mwanamke

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mwanaume, usiharakishe kujiaminisha kuwa mwanamke uliye naye ni wa maisha. Mpime siku zote za maisha yako.

    Na Chibueka: Mwanamke anajua aliolewa na mwanaume mwema kutoka wiki ya kwanza ya ndoa yao. Mwanamume anaweza tu kuthibitisha alioa mke mwema siku za mwisho za maisha yake. Hii ni kwa sababu wanawake hawatabiriki na wanaweza kukubadilikia wakati wowote. Kwa kawaida mwanamume hapati faida...
  2. JamiiForums Tanzania Mwanamke ni vizuri pia kujifunza ku-fix baadhi ya vitu hapo nyumbani

    Hii itakusadia pindi ukiwa nyumbani pekee yako ama mahala popote pasipo na msaada pamoja na kuokoa gharama. Siongelei ule ufundi professional hapana.Ni ufundi ambao ni basic kwa ajili ya kuokoa jahazi ili mambo yaende (quick fix). Ni kama kubadili koki ya maji iliyoharibika au umeamka asubuhi...
  3. JamiiForums Tanzania Nigeria: Mwanamke wa Miaka 40 ajifungua Watoto Sita kwa mpigo baada ya miaka 20 bila kuwa na Mtoto

    Furaha imetanda katika Kaya moja nchini Nigeria ambapo mwanamke mwenye umri wa miaka 40 amejifungua watoto 6 ikiwa watatu wa kiume na watatu wa kike baada ya kupita miaka zaidi ya 20 tangu alipopata mtoto wake wa kwanza. Kuzaliwa kwa watoto hao kulitangazwa katika video iliyosambazwa TikToka na...
  4. JamiiForums Tanzania Mvuto wa Mwanamke una Unabebwa na Nguzo Zipi Muhimu?

    Katika hisia za mapenzi na mvuto wa mahaba wanawake wana vitu vyao ambavyo ni nguzo kwa mvuto wao. 1.1 Sura (nzuri au mbovu) 2. Rangi. (Mtume au jehanamu) 3. Harufu (kunukia au kunukia) 4. Kifua (Dodo au Lahaula la kwata) 5. Nywele ( Malaika au Kibwengo) 6. Original look au artificial saana...
  5. JamiiForums Tanzania Tuambiane Dalili zinazonekana kwa mwanamke ambae ametumika sana kwenye uzinzi au uashetati

    Hi, Kwa uzoefu wangu wakati na wajuu, nimeona na kushuhudia papuchi mbovu mbovu, ambazo ni kinyume na muonekano wa nje wa mwanamke kwenye maeneo kama mavazi,, urembo, sura, shepu,, samosa zimetumika hovyo. Wanaume tujitafakari hawa wadudu wanashinda sana saloon ila chini moto chini kwa hovyo...
  6. JamiiForums Tanzania Mnaishi vipi na Mwanamke anayekupangia siku za kupiga shoo?

    Kwa zaidi ya miezi 5 nimepewa shoo mara tano wastani wa kila mwezi mara moja na hata shoo nikipewa inakuwa chini ya kiwango tofauti na muda tulikaa bila kufanya... najionea mauza uza.. Sasa basi na mimi nimepanga akinitaka yeye kama kawaida yake nimkazie mchezo tuone itakuwaje sijui nitajenga...
  7. JamiiForums Tanzania Briffault's Law inasema Mwanamke hawezi kuwa na mahusiano ya aina yoyote na mwanaume kama hafaidiki

    habari wadau. Naona threads za kuwalalamikia wanawake wanapenda pesa na mali zimekuwa nyingi sana. Ningependa vijana wote wa kiume wanaopenda kulalamika waisome na kuijua hii scientific Law ya mwanasayansi Robert Briffault ambayo ni a scientific law that describes the biological behavior of...
  8. JamiiForums Tanzania Je ni kweli mwanamke kabla ya kufanyika upasuaji anatakiwa asipake rangi kucha wala kuzi polish?

    Habari wana jf…Je ni kweli mwanamke kabla ya kufanyiwa upasuaji haruhusiwi kucha zake kuzipaka rangi wala kuzifanyia polish?
  9. JamiiForums Tanzania Joyce Kiria: Mwanamke kumhudumia mwanaume ni ujinga

    Anafunguka mwanaharakati..... "Ni mjinga mwanamke ambaye anampikia mume wake, anamfulia nguo🤮 achia mumeo hizo kazi kwani yeye hana mikono? mbona wanawake tunakuwa wajinga hivyo, tutaelimika lini? zama za kumpikia na kumfulia mwanaume zimepitwa na wakati"- Mwanaharakati, Joyce Kiria Natoa...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini Mwanamke akigundua kakaa vibaya kwenye public na watu wameona hukosa tena confidence ila kwa wanaume wao hawajali kitu?

    Kuna mahala nilikuwa katika Kikao kidogo ndani ya Ukumbi na kuna Dada kwa kutokujua kuwa alikuwa anatuonyesha Video ya bure ya kilichopo katikati ya Miguu yake (ila Kimefunikwa) na alipojulishwa na Mwenzake akakaa vizuri na kutunyima Uhondo wazee wa Chabo na ghafla Confidence yake ikashuka na...
  11. JamiiForums Tanzania Mchumba - Mwanamke baadae awe "MKE".

    Tafadhali husika na mada tajwa hapo juu. Endapo wewe ni mwanamke na una uhitaji wa mume basi nakufahamisha kuwa 'tatizo lako limepata suluhisho'. Mimi nina uhitaji wa mwanamke ambaye kwa kuanzia awe rafiki/Mchumba lakini baada ya kufahamiana zaidi kitabia na hulka baina yetu tukiridhiana basi...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa mwenye uhitaji kweli

    Habari wakuu. Nahitaji mwanamke wa kuoa ambae yupo tayari kwa mahusiano na kuolewa. Umri wake uwe kuanzia miaka 20 mpaka 30 akiwa na mtoto sawa hakuna shida. Sifa zangu Umri 30
  13. JamiiForums Tanzania Utajuaje kama mwanamke yupo vizuri kitandani? Bro Code imeshuka

    Nyieee Maswali yenu mnaniletea whatsapp sijapenda kabisa Ila kuna ukweli huu wa asilimia 200 kwa wanawake Ukitaka kujua kuwa mwanamke yuko vizuri kitandani, kumjaribu sio lazima umfunue na kumpapasa, mwambie akupikie chakula unachopenda cha kwenu au nchi yako, akipika chakula kizuri na kitamu...
  14. JamiiForums Tanzania Lipi ni bora, kuwa muhuni yani nitoke nje ya ndoa au kuachana na huyu mwanamke?

    Habarini za JIONI wakuu? Mimi ni kijana wa miaka 32 mnamo mwaka 2019 nilibahatika kupata mwanamke kutoka Kanda ya ziwa{Tabora}..,nilimpenda sana na nahisi nae alinipenda japo siwezi semea nafsi ya mtu. Ilipofika 2020 alihitaji sana kukaa NAMI nyumba moja kama mume na mke..,kweli KUTOKANA na...
  15. JamiiForums Tanzania Kuwa mkweli, ukikuta mwanamke ananyanyaswa mtandaoni utaingilia kumsaidia?

    Katika ulimwengu wa sasa, wanawake wanazidi kutumia mtandao kuonyesha vipaji vyao, kushiriki mawazo yao, na kuunganisha na jamii. Lakini pamoja na hayo, unyanyasaji mtandaoni umekuwa tatizo kubwa linalowazuia wanawake wengi kujieleza kwa uhuru. Je, unafikiria nini unapoona mwanamke...
  16. JamiiForums Tanzania Mwanamke yeyote anayemwendesha mwanamme wake, atalipia dhambi hiyo.

    Chukua hiyo! Iwe kwa uganga au nguvu ya kiuchumi. Kumwendesha mwanamme inamfanya asiwe mwenye furaha. Mwanamme akikosa furaha usitarajia kupata furaha pia. Na jiandae kulipa kwa hilo, iwe mapema au kwa kuchelewa. Mwanamme ni KIONGOZI, regardless hali yake..... chagua yule anayefaa...
  17. JamiiForums Tanzania Mwanamke ni mtu mwenye akili zaidi ya tunavyodhani

    Wanawake wana akili zaidi ya tunavyowadhania, sema tuu hujifanya kama hawana akili, haswa akiwa karibu na mtu anayempenda na anayemwamini. Huwa wanajizima data na kujifanya hawana akili au mambo flani hawaelewi, hii wanafanya kwa makusudi kabisa na wanajua wanachokifanya, sio bahati mbaya...
  18. JamiiForums Tanzania Kidume inabidi uwe tough kwa demu unayetaka kumtongoza, utampata kwa urahisi

    Kujaribu kumfavor mwanamke unayetaka kumtongoza aisee kosa kubwa saaaana. 1. Umekutana na dada amekaa kwenye siti yako ya dirishani usimuache akae hapo hata kama unataka kumtongoza, mwambie nahitaji kukaa kwenye hiyo siti ambayo nimeshaikatia tiketi. Atakuona ni shujaa, hatokuchukulia poa...
  19. JamiiForums Tanzania Raha ya mwanamke kuendesha/kupanda farasi

    Kama kawa, kama dawa.... Asili kuacha ni kimbembee.... https://youtube.com/shorts/FGKi35ClhvM?si=TYfyZ1TtOMv45IZt Muonekano hapo juu wa picha unasema yote, mwanamke akiwa juu ya Farasi.... Utaona tuu, hatuliii Atatikisika tuu kama si mabega basi matiti ama tumbo ama bambataa aahahahahhaa...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanamke anahitaji kuhudumiwa/ (Maslai ktk Mahusiano au Ndoa) K

    Ili mwanamke akubari kuolewa au kua ktk mahusiano na mwanaume Kuna vigezo huwa wanavingatia, kwa % Kubwa ya wanawake anachoitaji ni kuhudumiwa. Na kupata unafuu wa Maisha, kiujumla wanawake wapo kimaslai zaidi, hata mke ulie nae, hayupo hapo kwa ajiri ya Upendo ila yupo hapo kwa sababu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…