mwanamke

  1. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ethiopia aondolewa, Samia abakia Rais Pekee Mwanamke Afrika

    Aliyekuwa Rais wa Ethipia Sahle-Work Zewde (kushoto) na Rais mpya wa nchi hiyo Taye Atske Selassie (kulia) Taye Atske Selassie, aliyekuwa Waziri wa mambo ya nje tangu Februari, 2024, ameapishwa mbele ya Bunge kuwa Rais wa Nchi hiyo huku mamlaka ya kisiasa ikiwa kww Waziri Mkuu, Abiy Ahmed...
  2. Mr No fair

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa dunia ilipofukia leo yupi mwenye uhitaji zaidi wa ndoa kati ya Mwanamke na Mwanaume?

    Kwa trends ya mambo yanayoendelea yupi Anahitaji zaidi ndoa kati ya jinsia Mwanamke na jinsia Mwanaume kutokana na kuingia na mambo ya usawa wa kijinsia na uwepo wa tamaduni zetu za kiafrika yupi Anahitaji zaidi ya mwenzake wa kuipata ndoa yupi ana manufaa zaidi ya hiyo ndoa?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kupatiwa jina la wimbo huu wa tangazo la salama condoms. Ilikuwa ni miaka ya 2004-2005..kuna mwanaume na mwanamke wapo ndani sebuleni wanajiand

    Naomba kupatiwa jina la wimbo huu wa tangazo la salama condoms. Ilikuwa ni miaka ya 2004-2005..kuna mwanaume na mwanamke wapo ndani sebuleni wanajiandaa kufanya mapenzi, mwanaume akakumbuka kitu, akapandaa juu ya sturi akafungua dari na kuchukua kitabu kama kava hivi halaf akatoa condom...
  4. Bi zandile

    JamiiForums Tanzania Aziniye na mwanamke hujiangamiza mwenyewe

    Kaka zangu chukueni hii.... Unapozama kwenye himaya ya mwanamke, ukiibuka pale lazima kuna kitu unaondoka nacho. Waweza kuchukua baraka au mikosi na nuksi kwa huyo mwanamke. Kuna mwanamke, mke mwema aliyeandaliwa na Mungu mwenyewe kwa ajili yako, huyo mke mwema ukizama kwake tu unajikuta...
  5. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mnisamehe sana Nilikuwa Nakosea sana Mwanamke kuwa na Chuchu Dodo bila Nyashi haina vibes za kudumu kwenye Mtanange

    Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, mimi nimekuwa muumini sana wa kipaumbele cha chuchu Dodo, ila kwa hakika naomba nikiri niombe radhi nilikuwa nimepotea kimtizamo na kivigezo , Nyashi Ina mchango mkubwa sana kwenye mvuto na hisia za mizagamuo. Sitaki niwachoshe itoshe kusema hivyo ntaendelea na...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumfurahisha Mwanamke wako

    JINSI YA KUMFANYA MWANAMKE WAKO AWE NA FURAHA! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Watibeli tunajua kufurahisha Wake zetu. Na Wanawake wa kitibeli hujua kuwapa Raha Waume zào. Ingawaje mapenzi Kwa wengi NI kipengele na wengi husema hayana mjanja lakini kwa Watibeli mambo kidôgo ni tofauti. Kwetu...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Kumuoa mwanamke kwa kumbeba

    Kwema wakuu, Hivi hii staili ya kumchukua msichana kwa nguvu yaani unatafuta majamaa mnamteka then mnabeba na kumpeleka home then mnamfungia unakaa naye unajipigia kama mwezi ndo unamfungulia je bado inafaa kwenye jamii?
  8. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni mwanasiasa gani Mwanamke wa Tanzania ambaye unavutiwa na Utendaji Kazi wake?

    Tanzania ina historia ya kuwa na wanasiasa wa kike wenye ushawishi mkubwa katika ujenzi wa taifa na kuleta mabadiliko chanya. Wanawake hawa wamekuwa mstari wa mbele katika kukuza siasa, kuongoza mabadiliko, na kupaza sauti za wananchi katika kushughulikia changamoto mbalimbali. Je, ni yupi...
  9. Desire mobutu seseseko

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu Mwanamke akikusaliti hakupendi, achana naye hana hisia nawewe

    Hakuna msamaha wa cheating kwa mwanamke wako kaka. Usithubutu kuruhusu kudharaulika mara mbili hatakama mtu unampenda kiasi gani. Mpaka akathubutu kuruhusu kupanga siku mpaka wakaingiliana kimwili maana yake kihisia anamkubali otherwise ni malaya. Mwanamke hakulani na mwana asiemkubali...
  10. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa aliyekuwepo morogoro au mpanda ili niweze kuhama

    Wakuu kama kuna mwanamke hapa mwajiriwa aliyepo morogoro au mpanda nifunge nae ndoa ili niweze kuhama huku niliko wilaya ya pangani mkoa wa Tanga mimi ni muajiriwa sekta ya Afya maana huku niliko nahisi nitakufa masikini kwa kujitakia!Tafadhalini ajitokeze PM iko wazi......
  11. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Anatumia simu yake wakati wa kufanya tendo la ndoa? Sijapenda kabisa, nifanyaje?

    Mteja; Money Penny Money Penny: ndio boss Mteja; sijapenda kabisa tabia yenu wanawake hasa huyu wangu Money penny: nini tena jamaan Mteja: huyu mwanamke nilienda sijapenda kabisa anachofanya Imagine wakati nampa utamu kitandani yeye anachat na simu anaongea na simu sasa ndio nini? Money...
  12. X

    JamiiForums Tanzania Hivi wewe mwanamke (modern woman) unapata wapi nguvu ya kumuita mwanamke mwenzako malaya au hajatulia

    Leo nimetua Dar kutoka kwenye mishe zangu na kwa kuwa Jah kanibless na chochote kitu kwanza nikawacheki washua wakanibless. Then nikawacheki wanangu tukakutana eneo fulani tulivu O'bay kwa kuwa mimi si muumini wa kelele. Wanangu huwa siwatupi bora nispend nao kuliko kuspend na hawa modern women...
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuwa mwanamke wa kisasa Tanzania ni changamoto sana katika mahusiano/ndoa

    Ukiwa Feminists ni shida, Single mother ni shida, Ukiomba pesa malalamiko Ukimzidi mwanaume wako kipato kama yeye sio marioo tatizo. Ukimzidi mwanaume elimu ni tatizo Ukivaa nguo za kubana sio wife material Ukitoka nyumbani unatakiwa kuomba ruhusa. Ukichelewa kurudi nyumbani tatizo.
  14. Azoge Ze Blind Baga

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje ikiwa mwanamke amefunga ndoa wakati bado ndoa yake ya mwanzo haijavunjwa?

    Kama inavyojieleza Mfano upo kwenye ndoa na mke wako lakini kutokana na masuala mbalimbali ya kimaisha hasa ajira mnaishi mbalimbali kwa muda mrefu na mwisho kuwa na migogoro ya hapa na pale Baadae mwanamke anaamua kuolewa tena kimya kimya kule alipo bila wewe mume wake kumpa talaka au kuvunja...
  15. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Umasikini wa mwanamke sio tatizo la mwanaume.

    Kwa kiasi kikubwa umasikini unatoka na chain ya ufukara ambayo ipo kwenye familia au ukoo, kwa maana iyo umasikini wa mwanamke sio tatizo la boyfriend wake, ni tatizo lake binafsi na familia yake na wao ndio wenye wajibu wa kujiondoa katika umasikini huo. Unakuta kiijana wa kiume anajibana...
  16. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Penzi la Mwanamke wa Kimakonde ni habari ya Dunia tumejifungia week na hatuboi yaani kazi kazi.

    Ebana wanawake wa Kimakonde ni habari ya Dunia, Niko nae ndani yapata wiki sasa yaani ni kazi kazi, nimesahau shida zangu zote. Yukoje? Ni maji ya kunde, kitunguu cha malolo wazaganza na chuchu Dodo , urefu 170sentimita Kuna makabila ni tunu ya Taifa la Tanzania kwenye anga ya mapenzi, mimi...
  17. Tman900

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye Umri wa Miaka 35- 42

    Naitaji mwanamke awe na Umri wa 35- 42 Nataka nimpe kazi ya kumlea mwanangu. Mtoto wangu ana Umri wa miaka 7. Ni wakike. Mshahara tutajadiliana mara Baada ya kuonana. Tuwasiliane NOTE: Hakikisha uwe mkristo, na ni muuzuriaji wa kanisani na jumuia(Mkatoriki). Tuwasiliane in Box.
  18. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Mkaka alie na mwanamke mmoja aje kutufanyia sala tuanze wiki na baraka

    Najua mpo ingawa wachache. Mkaka alie na mwanamke mmoja tu aje kutufanyia sala ya kubariki sikuyetu na wiki nzima inayoanza leo.
  19. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anahitaji vitu viwili tu. Mengine yote ni porojo

    1. Money 2. Inches Vitu tajwa hapo juu ndo mwanamke anavihitaji. Mwonekano mzuri, u-handsome, kunukia, ucheshi, wema nk ni kama vikorombwezo tu. Ila msingi uko kwenye hayo mambo mawili niliyoyataja. Ingawa wanawake wako very loyal kwa hisia zao ila hayo mambo mawili (money & inches) kama...
  20. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Benki kuu ya Tanzania yakanusha Noti yenye Sura ya Rais Samia

    Benki kuu ya Tanzania imethibitisha Kuwa Noti Inayosambaa Mitandaoni Ikionesha Noti Ya Fedha Ikiwa Na Sura ya Rais Samia Suluhu Hassan Kuwa Sio Sahihi. Taarifa kama Inavyo onekana Kwenye Picha. Soma Pia: Mwigulu: Natamani noti ya 100 iwe na nembo ya Yanga
Back
Top Bottom