mwanamke

  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwanamke aliyekatwa Mkono akiamua ugomvi Uchunguzi wakwama, Polisi wadai Bajeti imekosekana

    Mwanamke aitwaye Nancy Simon, Balozi wa mtaa wa Olekeriani, kata ya Olasiti jijini Arusha, ambaye alikatwa mkono akijaribu kumuokoa mwanamke aliyekuwa akishambuliwa na mume wake, ameeleza kuwa uchunguzi wa kesi yake umegonga mwamba. Askari mpelelezi wa tukio hilo amesema kuwa kesi hiyo haiwezi...
  2. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Siku hizi mwanamke kwenye gari na iphone hachomoki

    Sijui ni umaskini, ujinga, laana, au ni tamaa mbaya. Ijapokuwa sio wanawake wote, lakini asilimia kubwa ya wanawake (wengine ni Wake za watu) hawawezi kuwakataa kimapenzi wanaume wafuatao; 1. MWANAUME MWENYE GARI - Sikuhizi ni ngumu sana mwanamke kumkataa mwanaume mwenye gari, hata kama...
  3. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Kuna asilimia ngapi za mwanamke kucheat ikiwa anaridhishwa ipasavyo kitandani?

    Hili ni swali ambalo wanaume tumekuwa tunalitafutia majibu kutoka kwa wanawake. Mfano, kwa mwanamke ukiwa kwenye relation na mtu ambaye anakuridhisha sana kitandani, ni sababu ipi inaweze kupelekea uka cheat mbali na wewe kuridhishwa kimapenzi? Nikiweka other factors constant, mfano kama mpenzi...
  4. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Afrika ina Rais mmoja tuu Mwanamke, Samia Suluhu Hassan

    Hapa kuna orodha ya baadhi ya marais wa kike duniani, wasifu wao, na bara wanakotokea. Muhimu ni kunote kwamba Samia Suluhu Hassan ndiye rais pekee wa kike barani Afrika kwa sasa. 1. Samia Suluhu Hassan - Tanzania (Afrika) • Wasifu: Samia Suluhu alizaliwa mwaka 1960 Zanzibar, Tanzania...
  5. MENEMENE TEKERI NA PERESI

    JamiiForums Tanzania Gari dogo la kukodi mkoani Kagera na mwanamke wa kupiga naye story za kimkakati

    Husika na kichwa Cha habari hapo juu ,salamu haikuongezei thamani . Mwenzenu nipo mkoani Kagera specifically katika mji wa Bukoba mjini ,popote mlipo mnaojua mnakodisha magari madogo kwaajili ya kufanya michakato yangu ,tafadhali naomba mnitafute PM ,kwa kuandika namba yenu Kama kichwa Cha...
  6. Ndesalee

    JamiiForums Tanzania Mahusiano na mwanamke mwenye hasira za karibu

    Wakuu habari zenu. Naomba ushauri wa namna ya kuweza kuendelea na mahusiano na mwanamke mwenye hasira za karibu sana hata kwa jambo ambalo halina maana ya mtu kukasirika. Mana naona uvumilivu unaelekea kunishinda.
  7. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Kutongoza mwanamke

    Ubingwa wa kumtongoza mwanamke,ni sanaa nzuri mno,na kila mwanaume anapomtongoza mwanamke na mpaka anafanikiwa kunyanduana nae,anajisikua fakhari kubwa sana,vipi wanaumevwenzangu nyie mna maoni gani?
  8. Raymanu KE

    JamiiForums Tanzania Mahali ambapo Shetani hawezi kufika huwa anatuma mwanamke

    Case studies zipo nyingi Sana Sina haja ya kurudia. Uzi tayari.
  9. milele amina

    JamiiForums Tanzania UTABIRI: Tutarajie Kumpata Sheikh Mkuu wa Tanzania Mwanamke Kabla ya 2030

    Tanzania, nchi yenye utajiri wa rasilimali na tamaduni mbalimbali, inazidi kujiandaa kwa mabadiliko makubwa ya kisiasa na kijamii. Moja ya malengo makuu ni kuwezesha wanawake kushika nafasi za juu katika uongozi, hususan katika nafasi ya Sheheh Mkuu. Hili ni jambo ambalo limekuwa likijadiliwa...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Afghanistan: Talibani imepiga marufuku wanawake kuongea ama kubadilishana mawazo. Marufuku mwanamke kuongea na mwanamke mwenzie

    Serikali inayoongozwa na Talibani nchini Afghanistan imepiga marufuku wanawake kuongea ama kubadilishana mawazo. Ni marufuku wanawake kuongea na mwanamke mwezake na kumuelezea mawazo ama maoni yake. Khalif Hanif, waziri wa tabia njema na mwenendo mwema katika jamii amesema ni marufuku wanawake...
  11. Tman900

    JamiiForums Tanzania Kauli " Mwanamke Shetan"

    Mara Nyingi sana huwa nasikia watu wakisema mwanamke Shetani, je hili swala likoje, na Kuna ushahidi wowote inaonyesha kua mwanamke ni Shetani, na Je Kuna Uhusiano Gani kati ya Mwanamke kupenda sana Pesa, kiasi Jamii Mzima Inaamini Mwanamke anapenda sana Pesa + Mali + Vitu. Je ushetani wa...
  12. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini ukimchekea chekea mwanamke kwenye biashara, anawaza kukufirisi tu?

    Aisee! Hadi nimechoka mwili, akili na roho Kuna mdada mzuri tu yuko na mama yake opposite na duka langu la maudambu udambwi ni mama nt'ilie. Huyu binti alinivutia sana tokea siku ya kwanza wanafungua kijimgahawa pale. Nilikuwa mteja wa kawaida ambaye sikutaka hisia zangu ziwe wazi kwa muda ule...
  13. Zero Competition

    JamiiForums Tanzania Ukisikia mumeo anachepuka na mwanamke mwingine mshukuru Mungu

    Katika nyakati hizi ngumu tulizonazo, mwanamke ukisikia mumeo anachepuka na mwanamke mwingine mshukuru Mungu. Sio kama nahamasisha uzinzi nje ya ndoa lahasha ila tambua kwamba kuna baadhi ya wanaume wameoa na wana watoto wamepata na wake zao lakini wanaume hao hao wakitoka kwenye nyumba zao ni...
  14. nipo online

    JamiiForums Tanzania Ukioa mwanamke amekuzidi IQ utapata tabu sana

    Changamoto yao kubwa ni ujuaji mwingi hutoeza kumchit asijue, udanganyifu wowote ule unagonga mwamba Yani ni full mabishano. Ukiwa na Mali utapigwa bila kujua.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mzuri ni yupi?

    Ndugu wana JamiiForums naomba kuuliza swali? Swali langu linaweza kuonekana la kawaida Ila lina maana kubwa wengine husema uzuri wa mwanamke ni tabia. Wengine husema uzuri wa Mwanamke ni sura. Je kati ya haya mawili sura na tabia lipi lipewe kipaumbele ninapochagua mchumba? Naomba kuwasilisha
  16. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ni kiumbe wa namna gani?

    Nisaidie kutoa jibu
  17. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Wanawake hawana faida yeyote kwa wanaume uzeeni

    Mwanamke hana faida yeyote kwa mwanaume uzeeni zaidi ya kukulipizia kisasi na kukuwahisha kufa mapema Ndugu zangu kuna misemo na matisho wanayopewa vijana wa kiume huko duniani kuwa wewe mwanaume endelea kukataa kuoa FAINALI NI UZEENI pia wanawadanganya vijana wa kiume kuwa mwanaume akizeeka...
  18. babukijana

    JamiiForums Tanzania X mwanamke na x mwanaume huwa wapi mna tatizo?

    Nilitandika vibinti enzi hizo,na vikazaa hovyo tu,. Mi nikaendelea tu kibabubabu na kibibibibi. Mi ndoa nilishakataa. Sasa X zaidi ya saba wanataka kurudi ntawapeleka wapi? Huku nna x wa mwisho nae anandai hela nyingi tu. Kwenda mahakamani kujitetea ni kila siku,ni mke wa ndoa kabisa...
  19. Mzee wa kusawazisha

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya mwanamke anapigwa kwa upande wa khanga?

    Nasikia tu huu usemi kua mwanamke hapigwi bali anapigwa kwa upande wa khanga sasa adi Leo sijui maana yake. Naomba ufafanuzi asanteni
  20. 2019

    JamiiForums Tanzania Maeneo wanayotoka wanawake watata, jasiri na wanaoweza kubishana na mume

    Hii ni tahadhari ila si sheria, amua mwenyewe kufuata qu kuacha. Kuna mikoa inasifika kwa wanawake watata na jasiri na kubishana na mume. Mkoa wa Mara. Wanawake hawa ni watiifu kwa waume lakini ukizingua zinapigwa kiroho safi nimetaja Mara japo wakuria ndio wanajulikana kwa ukorofi lakini...
Back
Top Bottom