Kajenga katika kiwanja cha mwanamke kinachomtokea utamhurumia

Kajenga katika kiwanja cha mwanamke kinachomtokea utamhurumia

Ligaba

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
1,071
Reaction score
2,889
Rafiki yangu Leo nimemsikia akiniambia sauti anazotoa yule mke wangu chumbani zinaweza kuniua. Fikiria nyumba moja mmegawana vyumba wewe na aliyekuwa mkeo baada ya kuachana. Wamepatana kila mtu awe huru na maisha yake. Anachofanya huyu mwanamke kaleta mwanaume anaishi nae inapofika usiku kumkomesha mwenzake unaambiwa kilio kinachotoka chumbani mshikaji hajawahi kukisikia katika muda wote akiwa na mkewe.

Wanaume wenzangu hebu zindukeni.
Muyatafakari mapenzi ya wanawake kwa pande mbili za shilingi. Wengi mnajisahahau sana hasa pale mwanamke anapoamua kujifanya mjinga, mpole ana hofu ya Mungu na kila tabia njema uijuayo.Huu ni wakati ambao mwanamke yupo tayari kugeuzwa shape yoyote ili akuruhusu tu wewe uingize yote. Huu ni wakati ambao huwezi kumkumbuka mama yako mzazi kwamba ndio mwema zaidi kwako zaidi yake. Haya yote yakitokea shukuru Mungu ila nakushauri baki na ufahamu wako, usiuze mechi, tena sio hizi mechi za dakika tisini, hebu fikiria unauza mechi ya maisha. Fikiria eti uko tayari ukaribishe majuto ya milele kwa kumdhamini mwanamke. Mwanamke huyuhuyu tunaeambia ndio chanzo cha kufa kwetu.

Namhurumia rafiki yangu, sio tu rafiki yeye ni kama ndugu kwangu. Jamaa yangu ni teacher wa hizi shule nyingi zao la Lowassa. Miaka sita iliyopita huyu jamaa alipata demu. Huyo she alikuwa na sifa zote hata mimi nilimbariki kwamba Mungu amemsaidia kupata sijui mnasema wife material. Baada ya ndoa jamaa akanitaarifu anashukuru Mungu anaanza ujenzi. Sikutaka kujua mengi zaidi ya kumpongeza. Sasa ndio kaja kunieleza mchakato wa ujenzi ulikuaje.

Kanieleza kiwanja kilikuwa cha mwanamke hela za ujenzi zote alikopa yeye ili wajenge. Kwa maelezo yake kaniambia imemlazimu kukopa awamu mbili ili kuimaliza nyumba yao. Hawajabahatika kupata mtoto. Takribani mwaka sasa ndoa imeingia gogoro, wametafuta amani kwa watu wote imeshindikana, kwa mustakabari wa afya zao familia zote zimebariki ndoa ivunjwe. Nilipojaribu kumuuliza kaniambia issue ni kwamba mke kabadilika kisa huyu jamaa hospitali wamewaambia ndio mwenye shida ya immature sperms kupelekea kutokuwa na uwezo wa kuzalisha. Tangu hapo ameshuhudia mkewe akimsaliti. Kisa cha ndoa kuvunjika. Jamaa kwa sasa hana uwezo wa hata kupanga anasema mkopo unammaliza. Kajaribu kushawishi nyumba iuzwe mke kagoma. Kamwambia akitaka abebe tofali zake aondoke nazo.

Sasa wababa tunajisahau vipi wakati tunajua mwanamke muda wowote ni kiumbe kigeugeu. Kama kujenga kwako sio hongo nakushauri usithubutu katika kiwanja cha mwanamke.
 
Huyo ni mpumbavu wa mwisho duniani kwa nini asiame afanye nyumba amehonga tu
Jamaa ni mpumbavu yeye na mke wake!
Hapo kama ni mimi, mke analeta wanaume ndani,
Mimi kila siku naleta wadada "visu" balaa.
Naleta watoto "non stop"
Nikipumzika sana labda mara moja kwa wiki.
Kwanza mwanamke anakuzidi vipi akili mpaka kufikia hatua hizo?
Huenda wanaume tunatofautiana sana.
Wengine ni kama mabinti.
 
Ni kweli mkuu hata mimi angenieleza mapema nisingethubutu kumruhusu afanye alichofanya.
 
Kipi bora, aondoke ageuze darasa liwe malazi yake mida ya usiku huku akiwa anajipanga kukusanya hela ya kodi aanze maisha upya au akae humo ndani kwa masimamngo na hasira hadi siku ajistukie amekufa mwenyewe...??

Maana nawaza mwanamke anakaanga maini rosti na wali wa maua unanukia halafu jamaa ametoka zake darasani chaki zimemjaa hadi kwenye kope na vumbi hadi masikioni kwa kutembea halafu anakuta wenzie wanakula na wanamaliza chote....

Kwanza najiuliza nani anakaa chumba cha masta, mke au mume..??

Kama ameshakuwa sugu aendelee kuvumilia bila kulalama, kuwa na msongo wa mawazo wala kuwa mlevi laah ahame hapo ili walau kwanza apate usingizi wa amani.

Matata K.
 
Imenikumbusha kaka yangu mmoja (kwa sasa ni marehemu),alikutana na janga kama hilo,alijenga nyumba ya zaidi ya milioni 60 kwenye kiwanja cha mkewe, mke akaanza visa na kumtaka bro waachane,brother akashauri nyumba iuzwe wagawane pesa,(tena nusu kwa nusu) mke akakataa,brother akamwambia shem "naondoka na tofali zangu nakuachia kiwanja" shem akajua utani,akamwambia "beba" bro akakaa kimya!

Shem alisafiri kwenda kwao ndani ya wiki moja,aliporudi akakuta nyumba haipo,(bro aliivunja hata tofali za level ya msingi,zilichimbwa,akaenda kuweka kwenye kiwanja chake kingine halafu yeye na watoto wake akaenda kupanga chumba na sebule,akaanza kujenga mdogo mdogo,baada ya mwaka mmoja shem alianza kumuomba msamaha bro kwa mengi aliyomkosea,hakutaka hata kumuona,wazee walimsihi amsamehe walee watoto wao lakini hakuwahi kuwaelewa...

Mpaka leo shem ni mtu wa kutanga tanga tu,kiwanja chake mpaka leo hakina nyumba kwa sababu hana uwezo wa kukijenga!
 
Mshauri jamaa avunje nyumba ataambulia hata mbao na bati akauzia tunaojenga mabanda ya kuku.
Chumba kimoja kinamtosha yeye kwa Sasa.
Mishe mishe atapata hela ya Kodi.
Yaani unaondoka na kila kitu na kuacha uwanja mtupu
Anachofanya Sasa hivi Ni ujinga na upumbavu.
Ndio maana mimi huwa nasema, mwanaume jijali mwenyewe na jali ndugu zako.
Haya mambo ya kujifanya "najenga familia yangu" hujui hata kuwa uko na adui yako ndani.
 
Huyu baharia kaka yako ndio mwanaume hasa.
 
Kipi bora, aondoke ageuze darasa liwe malazi yake mida ya usiku huku akiwa anajipanga kukusanya hela ya kodi aanze maisha upya au akae humo ndani kwa masimamngo na hasira hadi siku ajistukie amekufa mwenyewe...??

Maana nawaza mwanamke anakaanga maini rosti na wali wa maua unanukia halafu jamaa ametoka zake darasani chaki zimemjaa hadi kwenye kope na vumbi hadi masikioni kwa kutembea halafu anakuta wenzie wanakula na wanamaliza chote....

Kwanza najiuliza nani anakaa chumba cha masta, mke au mume..??

Kama ameshakuwa sugu aendelee kuvumilia bila kulalama, kuwa na msongo wa mawazo wala kuwa mlevi laah ahame hapo ili walau kwanza apate usingizi wa amani.

Matata K.
Haya mambo ni makubwa Dada, ila nimemshauri asitumie muda mwingi aondoke pale.
 
Mshauri jamaa avunje nyumba ataambulia hata mbao na bati akauzia tunaojenga mabanda ya kuku.
Chumba kimoja kinamtosha yeye kwa Sasa.
Mishe mishe atapata hela ya Kodi.
Yaani unaondoka na kila kitu na kuacha uwanja mtupu
Anachofanya Sasa hivi Ni ujinga na upumbavu.
Ndio maana mimi huwa nasema, mwanaume jijali mwenyewe na jali ndugu zako.
Haya mambo ya kujifanya "najenga familia yangu" hujui hata kuwa uko na adui yako ndani.
Kujenga familia yako ni wajibu wako,kama ambavyo unajali ndugu zako(ambao nao ni wanafamilia wa baba na mama yako)

Changamoto zinazojitokeza kwa baadhi ya watu haziwezi kuondoa uhalali wa nia ya kuwa na familia bora!

Maandiko yanasema "asiyewajali wa nyumbani mwake ni mbaya kuliko asiye amini" kwa hiyo kuwajali wa nyumbani mwako (mke na watoto wako) ni agizo la MUNGU mwenyewe,ila yakitokea magumu yasiyobebeka basi unaamua kutatua kwa namna yoyote,(iwe ni kuvunja nyumba na kuondoka,au kujiondokea kwenda kupanga,kwa case ya jamaa hapo)
 
Back
Top Bottom