mwanasiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Ukiwa mwanasiasa hakikisha unatenga muda wa kusoma na kuwaelewa wana falsafa wa enzi. Ni hitaji muhimu la maamuzi utakayofanya

    Asikudanganye mtu hakuna chochote kigeni kwenye hii dunia. Mambo yanayotokea leo hii yalishakuwepo kwenye huu ulimwengu miaka maelfu kwa maelfu iliyopita. Unaongelea kuhusu rushwa, chuki, wivu, ukatili, ukabila, upendeleo, kulewa madaraka, magonjwa, mauaji etc etc yote utayakuta kwenye vitabu...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Hakuna mwanasiasa anazungumzia tatizo la ajira Tanzania, wengi wamejikita kutoa misaada ya matundu ya vyoo na taulo za kike

    Siyo CCM wala Upinzani hakuna mwanasiasa anayezungumzia tatizo kubwa la ajira linaloikabili nchi yetu. Wanasiasa wengi wamejikita kwenye kutoa misaada myepesi kwa wananchi kama vile kujenga matundu ya vyoo na kugawia watoto wa kike taulo. Tatizo la ajira ni bomu linalosubiri kulipuka, serikali...
Back
Top Bottom