mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kuoa mwanamke ambaye simpendi

    Wakuu habari za Weekend. Mimi ni kijana na nimefikia umri wa kuoa sasa, ila changamoto ni kutaka kumuoa msichana ambae hayumo katika hisia zangu, ila sababu ya yeye ana tabia zote nzuri, lakini mimi tu sijavutiwa sana kwa upande wa sura tu basi. Na kwa upande wake ananipenda zaidi ya sana na...
  2. JamiiForums Tanzania Mwanamke aweka Baa kwenye bustani ili kumzuia mume kunywa kutoka nje

    - Mwanamke ameunda kizuizi ndani ya nyumba yake kumzuia mume wake kwenda kunywa vinywaji nje ya nyumba yao - Jayne Tapper ambaye ameolewa na Paul alifikiria suluhisho la mapenzi ya mumewe kwa kunywa kwenye baa ya ndani - Amedhamiria kuifuta. Alijitengezea pub yake mwenyewe nyuma ya bustani yao...
  3. JamiiForums Tanzania Fahamu dawa na mambo yatakayoweza kukupatia mwanamke umtakae..

    Salute Psychological Manipulation, jinsi ya kumpata umpendae kwa kumteka kihisia na kiakili. Kwanza kabisa ili uweze tengeneza computer inakubidi uelewe jinsi mifumo na vifaa vyote vilivyomo ndani ya Computer na jinsi vinavyofanya kazi..Chukulia mwili wa binaadamu ni Computer nzima, ubongo ni...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mwanamke, thamani ya Ulimwengu!

    Baada ya kuona jamii inavuka ule mpaka wa kumrekebisha mwanamke na kugeuka kuwa kumsimanga mwanamke, nimeonelea kutoa angalizo lifuatalo. Sisemi kwamba wasikosolewe, ninachosema ni wasionewe maana "women are naturally expensive, take the one you can afford and stop saying that they love money"...
  5. JamiiForums Tanzania Pendekezo: Umri wa Mwanamke kuolewa uwe ni miaka 22, chini ya hapo ihesabika kama ubakaji

    Kila mtu apate nafasi ya kusoma hadi chuo kikuu, iwe haki ya muhimu kama ilivyo elimu ya msingi, hivyo napendekeza umri wa kuolewa mwanamke upandishwe hadi miaka 22, na chini ya hapo ihesabika kama ubakaji na ukikutwa na hatia unapigwa miaka 30.
  6. JamiiForums Tanzania Hivi kuna Mwanaume yoyote hapa nchini Tanzania ambaye huwa ' hadanganyi ' kabisa pale akiwa ' anamtongoza ' Mwanamke?

    Nadhani kama Siku ya Hukumuy Kwake Mungu Sebuleni Kwake Mbinguni Wanaume wote tutahukumiwa na hii Dhambi ya Kudanganya / Kuongopa. Huwa nikikaa Mwenyewe na Kujitafakari kwa aina ya Uwongo ambao nimekuwa nikiwadanganya na bado naendelea Kuwadanganya Wanawake ili tu ' niwabandue ' najiona kabisa...
  7. JamiiForums Tanzania Ni rahisi sana mwanamke aliyezoea kufikishwa kileleni kabla ya ndoa, kuachika akiolewa

    Mazoea ya utundu wa kuchepukachepuka na kubobea katika migegedo ya viwango vya juu nje ya ndoa ni kujiandaa kuvunja ndoa siku chache baada ya kuolewa. Kama ulizoea kufikishwa Everest na Kilimanjaro huko uzinzini na ndoani unaishia kufikishwa mlima Kilimanjaro wa pale EPZA Ubungo External...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano wowote Kati ya rangi ya mwanamke na joto la mwili?

    Kwa mapenzi makubwa kabisa nasema, nawapenda wanawake wa rangi zote, weusi na weupe. Kuna uhusiano wowote Kati ya rangi nyeusi na ukali wa joto la mwilini? Kusema kweli, imenitokea Mara zote nilipokula tunda la mwanamke mweusi/black Sana nakuta wana papuchi za Moto Sana,kuzidi wanawake weupe...
  9. JamiiForums Tanzania Njombe: Mwanamke ashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kumuua na kumla nyama Mtoto wake

    Mwanamke mmoja anaejulikana kwa jina la Christina Mlelwa(38) mkazi wa Kijiji cha Mavanga kata ya Mavanga kitongoji Cha mji mwema wilayani Ludewa mkoa wa Njombe anashikilikiwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kumchinja mwanae Joseph Gumbilo(4) mwenye ulemavu wa viungo na kumla nyama Awali...
  10. JamiiForums Tanzania Hiki ni kipimo kilichothibitishwa na TBS, ukitumia kipimo hiki utajua kuwa mwanamke anakupenda au anakuona ndezi(hakupendi)

    Mpange demu au mchumba wako mukutane mahali fulani, aidha kwake au popote pale. Ukikaribia kufika mahali alipo kwa kuchelewa mpigie simu na kumwambia hivi "Mpenzi wangu daaah hapa nimevurugwa sijui hata la kufanya, nikitoka home nimebeba nauli tu nilijua nitatoa fedha kwenye ATM machine, kumbe...
  11. JamiiForums Tanzania Utafiti: Mwanaume mmoja huweza kuwapa wanawake tisa mimba kwa siku wakati mwanamke hubeba mimba moja kwa miezi tisa

    MBUNGE wa Viti Maalum (CCM), Khadija Nassir, ameitaka serikali kuanzisha programu za uzazi wa mpango kwa wanaume kwa kuwa utafiti mbalimbali unaonyesha wana uwezo wa kuwapa mimba wanawake tisa kwa siku moja. Akiuliza swali la nyongeza bungeni jana, Mbunge huyo alisema utafiti mbalimbali duniani...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini walimu wa kumfundisha mwanamke aishi vipi kwenye ndoa ni wanaume na sio wanawake?

    Wanaume wengi wawe viongozi wa dini au wa kijamii au wa mitaani ndio huwa wanakomalia kufundisha mwanamke anavyotakiwa kuishi na mwanaume. Ukienda Misikitini unakuta Maimamu na Mashehe ndio walimu wa kumsomesha mwanamke aishije na mwanaume. Ukienda kwa Wasabato unakuta wanaume ndiyo walimu...
  13. JamiiForums Tanzania Simuelewi kabisa huyu mwanamke

    Ndugu zangu, niko kwenye mahusiano kwa muda wa miaka miwili sasa na msichana ambaye nimempenda kweli kweli. Plan yangu ni kumfanya mke wangu wakati wowote kuanzia sasa. Tumeshirikiana mambo mengi tuu. Tatizo lipo hapa. Ni mwanamke anayenificha mengi sana. Yaani ni mtu ambaye hata picha tuu...
  14. JamiiForums Tanzania Maajabu: Baba na binti yake wamemteka mwanamke, wamemuibia na kisha binti akamsaidia baba yake kubaka.

    Vituko Duniani hua haviishi. Baba na mwanae wa kike wanashitakiwa kwa kosa la kumteka mwanamke mwingine, kumuibia na kisha kumbaka, huku binti akitajwa kumsaidia baba yake kumbaka huyo mwanamke. Soma hiki kisa hapa. Father, daughter charged with raping woman, leaving her to die in desert...
  15. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Mwanamke aliyeweka vipande vya kioo kwenye uji wa mwanaye ashtakiwa kwa kesi ya mauaji

    Mwanamke mmoja wa Limpopo, Afrika Kusini apelekwa mahakamani, kushitakiwa kesi ya mauaji ya mtoto wake mwenye umri wa miaka kumi n moja (11) Nhabiseng Mokwana, 28 anadaiwa kumlisha mtoto wake uji aliouweka vipande vya kioo jambo lililosababisha kifo cha mtoto huyo. Mwanamke huyo alikamatwa wiki...
  16. JamiiForums Tanzania Sifurahiii wala sitaki kuona mwanamke anatoa mimba, ila kwa hali hii hebu tuseme tu ule ukweli "afanyeje"??

    Hamna kitu kibaya kama kumbukumbu hasa hiyo kumbukumbu inapokua mbaya katika maisha yako unaweza thubutu hata Kujitoa uhai hivi hivi Hebu tuangalie huyu mdada mzuri sana alikua akitokea zake katika safari zake,ghafla njiani anavamiwa na kundi la wanaume walioshiba "wanam'baka wote, Kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Kama ww ni mwanamke kampani ipo hapa

    Hello wanajamvi. Poleni kwa mihangaiko yenu na ninatumaini mko vyema. Leo naja kivingine kidogo kwa kuwa nmejiridhisha kuwa inafaa niweke wazi kuwa nahitaji kampani ya kike. Mimi ni wa kiume, nina miaka 31, nina elimu ya chuo na nina kipato cha kawaida kwa kujiajiri mwenyewe. Kifupi nahitaji...
  18. JamiiForums Tanzania Hakuna raha kama kumuona mwanamke aki-cum

    Wananzengo tuelezane tuu ukweli, hakuna raha kama kumshuhudia mwanamke mnayetanangana naye akifika kileleni. Hivi utajiitaje kidume kama umepiga mtanange na mwanamke then atoke hajaona kibo na mawenzi? Mimi hata mwanamke aniejakuletishe mara 100 lakini nisipomcumisha najiona bado sijatananga...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ukipendwa pendeka

    Nawasalimu members wenzangu Ndugu zangu nilikuwa tuna jirani yetu mmoja alikuwa ana uhusiano wa kimapenzi na binti mmoja anayeitwa Rehema. Huyu jirani yetu alikuwa ni mpole, mstaarabu pia ni mtaratibu alikuwa anampenda sana mchumba wake huyo, hata ikitokeaga mkwaruzano ambapo ni kawaida katika...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanamke kumbuka yafuatayo unapotoka na mume wa mtu

    Dada yangu kipindi utakapokubali kutoka kimapenzi na mume wa mtu, utakuwa umekubaliana kuwa mwanamke wa daraja la pili. Na siku zote mtu wa daraja la pili ni mtu wa daraja la chini ukilinganisha na daraja la kwanza. Angalia sasa, kama yupo na wewe na mke wake akapiga simu atamdanganya mkewe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…