mwananchihuru


  1. Kaka Pekee

    Wanasiasa Wachumia Matumbo, na Siasa za kutekwa na Mkumbo. Pole Tz yangu

    What goes arround comes arround...Wanasiasa hatukuwasikia kutoa tamko la pamoja ktk sheria ya mifuko ya hifadhi ya jamii,sasa hv hii sheria ya Vyama vya Siasa tunasikia wamekutana ili kupata tamko la pamoja. Sasa mbona km wanajiwakilisha wao?..na km wanatuwakilisha sisi mbona hatukusikia tamko...
  2. Malisa Godlisten

    Kwanini Serikali inaogopa wachunguzi wa Kimataifa?

    Jumamosi April 15 mwaka huu umoja wa kizazi cha kuhoji nchini (UTG) ulifanya mkutano na waandishi wa habari kuelezea juu ya matukio mbalimbali ya watu kupotea, kutekwa na wengine kuuawa. Katika mkutano huo tulieleza baadhi ya hatua tulizochukua kuhusu hali hii ya kuogofya inayoendelea nchini kwa...
Top