Maajabu: Baba na binti yake wamemteka mwanamke, wamemuibia na kisha binti akamsaidia baba yake kubaka.

Hakimu Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Messages
1,216
Points
2,000

Hakimu Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2018
1,216 2,000
Vituko Duniani hua haviishi.

Baba na mwanae wa kike wanashitakiwa kwa kosa la kumteka mwanamke mwingine, kumuibia na kisha kumbaka, huku binti akitajwa kumsaidia baba yake kumbaka huyo mwanamke.

Soma hiki kisa hapa.
Father, daughter charged with raping woman, leaving her to die in desert Father, daughter charged with raping woman, leaving her to die in desert
 

DiasporaUSA

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Messages
20,173
Points
2,000

DiasporaUSA

JF-Expert Member
Joined Aug 27, 2016
20,173 2,000
Lipa kodi ya pango la Ardhi kabla ya tarehe 31 Desemba ili kuepuka tozo la adhabu.Kujua kiasi unachodaiwa na control namba piga*152*00# chagua 1,fuata maelekezo
 

EvilSpirit

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2017
Messages
2,783
Points
2,000

EvilSpirit

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2017
2,783 2,000
Yaani marekani hivo ni vitu vya kawaida,serial killers ndio wa kumwaga,mtu mmoja anachinja watu zaidi ya 50,mtu kama teddy bundy kaviua sana videmu
 

Forum statistics

Threads 1,378,774
Members 525,187
Posts 33,724,101
Top