Je, ukiwa kwenye uhusiano wa Kimapenzi na Mwanamke ni lazima kumhudumia Kifedha?

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Oct 31, 2021
4,138
10,540
Nauliza kwa wema tu, je kuhudumia mwanamke mkiwa kwenye mahusiano tena hujamuoa, ni lazima?

mwanetu anatoa buku 2 daily ila anaonekana takataka tu
FB_IMG_1686212529836.jpg
 
Kumu hudumia sio lazima hio inategemea n maamuzi ya mwanaume Kama ana kipato kaamua kumuhudumia YES ila sio suala la kuamua mwanamke eti Nihucumie sio sahihi huyo sio mwanamke piga chini.

Then tujifunze Kutafuta wanawake sio kila mwanamke anasifa ya mwanamke Sasa kwa sms hio juu huyo mwanamke nae.
 
Wanaume,

Kila siku nawaambia, acheni kudate na Wanawake waliowazidi UMRI.

Dogo hiyo SMS inaonyesha kuwa una date na Retired war Veteran, Bed to bed Midfielder Ngono kante.

Wanawake wa aina hio ni wale hadi uwalambe Uchi ndio wananyegeka. Gear zinakamatia chini sana.

Be a Man, you deserve better.
 
Nauliza kwa wema tu, je kuhudumia mwanamke mkiwa kwenye mahusiano tena hujamuoa, ni lazima?

mwanetu anatoa buku 2 daily ila anaonekana takataka tu
View attachment 2649888
Mwanamke anayepewa hela ni yule anayewajibika unakutana na mwanamke kwanza tendo la ndoa anakupa kwa masharti kila muda yupo Bize nisipokupa pesa husije nilaumu kwamba mimi bahiri
 
Nauliza kwa wema tu, je kuhudumia mwanamke mkiwa kwenye mahusiano tena hujamuoa, ni lazima?

mwanetu anatoa buku 2 daily ila anaonekana takataka tu
View attachment 2649888
Kuhudumia ni wajibu wake maana kama anakuwa anamtumia tu unahisi matumizi nani ampe? na ikumbukwe kuwa unapokuwa unaingia kwenye mapenzi kusaidiana ni lazima sio kila kitu umwachie huyo mtu na usipokuwa unamuhudumia kumbuka wapo watakaokuwa wanamuhudumia.
kwa upande wa mdada madai yake ni sahihi sana ila lugha aliyotumia sijaipenda inaonyesha kabisa ni mswahili flani, angeweza tumia lugha laini tu na ikaeleweka kwa mwenzake, sasa hapo alivyoandika ni kama vile anamtisha jamaa kuwa usipohudumia wapo watakaokuwa wanahudumia na kupata utamu wake
 
Back
Top Bottom