Nilikuwa na maswali yangu machache ya msingi kuhusu nchi yangu Tanganyika.
1. Wakati yanafanyika makabidhiano ya uhuru kutoka kwa Muingereza kuja kwetu kwa Watanganyika ni masharti gani Muingereza alitoa kwetu Watanganyika kuhusu uhuru alio tukabidhi December 9, 1961?
2. Mali ngapi bado zipo...
Hodi hapa, nitakuwapo kwa muda na pakinipendeza nitabakia hapa. Kule kwenye siasa naona kichwa kinaenda mbio. Nimerudi iliko mioyo. Leo nimekutana na kisa. Hiki kisa cha leo kimenifanya nije hapa kujua kama na wengine mmeshakutana na hili.
Mara zote nikiwa na miadi na mwanamke mpya huwa siwezi...
Awali ya yote, napenda kutumia fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kunifikisha siku hii ya leo na pia sitakuwa mtenda haki bila kuwashukuru waanzilishi wa forum hii. Baada ya kusema hayo machache, ningependa kukushukuru na wewe unaetumia gharama zako kusoma uzi wangu, huenda kuna mabadiliko...
Mimi binafsi na watu kama kina Pascal Mayalla ni watu ambao tulijiweka kando kabisa na mada za kisiasa baada ya uchaguzi mkuu 2020. Hata hivyo nilikuwa nikipita ndani ya jukwaa hili kimya kimya na ilibidi tuchangie pale tunapojisikia. Mimi ni moja wa watu humu ambaye huenda ningepotea kabisa...
Wakati mwenye shida na uhitaji akiniuliza maswali mbalimbali ya ufahamu wa sheria ningependa tujadili;
1) Kati ya sheria na makosa, ni kipi kilitangulia?
2)Unadhani Tanzania sheria kuna heshima ya sheria?
3) Legitimacy ya sheria inatoka wapi?
Hujambo mdau na msomaji wangu, Leo imenipendeza kulijadili hili swala, wewe mwenyewe utakuwa ni shahidi kwa namana, watu mbalimbali hasa vijana wanapo chakata akili zao na kuja na jambo la kimaendeleo namna wanavyo kumbana na changamoto mbalimbali zinazotokana na fikra hasi miongoni mwa pengine...
Habari viongozi
Nahitaji mtaalamu wa sheria za kazi Kwa watumishi wa Umma kunasuala nahtaji Ushauri tafadhali
Ni kwamba kijana mmoja alipata ajira ya serikalini mwaka 2014 akafanya kazi hadi April 2016 akaandika barua na kuacha kazi akaondoka kazini akafanya shughuli zake
Mwaka 2019 akaomba...
Kila Taifa ni lazima liwe na maono yake. Kila Taifa ni lazima lijue linapoelekea. Kila Taifa ni lazima liwe na muongozo na Dira. Matumaini ya Taifa lolote huwa mikononi mwa Viongozi wao ndio wanaamua baadae na historia ya Taifa.
Tatizo tulilonalo ni viongozi walikosa ambition kwa Taifa hili...
naam
katika awamu hii mambo mengi ambayo raia wa kawaida ilikua ni nadra sana kuyajua au ni vigumu kuyajua imekuwa ni jambo la kawaida sana kuyasikia..
najua kila nchi huwa inataratibu zake za ulinzi na namna ya kupata taarifa muhimu zitakazoisaidia nchi katika masuala mbalimbali ya...
Naam nilikua napitia katika website ya nacte http://41.93.40.134:8080/noavs/Closed.jsp nimekuta kuna ujumbe wa msisitizo unaosomeka hivi
Kindly be informed that admission cycle for academic year 2019/2020 is officially closed for all Online Applications.
Tunapenda kukutaarifu kwamba zoezi la...
Mwitikio wa andiko langu wiki lililopita katika mtandao huu wa JF ulinipa hamasa kuendelea kuandika zaidi jinsi Rais Magufuli anavyoendelea kulipotezea mwelekeo taifa. Wiki hii naona nigusie kwa undani jinsi Magufuli anavyoharibu uhusiano mzuri sana uliokuwepo kati ya Tanzania na wadau...
Mimi natangaza kuwa MTU wa kwanza kuwa siiamini Serikali kama inawaona vijana na generation ijayo ..
Sijui serikali hii inatamani kuona Society ya aina gani in 5 to 10 years later.
Naamini vijana ni kundi linaloteseka sana kuliko kundi lolote lile na kipindi hiki cha awamu ya tano vijana...
Ninaandika ujumbe huu kwa huzuni sana kwasababu kati ya viongozi ambao nilikuwa ninaamini genuinely wangeweza kuleta mageuzi katika nchi hii Magufuli alikua namba moja.
Nilikua shabiki yake toka alipokua Waziri wa Ujenzi na hata baada ya kuchaguliwa kuwa Rais bado nilimpenda kwa dhati. Ni...
What goes arround comes arround...Wanasiasa hatukuwasikia kutoa tamko la pamoja ktk sheria ya mifuko ya hifadhi ya jamii,sasa hv hii sheria ya Vyama vya Siasa tunasikia wamekutana ili kupata tamko la pamoja.
Sasa mbona km wanajiwakilisha wao?..na km wanatuwakilisha sisi mbona hatukusikia tamko...
Sakata la tuhuma dhidi ya Bernard Membe kuanza mapema mchakato wa kuwania nafasi ya kugombea urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi katika uchaguzi ujao, lililowekwa wazi na Katibu Mkuu wa chama hicho, Dkt. Bashiru Ally limemuibua Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Profesa Mwesiga Baregu.
Profesa...
OMBI KWA SERIKALI YA MH. RAIS MAGUFULI:
Serikali kupitia Wizara husika, iunde Computer Lab, ambayo itakuwa na Specs zifuatazo:
Chumba kiwe kikubwa, chenye Computer za Mac "50", zenye specs kuanzia RAM 8 na 1 TB...hazitawekewa Software yoyote, ziwe empty. halafu vijana wanaoona wanaweza ku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.