mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nyakati Hizi Mbili Mwanaume Unatakiwa Umjali Sana Mwanamke

    Kuna nyakati mbili mwanamke akipitia basi mwanaume unatakiwa uwe mpole sana na ujue kujali sana Yani hapa ile haiba ya mamlaka na ushapavu wa kiume unaupunguza kidogo ili uende sambamba na nyakati hizo Sehemu ya kwanza ni pale mwanamke anapokuwa mjamzito,huwa anapitia mabadiliko makubwa ya...
  2. JamiiForums Tanzania Mwanaume akilalamika kuhusu mwanamke anaambiwa "TAFUTA HELA WEWE", ila mwanamke akilalamika kuhusu mwanaume anaandaliwa hadi kipindi maalum kwenye TV

    Mi nafikiri uduni uliopo katika jamii yetu umetengeneza ulimbukeni katika fikra na reasoning za watu katika maswala ya maendeleo ya mahusiano. Kuna watu wanadhani kuwa mtoto wa kiume ni kuwa robot alie auto-matic katika kukidhi kila kitu kilichopo mbele yake. Ndio maana wanaojinyonga , walio...
  3. JamiiForums Tanzania Unapokumbatiana na mwanamke, mwanaume hakikisha unazingatia hili

    Wakuu bila kuzingatia haka kautaratibu ladha ya kumbato inapotea kabisa, bila shaka huwa unakazingatia vyema:):)
  4. W

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Upendo na tabia ya mwanaume utaijua akipata pesa?

    Baada ya kumsikiliza huyu jamaa nimeelewa vitu vingi sana. Mwenye bebi wake aje kumchukua huku
  5. JamiiForums Tanzania Mwanaume unakuwaje muongo muongo halafu hujipangi?

    My people hope mko poa kabisa ni mwendo wa VPN tu nikisomeka hapa France. Kuna kisa kimoja nimekipata leo asubuhi nikiwa ndani ya public transport kuelekea job, ni mwanamama ambaye anaongea kwenye line baada ya kupigiwa call kutoka kwa ndugu zake Bimkubwa huyu analalamika kwamba mumewe daily...
  6. JamiiForums Tanzania Ukitaka kuzaa watoto wazuri, lazima uolewe na mwanaume mzuri

    Hapo vip! Huyu dada ameongeo ukweli kabisa ila anapingwa na wanaume wenye rangi ya shetani na wanawake waliolewa na majitu mabaya.Huo ndio ukweli penda usipende. Waafrika huwa wanautamaduni wa kupingana na kupiga vita vitu vizuri huku moyoni wakitaka vitu hivyo hivyo vizuri..ndio maana ni...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje mwanaume mzima unapata GPA below 4.5 chuoni?

    Hivi sometimes najiuliza hawa watu wanaopata GPA below 4.5 ni binadamu wa kweli hawa?how binadamu aliyekamilika anapata GPA below 4.5 kwamba huko chuo mlienda kufanya nini? Au mlienda kuuza sura ama nini? Utakuta mwanaume mzima anajiita mwanaume kamili anatembea kabisa barabarani na kutongoza...
  8. JamiiForums Tanzania Faida za mwanaume kuwa na mwanamke bubu kimahusiano ya kimapenzi!

    Kuwa kwenye mahusiano na mwanamke mwenye ulemavu wa sauti (bubu) kuna faida zake kipekee, hasa ukimpenda kwa dhati. Baadhi ya faida ni hizi: Mawasiliano ya ndani ya moyo – mara nyingi watu wenye changamoto ya sauti hutumia zaidi hisia, ishara na macho kuwasiliana. Hii hujenga connection ya...
  9. JamiiForums Tanzania Mimi ni mwanaume ninayeonewa na mke wangu, Dkt. Gwajma nisaidie

    Wasalamu. Nilioa mke wangu 2017 ila kukawa na mwanajeshi anamdanganya mke wangu.Mimi ni mwalimu kipato changu ni duni ikafikia hatua mke wangu kamtoa mtoto shule. Natamani kujiua ila naomba waziri wa ustawi wa jamii Dorothy Gwajma nisaidie. .Ni mwalimu Wilaya ya Babati shule Ngolei. Ni...
  10. JamiiForums Tanzania Mwanamke ukitaka kuolewa kuwa kwenye mahusiano na mwanaume anayekupenda na sio unayempenda wewe

    Hapo vip!! Wasichana au wanawake wengi wanabaki masingle mothers na kutelekezwaa kwasababu anakuwa kwenye mahusiano na mwanaume anayempenda..wanawake wengi huwa wanawazaliwa wanaume wanaowapenda wakifikiri ndio njia ya kuolewa kumbe ameamua mwenyewe kuwa single mother kwasababu mwanaume anamuoa...
  11. JamiiForums Tanzania Mwanamke ukitaka kuolewa, olewa na mwanaume anayekupenda na sio mwanaume unayempenda

    Hapo vip!! Wasichana au wanawake wengi wanabaki masingle mothers na kutelekezwaa kwasababu anakuwa kwenye mahusiano na mwanaume anayempenda..wanawake wengi huwa wanawazaliwa wanaume wanaowapenda wakifikiri ndio njia ya kuolewa kumbe ameamua mwenyewe kuwa single mother kwasababu mwanaume anamuoa...
  12. JamiiForums Tanzania Huwa inatokea mwanaume kum-admire mwanaume mwengine, na ni kawaida

    Kuna kitu wanaume huwa hawa admit mana wanaona kukubali hii ni kama sio urijali, ila unaweza ukatokea tu unamkubali jamaa fulani naturally, labda ukimuona au kumsikia, haimaanishi kwamba wewe sio lijali, i upendo tu wa kawaida ad natura one. Kwa wadada wao hawafichi mana katika jamii hiwezi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mwanaume limbukeni atamruhusu mke wake kuvaa hovyo lakini anachukia akiona wanaume wengi wakimtongoza, kumuangalia maumbile, kumpigia miluzi, n.k.

    Mwanamke ambae umemtolea mahari na kumuoa ukimuwekea mazingira ya kumruhusu kuvaa taiti, vimini, vitopu, vigauni, vibukta, nk. hesabia umemruhusu ajitangaze kama bidhaa inayohitaji wateja. unaporuhu avae hivyo tafadhali usichukie unapoona anatongozwa sana, watu kugeuza shingo zao kumdadisi au...
  14. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu amesema ikisimama asubuhi haisimami tena mpaka kesho asubuhi je hii ni kawaida au mwanaume ni shoga?

    Haya Marijali naomba mje mjibu swali Du, kwa siku mara moja, alooo!
  15. JamiiForums Tanzania Siku ukiona namna mwanamke anavyokua na anavyobehave akiwa na mwanaume aliempenda kwa dhati basi utaacha kuwafukuzia wanawake ili ukae kusubiri wako

    Nyie vijana mnaodhani wanawake wanawapendea pesa au utanashati mnakosea sana. Ile natural attraction bado ipo, wewe tembea uone. Mnashinda mijini na mitandaoni huko ambapo kuna wanawake wenye upungufu wa nguvu za kike. Siku ukiona mahaba tunayopewa sisi ambao hatukutumia minguvu kuwapata basi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania kwenu waraibu wa punyeto, acheni kuvuta hisia kwa kuangalia porn ni bora ujiwaze wewe ni muhusika kuliko mwanaume mwengine

    Heri nusu shari kuliko shari kamili Punyeto na porn ni mambo mawili ambayo yamekuwa tatizo kubwa hasa katika zama hizi za teknolojia za smartphones unazoweza kutumia ndani ya blanketi, chooni, vyumbani, n.k.. wengi wanaopiga punyeto wamejikuta wakiingia kwenye uraibu mwengine wa kuangalia...
  17. JamiiForums Tanzania Ila sisi wanaume 😂😂, hakuna kitu mwanamke ataacha kupata kutoka kwa mwanaume

  18. JamiiForums Tanzania Kuna faida gani mwanaume kutahiriwa/kukatwa govi lake?

    Huko Marekani sasa hivi watu wengi wameacha kutahiri watoto wao wakidai ni mila na tamaduni ya kiyahudi!
  19. JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mwanaume mtu nzima mwenye mke na watoto unachanganyikiwa na Mapenzi?

    Hivi hii imekaaje? Kuna jamaa yangu mmoja ambaye nilileta habari zake humu namna alivyofirisika tokana na kuhangaika na wanawake. Sasa amewehuka na amekuwa kama kijana anayeanza kubalehe kwa kusumbuliwa na wanawake wengi zikiwemo nyumba ndogo? Hivi inakuwaje mtu mzima unachanganyikiwa na...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Kisa cha mwanaume mwema aitwaye Khalid pamoja na mabinti zake watano: Asmaa (mkubwa), Layla, Huda, Nur, na Yasmin (mdogo zaidi).

    Aliishi mwanaume mwema aitwaye Khalid pamoja na mabinti zake watano: Asmaa (mkubwa), Layla, Huda, Nur, na Yasmin (mdogo zaidi). Baada ya kifo cha mkewe, Khalid alipata maradhi sugu yaliyomzuia kufanya kazi. Hapo ndipo Asmaa akabeba jukumu la kulea nyumba na kumtunza baba yake kwa moyo wa upendo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…