mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Mwanamke sahihi wa kuoa: mapenzi yenu 10%, Malezi 80%, zinazobaki ni utimamu wa akili

    Ushauri huu nilipewa na rafiki yangu ambae ni mtu wa india wakati bado tupo vijana, mwanamke sahihi wa kuoa sio yule unaempenda sana, lakini mapenzi lazima yawepo angalau kwa asilimia kumi, ukiangalia katika nchi ambazo zina ndoa nyingi zinadumu sana basi india ndo inaongoza duniani, japokua kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Mwanamke akikutishia mimba anakuwa anayo kweli

    Demu wako/mke wako/mchepuko akikwambia ana mimba muamini 100% ila anakua tu anataka kutoa.baadae utaskia nlikuwa nataka tu kuona utakavyo nijibu . . Wadau skuizi wanawake wanajua kutoa mimba yaani kuna mdada hapa ananiambia ana mwenzake mwaka huu katoa mimba tano 5 .
  3. JamiiForums Tanzania Maono: nimeona nyumba inayofanana na Tanzania inayomilikiwa na mwanamke ikianguka chini na kuwaka moto

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Ni maono hayo niliyaona leo usiku Ni huzuni sana Niliona nyumba moja nzuri sana inayofanana na Tanzania inayomilikiwa na mwanamke ikianguka chini na kushika moto mkali sana SAYUNI BOY
  4. JamiiForums Tanzania Mwanamke kuongea na watu huku kashika kiuno ni ushamba na kiburi cha kike

    Nimeona mjadala mkubwa wa Gen Z huko Tiktok kuhusu hii picha ya mtu aliyekuwa akiwananga huku akiwa amewashikia kiuno. Vijana wanaulizana, kwani anatuchukuliaje? Ilikuwa ni lazima aongee akitutaja sisi huku akiwa ametushikia kiuno? Vijana wa kiume walienda mbali zaidi( ila mimi huko sitafika...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mzuri ndo anagombaniwa? Bandari, Gas, Tanzanite, Graphite etc

    Leo mama umenena , ni kweli Tanzania ni nchi Tajiri sana tena sanaaaaaaaaaaaa nimefurahi leo umewachana washenzi wanaofadhili ushenzi, List ya urembo wa mama Tanzania, 1. SURA: Diamond, Gold, , Tanzanite, makaa ya mawe, Graphite, Chuma liganga, Nickel kabanga etc 2. KIFUA CHUCHU SAA SITA...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Historia imekwisha kuandikwa Samia mwanamke wa kwanza Africa kuingia madarakani kukiwepo umwagikaji mkubwa wa Damu , una nafasi ya kujiuzulu kusafisha

    Kama tunavusoma historia ya Nyerere na wenzake kutafuta Uhuru na kuingia madarakani bila umwagikaji wa damu , Ndivyo watoto wetu watasoma historia ya Mama Samia kuingia madarakani kukiwepo umwagikaji wa damu, Wataenda mbali zaidi na kujiuliza baada ya hapo alichukua hutua gani baada ya mababu...
  7. JamiiForums Tanzania Kushiriki mapenzi ya kinyume na maumbile ni kosa kwa mujibu wa sheria

    Kushiriki mapenzi kinyume na maumbile ni pamoja na kutumia via visivyo vya uzazi kufanya mapenzi, kwa mfano kutumia sehemu ya haja kubwa kufanya ngono, kutumia midomo, vidole n.k Kasi ya uovu huo inatisha kote nchini. Imefikia mahali imekua kama fashion. Usipofanya huo uchafu mnapokua faragha...
  8. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mchungaji: Kuna Mwanamke kashinda uchaguzi 98%, kwa hiyo 2% ndio wanaondamana mtaani?

    Tanzania tumekuwa kituko kwakweli, huu ni zaidi ya udikteta. Samia anafanya Mataifa kuishangaa hii nchi, tuweke masuala ya Jinsia pembeni tujadili kwa fikra na matendo ya binadamu anayesimama kwenye majukwaa na kuongelea utu kisha kuua watu kiunyama Ameshinda uchaguzi kwa asilimia 98, hakuna...
  9. JamiiForums Tanzania Mwanamke katili asiejali vilio vya wanawake wenzake

    Mama Heche, mama Mdude, mama soka, mama PolePole na wengine hawakuzaa Kwa utamu, walizaa Kwa uchungu pia. So kama huyu mama yenu mtawala anaona machozi ya hawa wamama ni nothing sababu anajua wanae walipo na anawaona na anafuraha basi Mungu ataamua hawa wamama wengine atawafuta vipi machozi.
  10. JamiiForums Tanzania Mwanamke akichukuliwa au akitekwa jua ni Ishara ya Ukombozi

    Ikitokea mwanadada mrembo amechukuliwa na watu/aidha polisi au wasiojulikana na kupelekwa mahali ni Kama ndani ya fensi ya gereza au kambi flani hivi, Kuna wanaume uvumilivu utawashinda watajipeleka kwenye hilo gereza au kambi kwa lengo la kumsaidia huyo mrembo kupata haki, watakua...
  11. JamiiForums Tanzania Baada ya kutengana na mwanamke nimeota ndoto mbaya

    Hii ndoto nimeiota saa nane usiku na usingizi ukayeyuka kabisa Ni mwezi mmoja sasa unaishia toka ameenda kwao mpaka sasa hajarudi Kisa cha kutorudi ni kwasababu wakati anaondoka nilimwambia asiende hivo nikakuta ameenda kwao kulikuwa na sherehe. Lengo ilikuwa sio kumzuia lengo nilikuwa tu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Je ni Upi Muda Sahihi wa Kumchumbia Mwanamke unayetamani awe Mke

    Habari zenu Wakubwa! Mimi ni kijana niliyefikia umri wa kutaka kuoa Sasa,nimempenda mdada ndani ya muda mfupi na anaonekana ana sifa zote kabisaa. Kwa mliokwishaoa,Kwa uzoefu wenu ni kipindi Cha muda gani chatosha kujiridhisha ya kuwa mwanamke Fulani atosha kuwe mke na Kwenda kwao...
  13. JamiiForums Tanzania Ila tukiweka ushabiki pembeni mwanamke hatakiwi kuwa Rais wa nchi

    Tukiacha unafiki mwanamke hafai kuwa Rais wa nchi sio tu Tanzania Duniani kote! Tujiulize kwanini Marekani imegoma kabisa kutawaliwa na mwamke? Wakati ndiye baba wa democracy Duniani?
  14. JamiiForums Tanzania Sifa Kuu za Mwanamke Mwema wa Kuolewa kwa Mujibu wa Qur’an na Sunnah

    🕌 MUHTASARI: SIFA ZA MWANAMKE MWEMA KWA AJILI YA NDOA (KWA MUJIBU WA QUR’AN NA SUNNAH) 1. Mwenye Imani na Uchamungu (Taqwa) Qur’an: An-Nur 24:26 — “Wanawake wema ni kwa wanaume wema, na wanaume wema ni kwa wanawake wema...” Al-Baqara 2:221 — “Wala msiwaoe washirikina mpaka waamini; kwa hakika...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuzaa nae mtoto

    Natafuta mwanamke wa kuzaa nae mtoto. Sifa zake Dini yoyote. Umri 25-35 Kabila lolote Rangi mweupe Elimu at least secondary education. Kazi yoyote descent Awe anaishi DSM Awe tayari kupima afya Sifa zangu Umri 41 Rangi black Elimu postgraduate degree Napatikana Dar Kazi kibarua kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Je, Mwanamke anaweza kuwa sababu ya umasikini kwenye familia?

    Imezoeleka familia ikiwa tajiri basi ni baba, na je? mwanamke anawezaje? kusababisha umasikini ndani ya familia? Naongea hivo kwasababu mm nikipanga malengo ila kila ukizuka ugomvi mipango yote inaharibika. Swali la ujumla ni je familia isiyokuwa na amani je inaweza kuwa na maendeleo?
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwanamke wa kwanza kuwania Urais Zanzibar ni katika Uchaguzi wa 2025

    Laila Rajab Khamis Katika historia ndefu ya siasa za Zanzibar, jina la Laila Rajab Khamis sasa limeandikwa kwa herufi kubwa si kwa sababu ya nafasi aliyopewa, bali kwa nafasi aliyoamua kuichukua mwenyewe. Mwaka 2025, Laila amekuwa mgombea pekee wa urais mwanamke visiwani Zanzibar, na wa kwanza...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi yupo Mwanamke ambaye ana amani miaka 35 bila Mtoto?

    Mimi naamini duniani lolote linaweza kutokea hata bibi wa miaka 90 kuzaa Mtoto, Je tuna wanawake ambao wapo Tayari Kufikisha 35 years bila kuwa na mtoto na ukawa na amani kusubiri zaidi Siku yako ? Au ndio tunafikiri Mungu ni Mungu wa Yes kila kitu ?
  19. JamiiForums Tanzania Mwanamke afariki dunia Morogoro akijaribu kutoa ujauzito

    Mwanamke mwenye umri wa miaka 36, makazi wa Mtaa wa Kilimanjaro, Kata ya Kihonda – Morogoro, amefariki dunia akidaida kufanya jaribio la kutoa ujauzito. Nini kifanyike ili kuzuia matukio kama haya yasitokee? Chanzo: Azam Tv
  20. JamiiForums Tanzania Mchumba mwanamke - MKE

    Habari wana JF Natafuta mwanamke mwenye heshima na upeo wa kiakili , na kimaisha ambaye yupo tayari kuishi maisha ya ndoa yenye upendo, heshima na furaha. Ndoto yangu ni kumpata mwanamke wa umri kati ya miaka 25 - 30 ambaye hajawahi kuolewa na hana mtoto. Kama yupo mwenye uhitaji namkaribisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…