Yes huu ni ukweli mchungu ambao lazima Kila kijana wa kiume anayetaka kuingia kwenye ndoa aujue..........huyu ni mdogo wetu,ndugu yetu,jamaa yeti,alioa kwa mbwembwe mwanamke daktari,ndoa ina miezi nane sasa,mke ameenda masomoni mkoa mwengine kilomita zaidi ya 800,yupo busy na masomo
Jamaa...
Naomba ushauri wako kati ya hawa wanawake wawili yupi anaweza kuwa sahihi kwangu?
MWANAMKE WA KWANZA
Ana elimu ya darasa la saba lakini ni mjanja sana maana hata text za kiingereza anajua kusoma na kuandika baadhi ya maneno, amezaliwa 1988 (miaka 36), ana watoto wawili wote wa kike - sio watoto...
Kuna raha ya kuwa na mwanamke Ana akili za kitoto kidogo ndani pachangamke, awe mshamba kiasi sio unakuta una mwanamke ana AKILI nyingi mpka unatumia nguvu nyingi kumdanganya.
Unakuta mwanamke anafatilia Uchaguzi wa Marekani kwa umakini, Channel zake ni ITV na BBC Tu. Anajua taarifa za vita ya...
Hi…
Mimi ni kijana 30+ nina tafuta mwanamke wa kuanzisha nae maisha Sifa :spiritually understanding
:mbunifu wa kutafuta kipato
:Asizidi 34+
Dini yoyote
Kazi yangu na vipaji pm
Mi katika maisha yangu nimeishi sana na Mjomba wangu katika Jambo ambalo Mjomba wangu alinikataza sana alisema'" mpwa wangu katika Maisha yako usioe mke unaempenda"
Hili Jambo Mjomba alinisisitiza mara nyingi sana.
Katika Jambo ambalo mama yangu alinisisitiza sana ni katika swala la utunzaji...
Kuna Imani zimeingia kwenye jamii zetu kwamba ,wanawake wakae tu majumbani wasubiri huduma Toka Kwa waume zao,Kwa kisingizio eti wao wanalea watoto,kupika na kutoa penzi pekee ndio kazi kuu!
Tangu mwanzo bibi zetu walipiga mzigo wa maana na sio kujipamba pekee wakisubiri wapewe Kila kitu na...
Huwa naona kama ndoto kubwa zaidi waliyo nayo wanawake wengi wa bongo ni kuolewa.
Hata wamama wengi unakuta kwa mfano wakiwa wanawaelekeza mabinti wao wanawaambia kauli kama hujui kupika/kufanya usafi/ au na uvivu huo utaolewa na nani.
Hivi mwanamke kuolewa ndio mafanikio ya juu zaidi...
Ndugu zangu, kutokana na wanawake kuwageuza na kuwafanya wanaume kama vitega uchumi vyao kwa mgongo wa lazima kuhudumiwa, mahusiano na ndoa , vifuatavyo ni vigezo vya kutoa hela kwa mwanamke ambaye siyo mkeo, mzazi mwezako kwa bahati mbaya, dada yako au mama yako.
1) a) Lazima awe mpenzi...
Anayejua sababu kwanini wamarekani walikataa kumchagua Rais mwanamke kuwaongoza atujuze, wengine tunaomba kujifunza kupitia hayo maamuzi yao, si kwa ubaya lakini.
Ni mfume dume au wanawake hawaaminiki nyani ya vyama vya siasa?
au muundo wake ni kwamba mwanamke marufuku kamati kuu Taifa?
Mungu Inusuru CHADEMA na mpasuko 🐒
Mungu Ibarki Tanzania
Hii wanajf sijui imekaaje
Kwa watakao kuwa wamewahi kuwa na mahusiano na aina hizi mbili za wanawake huenda wameshakutana na hii kasumba
👉Mwanamke ambae wazazi walifariki akiwa chini ya miaka 24 kuna Ile namna anakosa muongozo Ata Ile Sauti ya baba au mama yake na ule upendo.
Ata kule ndoani...
Waswahili wanasema sikio la kufa halisikii dawa. Ndivyo walivyo baadhi ya wanaume ni kenge haswa kusikia kwao Hadi Damu masikioni iwatoke.
Hapo Sasa ndo ataanza kushituka.
Ukweli ni kwamba mwanamke anayeweza kumeza vidoge(dawa) Ili au kiumbe kilicho ndani ya tumbo lake mwenyewe ni wakugopwa...
Kama umeoa mwanamke mwenye kipato au unampango wa kuoa mwanamke mwenye kipato funga kamba vizuri uzikaze.
Kusimama kama mwanaume ni kazi hatakama anakuonyesha heshima kiasi gani.
Jambo kubwa unalofaa kufanya ni kutoweka budget ya kipato chake kwenye kuendesha familia yenu.
Stand as a man...
Red flags ziko nyingi ila kuna hii: Mwanamke aliye active kupost post kwenye mitandao ya kijamii kama IG, Snapchat, TikTok n.k
Ukweli ni kwamba mabinti au wanawake wengi wanatumia mitandao ya kijamii kutafuta attention za wanaume.
Na ndio maana wengi wao wakifuatwa DM huwa wanajibu wako single...
Salaam,Shalom!!
Imeandikwa ( mithali 16:1), maandalio ya moyo ni ya mwanadamu, Bali....
Pana mtumishi mmoja pia aliwahi kuimba kuwa, Ibada huanzia nyumbani.
Sasa TOBA, msamaha, utakatifu wa mwili NAFSI na Roho, ni vitu vinavyotakiwa kuanzia nyumbani.
Kuoga, kusafisha mwili ni muhimu ila muda...
Inashangaza mara nyingi mwanamke anapotangulia kabla ya mwanamme
👉Mwanaume huwa hadumu sana hii ni kwasababu zipi?
👉Lakini mwanaume akutangulie kuna possibility kubwa mwanamke akabaki
Mifano halisi
👉 Mke wa Ephraim kibonde alipofariki kibonde alifuata mwaka uliofuata
👉Mzee Kigunge alianza...
THAMANI YA MWANAMKE KATIKA JAMII.
Mwanamke amekuwa nguzo muhimu sana ndani ya familia pale ambapo mwanaume anakuwa hajui wajibu wake ndani ya famili ,
Hii imekuwa ina tokea katika nyakati tofauti Tofauti , inafikia Time hadi mwanamke anapambana kuhudumia familia kwa kutafuta chochote kitu...
Tumesikia vya kutosha juu ya wanaume kuwa vyanzo vya mahusiano kuvunjika, leo ningependa tupate maneno mawili matatu kutoka kwa wanawake wa nguvu wanaojitambua na kutambua mapungufu yao ambayo yalisababisha mahusiano yao kuvunjika
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.