka na hii kitu ambayo kimsingi sio ya msingi kwa kila binadamu wa kiume

Hope unachoandikaga humu JF ni changamsha genge,tofauti na hapo kama upo hivi in real life utakuwa na matatizo mengi kinyama
Na utakuta ni kidume hiki na mavu ya kidevu kabisa!
 
Back
Top Bottom