mwanamke

  1. G

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa kuoa anahitajika, awe na Garden Love

    Wakuu kwema? Kuna ndugu yangu anatafta mwanamke wa kuoa lakini shart lake awe na garden love za kutosha. Nawasilisha.
  2. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Wanawake njooni hapa mfahamu wanaume tunataka mwanamke wa aina gani

    Tumekaa Wakataa Ndoa na tulio ndani ya Ndoano, tumekuja na Ukweli Mchungu kwa Faida yenu wanawake Ndoa sio lelemama, sio karata za Bahati Nasibu, na kwa hakika sio safari ya majaribio. Hii ni safari ya milele inayohitaji maarifa, uvumilivu, na upendo wa kweli. Tukiwa tumejifunza mengi kupitia...
  3. Damaso

    JamiiForums Tanzania Mwanamke Usiingie kwenye ndoa kama una hivi vitu

    Ndoa ni safari takatifu, lakini kama ilivyo safari nyingine zozote, inahitaji kuwa tayari kabla ya kuianza. Si kila mtu anafaa kuwa mwenzi wa ndoa, na si kila mtu anafaa kuingia kwenye taasisi hii ya takatifu. Kama mwanamke unajiona katika hali zifuatazo, pengine unapaswa kufikiria tena kabla ya...
  4. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Bibi Titi Mohamed Mwanamke Shujaa

    BIBI TITI MWANAMKE SHUJAA Labda kama ingekuwa si Bibi Titi Mohamed nisingefahamiana na Mh. Mohamed Mchengerwa. Mh. Mchengerwa ndiye muasisi wa Tamasha la Bibi Titi. Labda kama isingekuwa Tamasha la Bibi Titi Mohamed nisingefahamiana na Mh. Mchengerwa na pengine wengi tusingefika Ikwiriri hadi...
  5. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya kuachana na mwanamke

    Kabla sijaoa niliachana na wanawake kadhaa,ambao tulipendana sana nao,na niliumia sana moyoni.Wa kwanza ni Tana,ama nilimpenda sana lakini wakati huo kipato changu hakikuwa kikubwa,akachukuliwa na mkaka mmoja na akamtafutia kazi ya kujishikiza,aisee moyo uliniuma sana lakini ndio hivyo,hatahivyo...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa

    Hello Naitwa Octavian mwenye umri wa miaka 37.Natafuta mwanamke wa kuoa mwenye umri kuanzia 28 nakuendelea. Awe mkristu,kabila lolote. Kazi yangu nimejiajiri . Aliye tyr aje pm tuyajenge au anicheck whatsap +255776110821 karibu Sana
  7. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kama havai shanga siwezi kuwa na mahusiano nae, kabla ya yote nauliza kuhusu Shanga kama anazo

    Sina mengi ya kusema kichwa cha habari Kiko bayana karibu tuzungumze wengine mna mtazamo gani kuhusu wanawake hasa kuvaa shanga. Vibe langu limekaa kwenye shanga, obviously shanga huambatana na miuno kama yote Pang Fung Mi
  8. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke

    Habari, nipo Arusha natafuta mwanamke umri kuanzia miaka 28 hadi 37 tuishi na tuzae mtoto, sichagui Kabila wala dini. Asiwe mlevi, mvivu. Alie serious anifuate inbox
  9. Charlez kanumba

    JamiiForums Tanzania Mwanamke hata kabla hujamtongoza anakuwa amesha tambua lengo lako kupitia lugha ya macho

    ikitokea umekutana na mwanamke akakuvutia kwa mara ya kwanza na ukamtazama directly machoni/usoni. Basi tambua ubongo wa huyo mwanamke unaanza kukudescribe papo kwa hapo kama unafaa kuwa nae au hufai, na baadae huyo mwanamke hukaa na kukufikiria kisha atajipa jibu yeye mwenyewe kama ni YES au...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Swali: Siku hizi kuna uchawi ambao unafanya mwanaume asiweze pata mwanamke?

    Habarini, Kuna issue moja nimeona among most men, comment ya Daniel mwasi na tit 4 tat wa JF, imefanya niandike huu uzi. Mwanaume unakuwa kimuonekano huna kasoro yoyote, pesa unayo, ila hutapata mwanamke hata mmoja wa kukuvulia nguo, labda ununue wadada wanaojiuza barabarani. Cha ajabu...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kuolewa ukiwa na miaka 30+ ni kumfanyia ukatili mumeo

    Kibaolojia, mwanamke hukata moto wa kuchakatana (kugegedana) na hukoma kuzaa akiwa na 45 ama chini ya hapo. Ndiyo kusema kama mwanamke ameolewa na 32 tafsiri yake ni kwamba atakuwa consummated (atagegedwa) kwa miaka isiyozidi 12 tu. Baada ya hapo anakuwa sawa na mlinzi wa getini tu. Sasa vipi...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mara yangu ya Kwanza kupigana na mwanamke. Kumbe alikuwa Mchumba Polisi

    Habari za jumapili Wakuu! Miaka hiyo bhana! Niko zako mwaka wa Kwanza nikiwa Likizo. Nimerudi zangu Moshi. Sasa mtaa tuliokuwa tunakaa ni karibu na Kota za Polisi pale Moshi Mjini. Kwa wanaojua Moshi Mjini Basi karibu na Club kubwa inayoitwa HUGO Club. Kutoka Hugo Club na uwanja wa mashujaa sio...
  13. Lugano Edom

    JamiiForums Tanzania MWANAMKE MWENYE FUTURE YA MAISHA YAKE HAWEZI KUMKATAA MWANAUME ANAYEHITAJI KUMUOA.

    Nimewahi sikia eti MWANAUME ANASEMA WANAWAKE WANANIKATAA 👇 Rafiki mwanamke akupendae na mwenye Future Yake hakatai mtu. Labda kama anampango wa kuchuna mali zako. But real women 🚺 hakatai mwanaume. Hasa mwanaume anayehitaji kuoa So ukiona wamwambia mwanamke Nikuoe hataki mwache
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Mwanamke Masikini, Mama Pendo (Single Mother wa Watoto Wawili) wa Tageta Machinjioni anavunjiwa Banda lake Saa Hii: Tumsaidie Mamlaka kuingilia kati

    Wanabodi Nimepigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kwa jina la Mama Pendo akiomba msaada wa haraka,anavunjiwa kibanda chake cha kuishi eneo la Tageta Machinjioni。 Anaomba media tupaze sauti wenye mamlaka wasikie wamsaidie kumnusuru。 Please tumsaidie huyu Mtanzania mwenzetu ambaye ni masikini...
  15. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Helena Ceausescu mwanamke mpenda shahada aliyejiponza na kumponza mumewe

    Kwa wana JF ambao wako kwenye miaka yao 50 kwenda juu, watakuwa wanamkumbuka Helena mwanamke habithi mke wa rais wa Romania aliyeuawa pamoja naye Nicolae Causescu. Huyu mama alipenda udaktari. Alitumia madaraka ya mumewe kulazimisha vyuo vimtunuku shahada za heshima. Hakuishia hapo...
  16. Damaso

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Ladies In Red

    Kama mchumba, au mke wako amekwenda kwenye kongamano la Ladies In Red wao wanasema na kudai ni Kongamano mahususi la Mahusiano linalofanyika Mbezi Garden Hotel. Mwanaume mwenzangu anza kupiga hesabu zako mapema na tafakuri kubwa ya mahusiano yako. Moja ya wazungumzaji wakuu ni Bhoke kutoka...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wanawake Rombo waogopa kutembea peke yao bila waume zao wakihofia Nyani, ambao 'huwakonyeza'

    Baadhi ya wanawake katika vijiji vitatu vya Samanga, Kirongo juu na Sangasa, wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro wameeleza tishio la nyani wilayani humo linavyowaogopesha kutembea peke yao bila waume zao wakihofia kudhuriwa na nyani hao. Wamesema nyani hao ambao hutembea makundi kwa makundi...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Ni kweli unaweza kumpata mwanamke wa ndoto zako kwenye klabu ya usiku? Nataka nijaribu bahati yangu leo

    Majizo anasema alikutana na Lulu kwenye klabu ya usiku. Mr. Blue anasema alikutana na mke wake yule mwarabu kwebye klabu ya usiku. Leo nataka na mimi nijaribu. Nitatembelea kwenye klabu na baa kadhaa ndani ya jiji la Dar es salaam nione huenda nikakutana na mwanamke wa ndoto zangu. Wakuu...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Mungu aliagiza tukaijaze dunia. Hii habari ya kuoana imetoka wapi?

    Mungu aliagiza tukazaane tuijaze dunia, wala hakusema tuoane. Huu ubunifu wa kufuga mtoto wa mtu kwa lengo la kunyanduana tu ulianzishwa na nani?
Back
Top Bottom