Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,622
- 10,262
Tokea miaka ya 1920's kumekuwa na hii concept au idea ya artificial womb mpaka Leo almost miaka 100 idea bado haijawa materialize.
Binafsi yangu naona haitowezekana kwa sababu Ile Siri ya pumzi ya uhai ni fumbo gumu sana ili artificial womb iwe implemented lazim iweze kufumbua kitendawili cha pumzi ya uhai kitu ambacho sis tunaoamuamin Mungu hatoweza kushare hii Siri/formula na mwanadamu.
Artificial womb inaweza tumika kwa pre mature babies na sio vinginevyo hii ndo sehemu nayoiona ina uhalisia.
Kama ikitoke artificial womb ikafanikiwa niweke wazi itakua ni habari mbaya sana kwa wanawake thamani ya mwanamke itapungua sana, sababu watoto watakua wanafyatuliwa huko maabara, Ila narudia tena ni ngumu kutokea sababu ya hiko kitendawili cha pumzi ya uhai.