Hamjambo
Binafsi nina ombi nalileta kwenu,natafuta mwanamke mwembamba haijalishi umri,rangi,tabia au kabila.Kwa upande wangu nipo sawa umri wangu nipo stage ya tatu.
Kama yupo humu ndani au kuna mdau yeyote anamfahamu mwanamke mwenye sifa tajwa DM yangu ipo wazi.
Asante