Habari wakuu,
Msinielewe vibaya na hiyo heading,nimekaa nimefikiria sana kuhusu kuboresha maenzi na hawa wanawake,kwa uzoefu wangu mdogo nilionao nimegundua kuna vitu vinapuuzwa ila vikifanywa,mwanamke anafurahi kwakua inakua very romantic,nakupa mfano,binafsi nilikua napenda sana misosi mitamu...