mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Ukioa mwanamke mwanaharakati utaishi kwa machungu sana kwenye ndoa

    Salamu zenu wakuu Wana JF, Mwanaume fanya yote Ila usije ukaoa mwanamke mwanaharakati eti wanatetea haki zao kwenye Ndoa nao ni wapambanaji. Mfano si mnaona mdada maarufu hapa mjini mama ntilie ndoa zinamshinda kwa harakati zake za kutaka kuwa juu ya mwanaume. Wanawake wakikaa kwenye vikao...
  2. JamiiForums Tanzania Mwanamke hasomeshwi, wanaume mnafeli wapi? Ona wanaume acheni kuwa dhaifu

    Patrick Oita Nyapara, ambaye ni police nchini Kenya alimuua mpenzi wake kwa kumtandika Risasi 7 baada ya binti huyo kumkataa, pindi alipomaliza masomo Chuo Kikuu. Kwa maelezo ya Patrick ni kwamba alimchukua mdada huyo aliyejulikana kwa jina la Christine Maonga kutoka katika familia duni kijijini...
  3. JamiiForums Tanzania KWELI Mwanamke anaweza kubeba Ujauzito wa watoto mapacha wenye baba tofauti

    Miaka kadhaa nyuma niliwahi kusikia mwanamke mmoja nchini Uganda kajifungua watoto wawili (mapacha) wenye baba tofauti, hali hii ilinishangaza sana. Hali kama hii iliripotiwa pia Septemba 9, 2022 kwenye jarida la CNBC ambapo mwanamama mmoja kutoka Minerois, Brazil alithibitika kuwa na ujauzito...
  4. JamiiForums Tanzania Money is the King of Love. My money is my ego

    Wasalaam JF, Money is the king of love. Money is the only magnet that women have since failed to resist. Nawakumbusha wanaume tafuta pesa wanawake watakutafuta wewe. Chase money and women will Chase you. Thank me later. Wadiz
  5. JamiiForums Tanzania Ukiwa huna kazi mwanamke anakuchukuliaje?

    Mwanaume ukiwa huna kazi kuna namna mchumba ako anakuona ,tunaweka vitu vingi sana moyoni kias kwamba unaweza kuwa huna kazi huna ela lakin ukitaka kuzalaulika mwambia your fience !huna kazi ume haribu , unaweza ombwa pesa ukatoa vocha ukatuma lakin huna kazi mwanaume apewe heshima yake...
  6. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Kumpa mwanamke kila anachokitaka ni utumwa

    Sio kila kitu anachokitaka au anachokuomba mwanamke ni lazima umpatie hata ķama kipo ndani ya uwezo wako sometimes mwambie sina. Lakini ikitokea kila anachokitaka mwanamke wako unampatia hata kama huna unajitahidi hata kukopa ili mradi kumpatia mwanamke wako my friend huo ni utumwa. Kuna...
  7. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwa na aina ya Mahusiano unayoyataka na Mwanamke

    Unaweza kuwa kwenye mahusiano lakini si vile unavyotaka. Unaweza ukawa unanyimwa unyumba. Au mwanamke anakuendesha. Au unasalitiwa mara kwa mara. Au mwanamke king’ang’anizi wa vitu. Au mwanamke anataka kukubadili misimamo yako kila muda. Na hali hiyo ikawa inajirudia kwa kila mwanamke unayekua...
  8. JamiiForums Tanzania BAKWATA mnayajua mateso ya mwanamke akiolewa katika umri mdogo?

    Wakati Dunia ikiwa inaendelea kupigana vita ili kumuokoa mtoto wa kike kutoka kwenye kitanzi cha ndoa za utotoni BAKATWA wamemekuja na kauli yao ya kupinga kuondolea kwa sheria ya ndoa inayoruhusu mtoto wa miaka 14 kuolewa kwa ridhaa ya wazazi wake. Ajabu ni kwamba wao wameongza kuwa mtoto wa...
  9. JamiiForums Tanzania Mwanamke amejitoa sadaka kisa mumewe apate kazi

    Hellow Hii story ya kweli kabisa imetokea ivi karibuni Kulikuwa na mdada aitwaye Tupokigwe ambaye alikuwa na mchumba wake aitwaye Chacha walipenda sana. Tupokigwe alikuwa ni mwajiliwa wa sekta binafsi alikuwa ni afisa biashara wa kampuni, ila Chacha alikuwa hana kazi jobless Tupokigwe aliona...
  10. JamiiForums Tanzania Kumnunulia mwanamke vocha na asikutafute inakera sana

    Wanawake wenye tabia hii, laana ni ya kwenu taka msitake itawatafuna.... Hakuna kitu kinamkera mwanaume akili kama anakununulia vocha na ana hakikisha bundle unalo dk zipo za kutosha tena ana kuuingia mitandao yote mwezi mzima ila wewe huna hata mpango wa kumtamkia umeamkaje au usiku mwema...
  11. JamiiForums Tanzania Chagua mwanamke mwaminifu usije ukaumia kwa kufanya kosa kama wanaume wengine

    Ili kujenga mahusiano mazuri kwanza hakikisha wewe ni mwaminifu. Ukitaka kuwa na mahusiano mazuri hakikisha uliyenaye ni mwaminifu. Kwetu wanaume kitu cha kwanza muhimu ni mwanamke mwaminifu. Uaminifu unajumuisha; kusema ukweli, kuwa na mtu mmoja (kuto saliti), kumuamini mwenzako, kuhifadhi...
  12. JamiiForums Tanzania Unaweza kumuoa mwanamke aliyewahi kulala na kaka yako?

    Chukulia scenario hii. Umemfahamu mwanamke mmoja mrembo hivi ambaye ulikuwa unajua anafahamiana na kaka yako ingawa ulidhani uhusiano wao ni urafiki tu na ujirani mwema. Mazingira yakabadilika, hisia zikaongezeka kati yako na yeye. Ukataka kujiridhisha kama kaka yako hajawahi kula mzigo, demu...
  13. JamiiForums Tanzania Unakuwa na mahusiano na mwanamke mpaka unawaza kuoa unakuja kujua baadae kuwa ulikuwa unaingia chaka, weka kisa

    Habari wazee, nimesoma baadhi ya visa vya mahusiano, kama una kisa chako uliwahi kuwa na mahusiano na mwanamke mpaka kufikiria kwenda kutoa barua hili mfunge ndoa lakini ukaja kugundua kumbe ulikuwa unapotea kumbe sio wife material Kama ulivyodhani. Ulimpenda na kuanza kufikiria ndoa akaja...
  14. JamiiForums Tanzania Baadhi ya tabia zinazosababisha thamani yako ishuke mbele ya mwanamke

    Inawezekana umekua naye kwa miaka/ miezi kadhaa au ndio kwanza unamtongoza mwanamke, na mwanamke anaonesha amekukubali. Mpo pamoja lakini baada ya muda unaona anaanza kujiweka mbali nawe, nakupotezea mno, hamfanyi mapenzi mara kwa mara na hamkutani mara kwa mara tena, na unaona unamkosa...
  15. JamiiForums Tanzania Wanaume: Mjue mwanamke kupitia Siri hii

    Mwanamke ni tabia. Hata kama Mwanaume utakua unaeleweka vipi kwà mwanamke, kama tabia ya mkeo ni sifuri ni sawa na Kazi bure. "Maziganyanza" Mwili wa mwanamke umebebwa na tabia, na tabia ni sawa na ngozi. Inasemekana ngozi iliyotumika kutengeneza umbile la mwanamke ilitoka kwenye moyo wa...
  16. JamiiForums Tanzania Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa. Mithali 6 : 32

  17. JamiiForums Tanzania Mwanamke niliyetegemea kumuoa nimekuta picha zake group la Telegram

    Wakuu habari za Jumapili? Kwangu si njema hata kidogo ila nina Imani Kila mmoja ni buheri wa afya. Nisiwachoshe sana ngoja niende moja kwa moja kwenye mada husika kuhusu yaliyonikuta japo imekuwa ghafla sana kinyume na mategemeo yangu Ni hivi, mwaka 2019 baada ya kuona mahusiano niliyokuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Wanaojifanya kumjua sana mwanamke, wanajidanganya

    Mwaka mmoja nilienda hospitali kumjulia mke wa jamaa yangu akiwa kalazwa pale siku ya 2. Kulazwa kwake ilitokana na tukio la aibu lililofanywa na mkewe katika hali ya kushangaza sana. Kabla ya kumuona mkewe jamaa alinipokea kituoni tukapata sehemu ya kujadili maendeleo ya mgonjwa tukiwa...
  19. JamiiForums Tanzania Daktari wa Saikolojia Radio One: Mwanamke akisaliti anakosa Amani na Anajishtukia ndani ya Siku 92

    Akiongea katika Kipindi kizuri na kinachoelimisha na ambacho GENTAMYCINE ni Balozi wake wa Kujiteua Kilazima kiitwacho Mazungumzo ya Familia cha Radio One Daktari Bingwa wa Saikolojia Dk. Charity Xavier ametoa SIRI ya Kisaikolojia ya Usaliti wa Mwanamke. "Mwanamke yoyote Akimsaliti ana Mpenzi...
  20. JamiiForums Tanzania Hii imekaaje kuna usawa hapo?

    Mwanaume akitembea na condom kwenye wallet anajikinga, mwanamke akitembea Nazo mnamuita Malaya kwanini?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…