Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 3,024
- 9,129
Mwanaume anacheat kwa sababu ana uwezo wa kucheat.
Sio kwa sababu eti mfuska , hapana, hata wale normal familiy loving men wana cheat.
Mwanaume ana cheat sio kwa sababu ya mke wake amridhishi au labda mke wake ni pasua kichwa, ila anacheat kwa sababu technically mwanaume ni sex machine inayotembea ku overcome fantasies alizonazo za ngono ambazo nyingine anaona ni za kumdharalisha mke wake kama akizi apply kwake.
So, wazee wetu zamani na watu walikuwa careful na namna ya ku-handle cheating na isilete madhara makubwa katika ndoa na familia, ila vijana wa kileo wamekuwa wapuuzi na wadhaifu sana maana wanaish fantasies za ki pono pono., wamekuwa washamba wa wanawake.
So mtu anaweza kuuliza, kama mtu anakupenda kwa nini ana cheat, hata yeye mwenye anaechepuka hawezi kujibu hili swali kwa maana yeye mwenyewe anampenda sana mke wake ingawa ana cheat na malaya wengine nje.
Labda kuchepuka ni zimwi linalokula,
Labda kuchepuka ni udhaifu,
Labda ni tabia binafsi,
Labda ni uhuni umekuwa mkubwa sana,
SIJUI