Kila Mwanamke ambaye huwa anampiga matukio mwanaume mwema sana kwenye jamii huwa anazitumia njia hizi zifuatazo, vilevile mwanamke mwema sana kwenye jamii huwa anajikuta kwenye mahusiano na mwanaume ambaye hapendeki.
ZIFUATAZO NI NJIA AMBAZO MWANAMKE AMBAYE HAPENDEKI HUWA ANAZITUMIA KUMPATA...
Inakuwaje wanajamvi.
Inawezekanaje kweli mwanaume mwenzako anakununulia zawadi na kukupa halafu wewe unapokea? Haingii akilini kabisa.
Eti dume mwenzako anakutoa out lunch ama dinner na unaenda tu.
Pia mwanaume hutakiwi kusema nampenda mwanaume flani sema namkubali.
Kuna vitu vingine kwa...
Wanaume mpo?
Kuna huyu mgombea wa nafasi ya Urais huko CHADEMA, Romanus Mapunda amesema kuwa kama akishinda kuwa Rais atabadilisha mfumo wa kupeana talaka.
Mapunda amesema kuwa atabadilisha mfumo wa talaka kwamba usimuumize mwanaume.
Amesema kuwa mfumo wa uliopo wa kugawana 50/50 na mwanamke...
Habari zenu wana JF
Nimekuwa nikileta story ya huyu mwanaume ni kama huu ni uzi wake wa 4 ama wa 3 nikihitaji ushaurii kuhusu mahusiano yetu mimi na yeye.. ninafikiri Leo Hii ndio itakuwa mara ya mwisho kumjadili humu na maamuzi nitayafaya kupitia huu uzi wa Leo Hii ( kuachana ama kubaki nae )...
Huyu ni naibu waziri wa nishati, Amevaa saa mkono wa kulia, kapiga picha inayoenda kwa umma mdomo wazi
Vyote sio tatizo issue kuvaa saa mkono wa kulia navyojua ni uhuni, Mwanaume anapaswa kuvaa saa mkono wa kushoto
Wanawake wanapaswa kuwa na ufahamu wa kutambua ni mwanaume gani yuko tayari kwa ndoa na ni nani ambaye hana malengo ya ndoa .Hii itawawezesha kuwa na uamuzi bora kuhusu uhusiano wao na kuepuka kuumizwa.
Mwanaume Aliye Tayari kwa Ndoa:
1. Anaonyesha nia ya dhati: Mwanaume ambaye yuko tayari...
Salaam jamiiforum
Si ajabu kuona vijana Kwa wazee wanapishana katika madanguro au sehemu wanapojiuza wanawake.
Yaani vijana umri wa miaka 21 hadi 35 lakini pia kuna umri huu 35 mpaka 55 wote hao wanapishana na kupeana koneksheni ya madanguro (machimbo) mapya.
Hii yote inasababishwa na...
Nilikuwa katika pitapita zangu za kawaida pale Ubungo Kibangu, lengo likiwa kumtembelea rafiki yangu wa zamani ambaye tulisoma naye sekondari. Ni kijana wa miaka 28, mcheshi na mwenye kipaji kikubwa katika mambo ya filamu. Hata hivyo, kwa sababu ambazo sikuwahi kujiuliza, hakufanikiwa kumaliza...
Habarini
Huu ni ukweli mchungu ambao wadada na wakaka wengi wanashindwa kusema, wanaume wengi wetu sisi tuna vitambi kama tumebeba mimba, vimbaumbau, mwili mmoja rangi mbili, ngozi ya mwili kama ya mamba, meno kama foleni za madumu, halafu tunategemea tupate pisi kali
Asiwadanganye mtu uzuri...
NASISITIZA, ITUNGWE SHERIA KUBEBA MIMBA BILA RIDHAA YA MWANAUME LIWE KOSA LA JINAI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Mwanasheria wa Tibeli.
Andiko hili liwafae wale wapendao HAKI. Andiko hili lipitiwe na kujadiliwa na wale Wanasheria wa kusomea na wale Wanasheria wa kuzaliwa wenye MAARIFA na...
Hello jamiiforum
Ni jumapili ya mwisho wa mwezi wa Kwanza mwaka 2025.
Kumekucha kupambana,siyo mapambano ya kazi za kimwili,pengine ni mapambano ya kuridhisha nafsi na roho zetu.
Huko makanisani kumejaa leo,wapo wanaotafuta wenza,wapo wanaotaka kuonana na mchungaji ili kunusuru ndoa zao,wapo...
"Niliachana na Elon Musk baada ya yeye kuyumba sana kiuchumi lakini Kwa Sasa ninajutia kitendo changu cha kumuacha na sasa nataka kurudiana naye, sio kwa sababu ya Pesa zake nyingi Wala siyo kwa sababu amefanikiwa sana bali ninataka kurudiana nae kwa sababu ya Upendo wangu mkubwa kwake.
Kwa...
Shalom, Mtu wa Mungu karibu tujifunze Neno la Mungu, Taa pekee ya kweli iongozayo miguu yetu.
Leo kwa ufupi tutajifunza ni kwanini Mwanamume hapaswi kuvaa mavazi yampasayo mwanamke, kadhalika na mwanamke hapaswi kuvaa mavazi yampasayo mwanamume.
Neno hilo linapatikana katika kitabu cha...
"Endapo bado hujaelewa tofauti kati ya wavulana na wanaume, hapa kuna mifano michache inayohusu mahusiano ya kimapenzi:
- Mvulana: hutumia wanawake kujenga kujiamini.
Mwanaume tayari ana kujiamini.
- Mvulana: hupenda 'kudate' tu na mwanamke anayemvutia.
-Mwanaume: humualika kwenye miadi...
Jinsi ya Kumfanya Mwanaume Akupatie Pesa Zake au Akuhonge Pesa Nyingi
Kabla ya kuingia kwenye somo hili, ni muhimu kufahamu kuwa uhusiano wa kweli unapaswa kujengwa kwenye msingi wa upendo, heshima, na uwazi. Hata hivyo, kwa wasichana walio kwenye mahusiano, kuna njia za kimaadili za kumfanya...
Habari zenu wapendwa
Naombeni ushauri juu ya hali hii ambayo kidogo inanipa stress
Mimi nikijana nimeoa na nina mtoto mmoja
Lakini kuna hali fulani ambayo mke wangu anayo
Hali hiyo ni kutaka kunitawala kupitia madhaifu yangu
Amegundua kuwa ninapenda sex sana na ameanza kutumia njia hiyo...
Dalili Kwamba Anakupenda
Anaonyesha Kujali kwa Moyo wa Dhati
Anakufuatilia kujua hali yako (mwenendo wako wa kila siku, afya yako, au matatizo yako).
Anachukua hatua kukusaidia bila ulazima, iwe kwa kukushauri au kukutegemeza.
Anaweka Muda wa Kukaa na Wewe
Licha ya ratiba zake kuwa na...
Ni content but in reality inachoma kama pasi.
Poleni wanaume wote mnaopitia khali hii ama zaidi ya hii.
Mwenyezi Mungu awaone na kubariki hustles zenu.
Happy Friday.
Wakuu mnisikilize
Kwasasa Wanawake watakuacha saaana tu, Mabinti hawatodumu kwenye maisha yako ila lisikupe shida, kanuni ya maisha ni kuwa Paka hakai na Msela, mara atakwambia haupo romantic yani hujui kubembeleza, utawezaje Mwanangu wakati kichwa kinawaka moto na maisha yanataka kupetiwa ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.