Kwa WANAUME unapenda mwanamke wa aina gani?

Kwa WANAUME unapenda mwanamke wa aina gani?

1Africa54

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2025
Posts
464
Reaction score
543
1.mwembamba
2.mnene
3.macho makubwa
4.macho madogo
6.nyashi kubwa
7. V-shaped face
8. Oval face shape
9. Miguu wa bia
10. Curved shape
11. Mfupi
12. Mrefu

1. Mcharuko
2. Mbea
3. Mpole
4. Mwenye makelele
5. Gubu
6. Mchamungu
7. Wa mituuuungi

1. Tom boy
2. Mweupe
3. Cheusi
4. Maji ya kunde

Sifa gani nyingine unapenda?
 
1.mwembamba
2.mnene
3.macho makubwa
4.macho madogo
6.nyashi kubwa
7. V-shaped face
8. Oval face shape
9. Miguu wa bia
10. Curved shape
11. Mfupi
12. Mrefu

1. Mcharuko
2. Mbea
3. Mpole
4. Mwenye makelele
5. Gubu
6. Mchamungu
7. Wa mituuuungi

1. Tom boy
2. Mweupe
3. Cheusi
4. Maji ya kunde

Sifa gani nyingine unapenda?
Mwenye Kadi ya TANU BIN CCM
 
1.mwembamba
2.mnene
3.macho makubwa
4.macho madogo
6.nyashi kubwa
7. V-shaped face
8. Oval face shape
9. Miguu wa bia
10. Curved shape
11. Mfupi
12. Mrefu

1. Mcharuko
2. Mbea
3. Mpole
4. Mwenye makelele
5. Gubu
6. Mchamungu
7. Wa mituuuungi

1. Tom boy
2. Mweupe
3. Cheusi
4. Maji ya kunde

Sifa gani nyingine unapenda?
Napenda BIKRA! hayo mengine ni Mungu ndivyo alivyoumba Sina Cha kuchagua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom