Ifahamike siwezi kukataa mimba iwapo nilishiriki na mwanamke ngono zembe yaani bila puto.
Ikitokea nikaambiwa moja kwa moja kuwa nina mimba yako nitalea na nimewahi fanya hivyo pasina shida yoyote Ile. Kifupi ieleweke siwezi kukataa damu yangu.
Napinga kukubali kwa namna yoyote Ile kupewa...
Ukisikia mtu anasema wanawake wengi wanaolewa na mwanaume wasiempenda, usifikiri anachekesha. Uhalisia ni kwamba, mwanaune anaoa mwanamke anaempenda, mwanamke anaolewa na mwanaume ambae yupo tayari. Utakapoweka maisha yako kwenye mstari wanawake watakuona na watakujia na mitego ya kila mamna...
WARAKA WA WAZI: CIVILIAN COIN ATANGAZA KUOA MWANAMKE BIKIRA( MSICHANA BIKIRA).
Salam, nachukua fursa hii kuitangazia Dunia kuwa sijawahi kuwa na Mahusiano ya kimapenzi na mwanamke bikira katika maisha yangu na hivyo kwa nyakati hizi nimeamua kufuata Mila na desturi za kabila Langu la kisukuma...
Rais wa Namibia mwanamama Netumbo Nandi-Ndaitwah ameiongoza nchi hiyo kufikia hatua muhimu ya kiuchumi kwa kukamilisha malipo ya deni la Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF). Namibia imelipa jumla ya dola za Kimarekani milioni 23.9, hatua inayolenga kupunguza mzigo wa madeni ya nje na kuimarisha...
KUNA KAZI AU MAJUKUMU MWANAMKE AU MWANAUME AKIZIWEZA KUOA INAKUWA KIPENGELE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Chunguzi zangu zinaonyesha hivyo.
2. Wanaume kadiri anavyoshindwa majukumu Fulani anayoyaweza Mwanamke na kuyamudu majukumu ya kiume ndivyo anavyokuwa husband material. Vivyohivyo...
MWANAMKE AMBAYE SIO RAFIKI YAKO HAWEZI KUWA MKEO
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Rafiki yako namba moja baada ya Mungu ni Mkeo/Mumeo. Kama hii kwako ni ngumu acha kuoa/kuolewa. Ndoa itakushinda Mapema Sana.
2. Na isipokushinda ukajikaza. Utaishi kwa Mateso na kugugumia. Ndoa ni urafiki...
Pamoja na wimbi kubwa la talaka na watu kutengana ama kuachana kabisa lakini hii ni special case kwa muktadha wa mada hii
Mahari ninini?
1.Wajibu wa Mwanamume: Katika mafundisho ya kidini (kama Uislamu na Ukristo), mahari ni zawadi au "mahr" inayotolewa na bwana harusi kwa bibi harusi kama...
Leo naamka na wanawake.
Hivi mwanamke anaweza kuwa mlevi na asiwe malaya? Sizungumzii mwanamke mnywaji, nazungumzia mlevi. Yule wa kurudi usiku kutoka kwenye ulevi.
MPIGIE KURA MWANAMKE KINARA SEKTA YA ELIMU 2026 - CHRISTINA CHACHA
Mwisho wa kupiga Kura ni tarehe 20.04.2026 11.59 usiku.
Andika jina kwenye comment katika akaunti ya Instagram ya Mwanamke Kinara (Jina Christina Chacha) au Piga kura kwenye Channel ya Whatsapp ya Mwanamke Kinara link
SEKTA...
Inashangaza sana mtu anaelezea msimamo wake kuwa Mimi wakuu siwezi kuoa mwanamke asiye na bikira wanawake used na wanaume walioa used wanakasirika hadi kuanza kutoa laana kwenye msimamo wa mtu.
Mkuu kama ulikubali either ukaoa mwanamke mwenye mtoto au asiye na bikira na ukatoa mahali wewe ni...
Mzuka wana jamvi ?
Wanawake wengi wanapenda mitandao kama Instagram, TikTok , Fb nk ambayo haina mambo magumu ni showoff kwenda mbele .
Lakini Jf pisi Kali anabishana na secretarybird kuhusu Ayatollah, pisi Kali anachambua mabomu ya Ukraine.
Hata kwenye majukwaa mengine MMU Jf ni full spana ...
Australia imetangaza kuwa kwa mara ya kwanza katika historia yake, mwanamke ataongoza jeshi la nchi hiyo, ikiwa ni sehemu ya mabadiliko ya uongozi ndani ya vikosi vya ulinzi.
Luteni Jenerali Susan Coyle, ambaye kwa sasa ni mkuu wa uwezo wa pamoja wa kijeshi, anatarajiwa kuwa mkuu wa jeshi la...
Huwezi hangaikia mwanamke. Kumfukuzia au yeye akuzungushe. Na ukiwa naye huhitaji kumfanya mpaka amalize. Ukimaliza wewe mwenye uhitaji inatosha. Sisi wenye pesa na mvuto mwanamke anamaliza kwa wakati.
Mi nawaza issues za maana nikazane masaa mawili ili akojoe? No way. Siwezi. Nina pesa...
Kuna nafsi iliniambia nenda JF huko utampata naa utamuoa, nikajiunga huku nikiwa sina hili wala lile wala sikumjua ni nani huyo ambae niliambiwa nikija nitampata ?
Lakini katika maono ya siku chache zilizopita nilionyeshwa Mwanamke huyo ni Setfree
Najua sasa hivi Setfree atakuwa kanisani...
Sisemi kwamba hawana akili kabisa la hasha nazungumzia akili kwa kipimo walau cha professor achana na akili za kiwaida tu.
Nashindwa kuweka vizuri ili nieleweke vyema lakini kwa % kubwa hawa watu hazimo kichwani ni ngumu sana ama ni kama haiwezekani kabisa kumuona professor mwenye matako...
Hamjambo Wote!
1. Kuna wanaume wenye upeo Mdogo Sana. Ndio wale wanaotajwa wamezidiwa akili na wanawake. Ndio maana mambo madogo kama haya wanashindwa kuyaelewa.
2. Wanaume wote ambao uliwahi kuwaona hawababaishwi na Mapenzi wanatabia zinazofanana. Mojawapo ni kujua kuwatumia wanawake...
Mwanamke ni kiumbe mwenye uwezo wa kuishi zaidi ya miaka 20-40 pasipokushiriki mapenzi kwasababu anamtafsiri Mwanaume kama mtu wa kawaida kihisia na wala hashawishiki na uchi wa Mwanaume ikiwa anakubali basi ni kwa mapenzi ya kumhurumia Mwanaume anayemshawishi
Mwanamke anaweza kumpa Mwanaume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.