mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nikimpa msaada mwanaume mwenzangu nafsi yangu huwa inaridhika na kufurahi tofauti kama nikimsaidia mwanamke

    Hii kitu huwa ninayo mimi tu au na kwa wengine. Yaani nikitoa msaada wa ali na mali kwa mwanaume mwenzangu nafsi huwa yangu huwa inaridhika na kufurahi sana tofauti na kama nikimpa msaada mwanamke au mtoto wa kike. Yaani huwa najihisi kutapeliwa na moyo wangu hauridhiki wala kufurahi hata...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kama mwanaume: Jitahidi mazingira yako ya nyumbani yawe bora kuliko mazingira ya nyumbani kwa mke wako

    Kuna hili suala la watu kusema hata ukioa mwanamke ambaye kwao wana uwezo kukuzidi sio tatizo. Huko ni kujidanganya. Inakuwa sio tatizo labda mwaka wa kwanza wa ndoa yenu, wakati wa honeymoon period. Ndani ya moyo wake, mkeo ambae ataishi na wewe katika mazingira duni kuliko ya nyumbani kwao...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Asikudanganye mtu, raha kwa mwanaume huwaga ipo kwenye kojo la kwanza na la pili tu

    Kwa uzoefu wangu, kojo la kwanza na la pili ndo huwaga 💥, hayo mengne huko mbeleni ni kujitutumua tu ili umridhishe mwanamke. Nakumbuka kuna siku nipo natafta kojo la nne, mashine imesimama napump tuu lkn sisikii chochote dadek naskia tu km vile mashine inatk kuchomoka. Funzo: Madem mridhike...
  4. JamiiForums Tanzania Senegal: Mbunge mwanaume asitisha hotuba aenda kumpiga mbunge mwanamke, Bunge likiwa ‘LIVE’

    Massata Samb aliyekuwa akitoa hotuba Bungeni alisitisha na Kwenda kumshambulia Amy Ndiaye Gniby kwa kumpiga kichwani, Gniby akajibu mapigo kwa kumrushia kiti Samb. Licha ya Wabunge wengine kuingilia kuwatuliza vurugu ziliendelea kwa wawili hao kuendelea kutupiana maneno na kutaka kushikana...
  5. JamiiForums Tanzania Mwanaume ukitumiwa meseji hii bila kuuliza ujue wewe ni mnoma sana kunako kitanda

    Wasalaaaaaam wazee. Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati. Ewe mwanaume ukiona umepiga show usiku kisha asubuhi demu akaondoka, yakapita masaa kadhaa demu akakutumia mesej nitakayoiambatanisha hapa ujue wewe ni guru kunako kitanda. Huyu manzi jana usiku nimemkamua haswa mpaka alikuwa anageuza...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanaume Mpumbavu ndio humpigia mkewe magoti. Jioneshe kuwa Mwanaume

    MWANAUME MPUMBAVU NDIO HUMPIGIA MKEWE MAGOTI;. JIONYESHE KUWA MWANAMUME Anaandika, Robert Heriel Shahidi Mwanamke pekee ambaye mwanaume anaweza kumpigia magoti ni Mama yake. Na hapa nazungumzia mwanaume sio mvulana. Nazungumzia mwanaume mwenye umri kuanzia miaka 20. Mwanaume atapiga magoti...
  7. JamiiForums Tanzania Urafiki kati ya mwanaume na mwanamke yaani kaka na dada unawezekana?

    Kwa kuheshimu muda wako, ngoja niandike kwa ufupi sana. Je, urafiki kati ya mwanaume na mwanamke tena mke wa mtu, unaojionyesha kwa code ya "Kaka" na "Dada" huwa upo kweli au kuna kitu kinafunikwa hapo? Ndugu yangu, sina sababu ya kuelezea kilichofanya niulize swali hili hapa, lakini bila...
  8. JamiiForums Tanzania Ukimya wa mwanaume unampa mashaka mwanamke juu ya baba halali wa mtoto

    Hakika msaada wako utaokoa maisha ya mama au mama na mtoto, iko hivi: Huyu dada naweza sema ni ndugu au rafiki, alikua na uhusiano na kaka mmoja ila sio serious, baadae akapata jamaa mwengine aliekua serious ila uhusiano wa mwanzo ni kama ulikuepo chinichini. Dada akapata mimba akamueleza jamaa...
  9. JamiiForums Tanzania Ogopa sana kumuoa mwanamke ambaye amewahi kumpenda mwanaume bila sababu

    Naomba wanaume msiache kudodosa na kupata uhakika wa jambo hili kwa huyo unayefikiria kumuoa. Hapa namuongelea yule mwanamke ambaye ilitokea tu akamuona mwanaume halafu akampenda na wakaja kuwa na mahusiano. Mara nyingi wanaume huwa wanawatumia wanawake wa aina hii maana ni sawa na swala...
  10. JamiiForums Tanzania Mwanaume anayevaa vizuri hung'oa pisi nyingi kuliko mwenye gari

    Hapa nazungumzia wenye uchumi wa kawaida, tuachane na mapedeshee ambao hata wakikosa kuni za kuotea moto wanaweza kuchoma vibunda vya pesa, ligi nyingine hizo, kwao neno mizinga ni matunzo. Yes mapenzi ya sasa ni pesa lakini lazima tujue hiyo pesa inatumikaje katika mapenzi kwa sababu kukosea...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa dunia wanataka kumyang'anya nguvu ya utawala mwanaume na kumpa mwanamke?

    Sorry my fellow ladies, najua mtaona like I'm snitching you. Mungu alipo iumba dunia hii alimuumba mwanaume awe mtawala na sisi tuwe wasaidizi. Mwanaume alifanya kazi za uwindaji, kufukuzana na wanyama huko maporini kisha wakatuletea chakula tupike. Kazi ya baba nyingine ilikuwa ni ulinzi wa...
  12. JamiiForums Tanzania Kituko: Binti asie na bikra ya kumpa thamani kiroho na kimwili anatoa wapi ujasiri wa kumkatalia mwanaume asijaribu mitambo mpaka waoane?

    Unakutana na binti hata kina single mama hana bikra kashatembea na na wanaume kadhaa ila ajabu ni kwamba anaanza kujiona kwamba yupo sawa na wenye bikra, anamwambia mwanaume hawezi kutoa mzigo mpaka amuoe !!
  13. JamiiForums Tanzania Baadhi ya maneno ambayo hayapaswi kutumika kwenye mawasiliano ya wanaume kwa mwanaume

    Salaam Wakuu, Natumai mnaendelea vyema. Katika kuendelea kujifunza lugha na namna bora ya mawasiliano leo nimeona nilete mtazamo wangu na nisikie kutoka kwenu pia. Matumizi ya lugha yoyote yanapaswa kujingatia muktadha na wahusika unaozungumza nao. Katika muktadha wa mazungumzo ya wanaume...
  14. JamiiForums Tanzania Mwanaume kamili hakikisha unakuwa addicted na mojawapo wa vitu vifuatavyo!

    Addiction Ni kitu ambacho kamwe hakiwezi epukika katika Karne hii ya 21.In one way or the lazima kila mwanadamu especially wanaume atakuwa addicted na mojawapo ya vitu vifuatavyo; 1.Betting & gambling 2.Keyboard warrior( internet) 3.Masterbation( punyeto & kujichua) 4.Sigara/ bangi/shisha...
  15. JamiiForums Tanzania Mwanaume kila unapoombwa pesa na mwanamke ukitoa unaonekana mjinga

    Unaweza ukajiona mjanja mbele za mwanamke kwa kumpa pesa kila anapokuomba kumbe mwenzako anakuona huna akili, unajipendekeza, mjinga, lofa. Mpe pesa mke wako, mpe pesa mama yako mzazi, mpe pesa dada yako, inatosha. Hao wanawake wengine ambao wanakuomba pesa kwa silaha ya jinsia yao wanyime kila...
  16. JamiiForums Tanzania Je, inawezekana kwa mwanamke kudumu na mwanaume mwenye matatizo ya nguvu za kiume kwa sababu anampenda?

    Umempenda mtu fulani kwa sababu kupenda huwa ni kabla ya kukutana kimwili. Sasa baada ya mahusiano ya muda mmekutana kimwili unakuja kugundua kuwa jamaa hawezi, je, unaweza kudumu nae kwa sababu ya kumpenda?
  17. JamiiForums Tanzania Je, unaweza kuwa na mwanaume ambaye muda wote anaomba kinyume na maumbile?

    Mbwa mimi!!!!!!!
  18. JamiiForums Tanzania Geita: Wanawake wadai kubakwa na mwanaume usiku kishirikina

    Wananchi wa Kijiji cha Bugando, Kata ya Nzera, wilayani Geita mkoani humo, wameiomba serikali ichunguze na kumtafuta mtu anayewaingilia usiku wananchi kwenye nyumba zao na kuwabaka hali inayopelekea kuishi kwa mashaka na kuhataraisha afya zao. Waathirika wa tukio hilo wanasema mtu huyo amekuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Atakayeshinda ndiye atachukuliwa na mwanaume

  20. D

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mwanaume mpaka sasa anasimamia kucha saa moja?

    Habari za mchana ndugu zangu. Kama nilivyoalindika kichwa hapo juu, hivi siku hizi kuna mwanaume anaeweza kujamiana na mwanamke raundi ya kwanza wastani wa saa moja? Maana mbona kuna malalamiko mengi siku hizi zihusizo nguvu za kiume kupungua?😠 Salaam.🙏
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…