Kwa wanaume wote, hii Kauli ya "Never go back to the woman who cheated on you" ni rahisi sana ikiwa kwa Mwenzako, ila isiwe kwako, ni ngumu ,mno!
Kwenye mahusiano as a man ,unatakiwa uwe mbinafsi (ufikirie wewe na future ya familia yako) hakuna mwanamke ana cheat kwa bahati mbaya, kabla...