Kumbe yawezekana mwanaume kutokuchepuka kabisa

Kumbe yawezekana mwanaume kutokuchepuka kabisa

bablai2020

Senior Member
Joined
Sep 5, 2020
Posts
149
Reaction score
374
Naomba nitoe ushuhuda wa huyu rafiki yangu..ana miaka minne kwenye ndoa now..jana nilikuwa kwenye maongezi nae akanieleza Jambo la kustaajabisha sana.

Alinieleza ni tokea atoke kanisani hajawahi kugusa mwanamke mwingine nje ya mke wake.

Tukamuuliza swali: Umekunywa pombe au mzima brother..akaniambia mzima kabisa..akaongeza, nami nilikuwa na mawazo kama hayo yenu ila baada ya kula kile kiapo kanisani, niliporejea nyumbani nikakipitia tena kwa umakini.baada ya hapo nikamwomba Mungu aniongoze.

Tukamuuliza amewezaje?
Akajibu: Mke wangu ananipenda sana aisee hadi naogopa kumkwaza, sio kwamba sitamani, huwa nakutanaga na mizigo naielewa naisomesha inakubali ila Kila tukipanga nikamalize nafsi yanisuta kupita maelezo, najikuta siku niliyopanga kufanya uzinzi nashinda na mke wangu au namtoa..ila now hata kutongoza tongoza wanawake Wengine nimeacha kabisa.

Jamaa yetu mmoja akamuuliza, unajuaje kama mkeo anakupenda na masela hawapiti nae .akaelezea vigezo alivyotumia na akamalizia kwa kusema nimeamua kumwamini ..na nimemwamini baada ya kumchunguza vya kutosha kipindi cha mahusiano.

Tukamwekea mikono Mungu aendelee kumsimamie, ila sisi aache tuendeleee kuzichakata hizi mbunye hadi tuzeeke.
 
limbwata lipo kwenye settings za 4g.

kwa wale ambao jogoo hawiki mkienda kwa michepuko muwe mnakagua chini ya vyungu ukikuta kuna kitambaa au tishu ya kufutia bao shoo ikiisha ndio ujue ulifungwa, hii pia mchepuko anaweza ifanya usiwike kwa mkeo.
 
Naomba nitoe ushuhuda wa huyu rafiki yangu..ana miaka minne kwenye ndoa now..jana nilikuwa kwenye maongezi nae akanieleza Jambo la kustaajabisha sana.

Alinieleza ni tokea atoke kanisani hajawahi kugusa mwanamke mwingine nje ya mke wake.

Tukamuuliza swali...Umekunywa pombe au mzima brother..akaniambia mzima kabisa..akaongeza, nami nilikuwa na mawazo kama hayo yenu ila baada ya kula kile kiapo kanisani..niliporejea nyumbani nikakipitia tena kwa umakini.baada ya hapo nikamwomba Mungu aniongoze.

Tukamuuliza amewezaje ?
Akajibu ..mke wangu ananipenda sana aisee hadi naogopa kumkwaza ..sio kwamba sitamani ..huwa nakutanaga na mizigo naielewa..naisomesha inakubali ila Kila tukipanga nikamalizs nafsi yanisuta kupita maelezo..najikuta siku niliyopanga kufanya uzinzi nashinda na mke wangu au namtoa..ila now hata kutongoza tongoza wanawake Wengine nimeacha kabisa.

Jamaa yetu mmoja akamuuliza , unajuaje kama mkeo anakupenda na masela hawapiti nae .akaelezea vigezo alivyotumia na akamalizia kwa kusema nimeamua kumwamini ..na nimemwamini baada ya kumchunguza vya kutosha kipindi cha mahusiano.

Tukamwekea mikono Mungu aendelee kumsimamie..ila sisi aache tuendeleee kuzichakata hizi mbunye hadi tuzeeke

Unaweza kuishi bila kuchepuka, watu wengi uchepuka wanapokosa attention kwa mwanamke, jamaa lazima anatimiza sana maitaji ya mwanamke!

Mwambie, miaka 4 michache, mambo yakiyumba ndo atajua aina ya mwanamke aliye naye, na akishamjua pengine ataona hali ya kuchepuka!

Narudia tena, unaweza kuishi kabisa bila kuchepuka kama mazingira ya mwanamke na wewe ni ya Amani na furaha!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapa kuna msemo mmoja, mtu aliyechafuka au mwizi hujifariji kwakusema wote niwachafu au wote ni wezi ili nafsi yake isimsute moyoni. Ndiyo vijana wengi wanaochepuka wanachojaribu kujiaminisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Kuchepuka au cheating ni choice ambalo lipo mikononi mwako sio shurti.
 
Back
Top Bottom