wadau wote wa jukwaa la siasa


  1. Chrisvern

    Je, China ina mkakati wa kutoa mikopo isiyolipika ili itaifishe rasilimali za wadeni wake!?

    Taasisi ya Kimataifa ya Fedha (IMF) imepata wasiwasi kuwa huenda China ina mkakati wa kutoa mikopo isiyolipika ili wataifishe rasilimali za wadeni wawanao wadai. _______________________________________ Serikali ya Zambia ipo kwenye mazungumzo na China ili kuangalia uwezekano wa kuwapa Shirika la...